RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Maswali yako yamelenga kujaza server za Jf bila sababu za Msingi.
Hayana Msingi.
Unamjua CDF ni nani? Unajua Mamlaka yake?
Kabisa unajaji matumizi ya ving'ora kwa CDF? seriously?
[/QUOTHawezi kukujibu.Bro, hii nchi inaongozwa kwa katiba na sheria sio utashi wa mtu. Naomba uniambie sheria au kifungu cha katiba kinachompa mamlaka CDF kutembezwa na ving'ora huku akisumbua watu barabarani.
By the way makao makuu ya jeshi yapo Dodoma huku wanafanya nini?