Hii Combination baina ya Mzee Kinana na Shaka ni dhahiri huu ni mwanzo wa mwisho wa Upinzani Tanzania

Upinza
πŸ‘‡πŸ‘‡

Tazama siasa inayopigwa na hawa mabwana then njoo uniambie nafasi ya Upinzani iko wapi kwa sasa.

πŸ‘‡πŸ‘‡

KINANA NA SHAKA WATEMBELEA SHAMBA LA MBEGU BORA ZA MAHINDI WILAYANI MISENYI
View attachment 2345082
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametembelea shamba la mbegu la Global Agency Farm lililopo Buchurago Bugorora wilayani Misenyi Mkoa wa Kagera.
View attachment 2345083
Akiwa shambani hapo, Kanali Mstaafu Kinana alishuhudia shughuli mbalimbali zinazofanyika katika uandaaji wa mbegu bora za mahindi ukiwa utekelezaji wa Ilani ya Uchagu ya CCM.
View attachment 2345084
Pichani Kinana akiwa na viongozi wengine akiwemo Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila wakiwa wamepanda kwenye
mtambo unaotumika kwa shughuli za kilimo katika shamba hilo.
View attachment 2345085
Kinana ambaye ameongozana na Shaka amehitimisha ziara yake mkoani Kagera na kuelekea mkoani Geita kendelea na ziara hiyo yenye lengo la kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.
Ni hauwezi kufa sababu ya siasa huyo jangili na hako kashoga
 
Yaani kwa kufanya kwao hizo ziara za kutembelea hayo mashamba na kupiga bla bla za hapa na pale, basi na upinzani nao automatically unaisha, au!!!
 
Wakati CCM Inaendelea kujiweka karibu na wananchi kwa kuwasikiliza na kutatua kero mbalimbali , huku upinzani wapi bize na matusi na opotoshaji halafu ikifika 2025 watajikuta hawana sera Wala ajenda ya kuwashawishi wananchi kuwapigia kura, Hapo utaona wanavyomwafa matusi mitandaoni
Hakuna mwananchi mwenye akili timamu anaweza kuwa karibu na chama cha majambazi/mafisadi/majangili.
 
Kumbe awamu ya 5 haikuumaliza upinzani??
"Fool people speak because they have to talk something,wise people speak because they have something to talk".
πŸ‘‡πŸ‘‡

Tazama siasa inayopigwa na hawa mabwana then njoo uniambie nafasi ya Upinzani iko wapi kwa sasa.

πŸ‘‡πŸ‘‡

KINANA NA SHAKA WATEMBELEA SHAMBA LA MBEGU BORA ZA MAHINDI WILAYANI MISENYI
View attachment 2345082
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametembelea shamba la mbegu la Global Agency Farm lililopo Buchurago Bugorora wilayani Misenyi Mkoa wa Kagera.
View attachment 2345083
Akiwa shambani hapo, Kanali Mstaafu Kinana alishuhudia shughuli mbalimbali zinazofanyika katika uandaaji wa mbegu bora za mahindi ukiwa utekelezaji wa Ilani ya Uchagu ya CCM.
View attachment 2345084
Pichani Kinana akiwa na viongozi wengine akiwemo Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila wakiwa wamepanda kwenye
mtambo unaotumika kwa shughuli za kilimo katika shamba hilo.
View attachment 2345085
Kinana ambaye ameongozana na Shaka amehitimisha ziara yake mkoani Kagera na kuelekea mkoani Geita kendelea na ziara hiyo yenye lengo la kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.
 
Upinzani sio Chadema wala Chama chochote kitakachokuja kesho au keshokutwa...

Upinzani ni kila raia ambaye haridhishwi na walamba asali, Tozo na gharama za maisha kupanda bila kuwa na Sera endelevu bali bra bra brah nyingi zinazotumia kodi zetu
 
Wakati CCM Inaendelea kujiweka karibu na wananchi kwa kuwasikiliza na kutatua kero mbalimbali , huku upinzani wapi bize na matusi na opotoshaji halafu ikifika 2025 watajikuta hawana sera Wala ajenda ya kuwashawishi wananchi kuwapigia kura, Hapo utaona wanavyomwafa matusi mitandaoni

Mnalazimisha kufanya siasa peke yenu, ikifika wakati wa kampeni mnakuta watu wanawakubali sana wapinzani, matokeo yake mnaishia kunajisi uchaguzi maana mnakuwa hamuamini mnachokiona. Ni hivi, CCM sio chama cha kizazi hiki, ndio maana kinategemea mbeleko ya vyombo vya dola kukaa madarakani kwa shuruti.
 
Kichwa cha habari kingesema hivi: RC Chalamila ashangazwa na Wahaya aliowatukana kwamba wanaongea vingereza vingi na wanachelewa kufungua maduka.
 
πŸ‘‡πŸ‘‡

Tazama siasa inayopigwa na hawa mabwana then njoo uniambie nafasi ya Upinzani iko wapi kwa sasa.

