hah
JF-Expert Member
- Jan 28, 2024
- 507
- 1,004
Mjadala uishie hapa###MnyongeNdioMlipaKodiHaswaa###Huyo wanaempiga ndio anawatafutia hela ya hayo magari wanayotusumbua nayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjadala uishie hapa###MnyongeNdioMlipaKodiHaswaa###Huyo wanaempiga ndio anawatafutia hela ya hayo magari wanayotusumbua nayo.
Dreva ❎ dereva✅Aiseeee kunaaa mambo ambayoo yakifanyikaa mpaka unaogopa, nipo maeneo ya mbezi na askari wa mp wamewapigisha kwata dereva na konda wake.Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumesHAURIII wakampime dereva kilevii.
Msafara wa cdf ulikuwa unapita lakini kabla ya kupita walisimama ma MP kadhaa kuzuia magari na kusafisha njia.
Sasa ndugu yetu huyu wa daladala ametokea goba na speed anaenda mbeza, Askari wa MP wakamsimamisha jamaa akahisi utan akawa anampelekea MPgari.
Jamaa kulinda pumzi akasogea pemben huku anamsimamisha, yaan gari ya mwisho inapita kaipelekea juhudi za drevaaa wa msafara kuikwepa ilikuwa ajali ya kiajabu kabisaa.
Naamini wameleekea mahali stahili baada ya kushusha abiria na adhabu watakayopata aisee iwe fundisho kwa magari yote kuheshimu misafara ya viongozi na hasa pale wanapopewa alama ya kusimama kupisha msafara.
Polen sana wote mliohusika Mungu azidi kulinda misafara yenu
Amen.
So far imepigwa simu dreva na mp wameelekea kurudi njia ya gob bado na googlre wanapoelekea ila nawatakia pole huko waendakoo naamini mp watamfikiria zaidi konda ambae kihualisia ahusiki na yaliyotokea
Mungu endelea kuwatunza viongozi wetu wape heri na uhai wako kututumikia daima amen
Nakazia, mana hata bwana Yakubu nae huwa anatuchelewesha sana kwenye panton ikifika saa mbili asubuhi, ikifika mda huo inabidi tumsubilie kwanzaMakazi ya CDF yawe hapo hapo makao makuu ya jeshi ili kupunguza Kero Kwa raia.
Kule juu Lugalo kuna makazi ya CDF kwanini hawakai?Wakipigwa utaskia kelele humu ohh Askari wakorofi.. sijui kimekwenda kimerudi..
Kuna upumbavu sana kwa raia..
Wacha wakale shumbwela
Semaanasiii Bwanaaaa sema na moyooowanguuuu semanasiisiBwanaa semaa na Moyooowanguu kula wimbo mkuu umenifurahisha patasmart gin mbili kwa bili yanguu...Dreva ❎ dereva✅
Gob ❎ goba✅
Googlre❎ google ✅
Waendakoo❎ waendako✅
Kihualisia❎ kiuhalisia ✅
Ahusiki❎ Hahusiki✅
Kunaaa❎ Kuna✅
Ambayoo❎ ambayo✅
Yakifanyikaa❎ yakifanyika✅
TumeSHAURII❎ Tumeshauri
Kilevii❎ kilevi✅
Utan❎ utani✅
Yaan ❎ yani✅
Kabisaa❎ kabisa ✅
Wameleekea❎ wameelekea✅
Huyu nae ni nani?Nakazia, mana hata bwana Yakubu nae huwa anatuchelewesha sana kwenye panton ikifika saa mbili asubuhi, ikifika mda huo inabidi tumsubilie kwanza
Haoooo ndioo kabisaaa bora Mp ndugu unajua daladalaa zimewazoe haoo mpaka basii...Suala jingine muhimu, ni vyema pia MP wasitumike kwa shughuli za aina hiyo. Inavyotakiwa ni Polisi wa barabarani (Traffic Police) kupewa kazi hiyo. Wao wanatambulika rasmi na sare zao. Ni muhimu sana kuwe na mawasiliano bora kati ya JWTZ na Polisi katika kazi zao.
MP hawatakiwi kufanya kazi uraiani wakati wa amani. Ni pale inapotokea dharura tu (state of emergency). Majeshi yote yanatakiwa kutumia Polisi kudhibiti hali uraiani wakati wa amani. Polisi wakizidiwa kuna taratibu za kuomba majeshi mengine yahusishwe.
Ni protocol.. ikumbukwe kazi ya alert ni kuepusha ajali.. na usumbufu usioitajika.Kule juu Lugalo kuna makazi ya CDF kwanini hawakai?
Nchi hii ving'ora vingi sana bila sababu za msingi. Kwani CDF hawezi kwenda bila ving'ora? Akilindwa tu haitoshi?
Eti kama CDF wa sasa anaishi Malamba 2 na Mwamunyange alikua kule Segerea. Yaani kusumbuana tu.Tatizo wanaishi uswahilini,wakikaa masaki na osyterbay tusingeyaona haya.
Ni sheria gani inayompa mamlaka CDF akimbizwe na ving'ora?Ni protocol.. ikumbukwe kazi ya alert ni kuepusha ajali.. na usumbufu usioitajika.
Msafara wa VIP hautakiwi kusimama au kutembea mdg mdg. Ni kosa kiusalama.
Nijibu maswali yangu hayo hapo juu usikimbilie kusema protocol.Ni protocol.. ikumbukwe kazi ya alert ni kuepusha ajali.. na usumbufu usioitajika.
Msafara wa VIP hautakiwi kusimama au kutembea mdg mdg. Ni kosa kiusalama.
Sawa mkuu inawezekana unawafurahia. Lakini nilichoandika ndio utaratibu wa majeshi dunia nzima. Wote wanaujua vizuri sana. Ni Tanzania tu ndio unakutana na wanajeshi wakiingia barabarani na kuanza kufanya kazi ya Polisi kama kitu cha kawaida tu.Haoooo ndioo kabisaaa bora Mp ndugu unajua daladalaa zimewazoe haoo mpaka basii...
Maswali yako yamelenga kujaza server za Jf bila sababu za Msingi.Nijibu maswali yangu hayo hapo juu usikimbilie kusema protocol.
Bro, hii nchi inaongozwa kwa katiba na sheria sio utashi wa mtu. Naomba uniambie sheria au kifungu cha katiba kinachompa mamlaka CDF kutembezwa na ving'ora huku akisumbua watu barabarani.Maswali yako yamelenga kujaza server za Jf bila sababu za Msingi.
Hayana Msingi.
Unamjua CDF ni nani? Unajua Mamlaka yake?
Kabisa unajaji matumizi ya ving'ora kwa CDF? seriously?