πŸ‘‡πŸ‘‡

KINANA NA SHAKA WATEMBELEA SHAMBA LA MBEGU BORA ZA MAHINDI WILAYANI MISENYI
View attachment 2345082
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametembelea shamba la mbegu la Global Agency Farm lililopo Buchurago Bugorora wilayani Misenyi Mkoa wa Kagera.
View attachment 2345083
Akiwa shambani hapo, Kanali Mstaafu Kinana alishuhudia shughuli mbalimbali zinazofanyika katika uandaaji wa mbegu bora za mahindi ukiwa utekelezaji wa Ilani ya Uchagu ya CCM.
View attachment 2345084
Pichani Kinana akiwa na viongozi wengine akiwemo Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila wakiwa wamepanda kwenye
mtambo unaotumika kwa shughuli za kilimo katika shamba hilo.
View attachment 2345085
Kinana ambaye ameongozana na Shaka amehitimisha ziara yake mkoani Kagera na kuelekea mkoani Geita kendelea na ziara hiyo yenye lengo la kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.
Kama unachokisema ni sahihi, hebu waacheni na chadema waanze kufaya mikutano ya hadhara nchi nzima tuone kweli unachoongea ni sahihi!!kwani kama wananchi wanaielewa vizuri serikali iliyopo madarakani wala hata kwenye hiyo mikutano hawatajitokeza sana!!Ungejua watu mtaani walivyokata tamaa na awamu hii!!!yaani kungekuwa na chombo huru cha kufanya utafiti juu ya umaarufu wa serikali hii, daaaa ni hatari!!
 
Kama Kombinesheni ya Magufuli, Mangula, Polepole, Wasira, Kikwete, Mkapa, Kinana, Mwigulu, Ndugai, Makamba Senior na Junior walishindwa kuua upinzani itakuwa hayo maigizo??

Wewe unazungumzia hizo ziara kuua upinzani wakati kuendesha serikali kumeshindwa kuua upinzani ndiyo hayo maigizo yaweze??
Umefuatilia lakini wanachofanya?
 
πŸ‘‡πŸ‘‡

Tazama siasa inayopigwa na hawa mabwana then njoo uniambie nafasi ya Upinzani iko wapi kwa sasa.

πŸ‘‡πŸ‘‡

KINANA NA SHAKA WATEMBELEA SHAMBA LA MBEGU BORA ZA MAHINDI WILAYANI MISENYI
View attachment 2345082
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametembelea shamba la mbegu la Global Agency Farm lililopo Buchurago Bugorora wilayani Misenyi Mkoa wa Kagera.
View attachment 2345083
Akiwa shambani hapo, Kanali Mstaafu Kinana alishuhudia shughuli mbalimbali zinazofanyika katika uandaaji wa mbegu bora za mahindi ukiwa utekelezaji wa Ilani ya Uchagu ya CCM.
View attachment 2345084
Pichani Kinana akiwa na viongozi wengine akiwemo Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila wakiwa wamepanda kwenye
mtambo unaotumika kwa shughuli za kilimo katika shamba hilo.
View attachment 2345085
Kinana ambaye ameongozana na Shaka amehitimisha ziara yake mkoani Kagera na kuelekea mkoani Geita kendelea na ziara hiyo yenye lengo la kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.
Shaka ni kijana mwenye uwezo mzuri Sana ajifunze tu kwa Mzee Kinana atakuwa moto mkali
 
Upinzani unatengenezwa na serikali yenyewe!!

Kuendesha serikali KWA Tozo badala ya kubuni vyanzo vingine vya mapato na kumkamua mwananchi ni kuzalisha upinzani sugu nchini!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe Katiba mpya"!

"Mzee Warioba arudishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike"!
 
πŸ‘‡πŸ‘‡

Tazama siasa inayopigwa na hawa mabwana then njoo uniambie nafasi ya Upinzani iko wapi kwa sasa.

πŸ‘‡πŸ‘‡

KINANA NA SHAKA WATEMBELEA SHAMBA LA MBEGU BORA ZA MAHINDI WILAYANI MISENYI
View attachment 2345082
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametembelea shamba la mbegu la Global Agency Farm lililopo Buchurago Bugorora wilayani Misenyi Mkoa wa Kagera.
View attachment 2345083
Akiwa shambani hapo, Kanali Mstaafu Kinana alishuhudia shughuli mbalimbali zinazofanyika katika uandaaji wa mbegu bora za mahindi ukiwa utekelezaji wa Ilani ya Uchagu ya CCM.
View attachment 2345084
Pichani Kinana akiwa na viongozi wengine akiwemo Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila wakiwa wamepanda kwenye
mtambo unaotumika kwa shughuli za kilimo katika shamba hilo.
View attachment 2345085
Kinana ambaye ameongozana na Shaka amehitimisha ziara yake mkoani Kagera na kuelekea mkoani Geita kendelea na ziara hiyo yenye lengo la kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.
Si wawaruhusu wao nao wafanye SIASA tuone. Unajisifu kumpiga bondia aliyefungwa mikono.
 
Hao unaosema wamekufa huko Mwanza wamekamatwa kwa kufanya maandalizi ya mkutano ambao hatujui ungefanyika lini, mwingereza aliwaruhusu akina Nyerere wafanye mikutano bila vitisho na kwenye viwanja vya serikali ambavyo sasa CCM imevipora.
 
Yaani kwa kufanya kwao hizo ziara za kutembelea hayo mashamba na kupiga bla bla za hapa na pale, basi na upinzani nao automatically unaisha, au!!!
Aina ya siasa wanazofanya hawa mabwana ndio haswa Watanzania wanazihitaji,
 
Back
Top Bottom