Hii daladala iliyotaka kuleta ajali msafara wa CDF iadhibiwe, haina adabu

Hakika, yani wao wanajiona wafalme sana

Kuna siku pale mwenge junction tumesimamishwa zaidi ya nusu saa ile mida ya jioni yenye folen, gari zaruhusiwa upande wa kutoka mjini tu. Kumbe wanasubiri askri mwenzao atoke muhimbili.

Ujinga sana
Tutazame pia upande wa pili. Niliwahi kukaa foleni kwa saa tatu tukisubiri Muheshimiwa sana apite. Sitakaa nisahau usumbufu nilioupata siku ile.
 
Hili nishawahi kukutana nalo mara mbili

Wanapenda kutumia wrong site na mara nyingi unakuja kuwashtukizia mbele yako na mwendo wao unakua si mdogo
Waambie waache kupita wrong side. Unashtukia MPs tu wanakuja mbio na kurusha mikono upande wako kisa upande wa pili wamekuta foleni. Waache mambo ya ajabu.
 
Pale ngome upanga siyo hq!?
SmartSelect_20240508_085731_Samsung Internet.jpg
 
Aiseeee kunaaa mambo ambayoo yakifanyikaa mpaka unaogopa, nipo maeneo ya mbezi na askari wa mp wamewapigisha kwata dereva na konda wake.Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumesHAURIII wakampime dereva kilevii.

Msafara wa cdf ulikuwa unapita lakini kabla ya kupita walisimama ma MP kadhaa kuzuia magari na kusafisha njia.

Sasa ndugu yetu huyu wa daladala ametokea goba na speed anaenda mbeza, Askari wa MP wakamsimamisha jamaa akahisi utan akawa anampelekea MPgari.

Jamaa kulinda pumzi akasogea pemben huku anamsimamisha, yaan gari ya mwisho inapita kaipelekea juhudi za drevaaa wa msafara kuikwepa ilikuwa ajali ya kiajabu kabisaa.

Naamini wameleekea mahali stahili baada ya kushusha abiria na adhabu watakayopata aisee iwe fundisho kwa magari yote kuheshimu misafara ya viongozi na hasa pale wanapopewa alama ya kusimama kupisha msafara.

Polen sana wote mliohusika Mungu azidi kulinda misafara yenu

Amen.

So far imepigwa simu dreva na mp wameelekea kurudi njia ya gob bado na googlre wanapoelekea ila nawatakia pole huko waendakoo naamini mp watamfikiria zaidi konda ambae kihualisia ahusiki na yaliyotokea

Mungu endelea kuwatunza viongozi wetu wape heri na uhai wako kututumikia daima amen
Inafikirisha 🤔
 
Yaani mnataka mwingine daladala zenu kwenye msafara? Mkituulia CDF sisi tutafanyaje? Unaijua gharama ya kumtengeneza CDF wewe? Huyu ndugu yenu hatakaa arudie huo ujinga!
Na wasiwasi kama amelala nyumban jana
 
Hili nishawahi kukutana nalo mara mbili

Wanapenda kutumia wrong site na mara nyingi unakuja kuwashtukizia mbele yako na mwendo wao unakua si mdogo
Mkuu wanasafisha njia mapema tu na msafara waoo hauna dk 5 ushapita unaona wale mp kama kuna emergency watawajuza mapema wanajipanga wakati huo kuna gari inapita hutoijua kusafisha njia so anapopita njia inakuwa shwari na atoki mpaka kuwe smooth
 
Aiseeee kunaaa mambo ambayoo yakifanyikaa mpaka unaogopa, nipo maeneo ya mbezi na askari wa mp wamewapigisha kwata dereva na konda wake.Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumesHAURIII wakampime dereva kilevii.

Msafara wa cdf ulikuwa unapita lakini kabla ya kupita walisimama ma MP kadhaa kuzuia magari na kusafisha njia.

Sasa ndugu yetu huyu wa daladala ametokea goba na speed anaenda mbeza, Askari wa MP wakamsimamisha jamaa akahisi utan akawa anampelekea MPgari.

Jamaa kulinda pumzi akasogea pemben huku anamsimamisha, yaan gari ya mwisho inapita kaipelekea juhudi za drevaaa wa msafara kuikwepa ilikuwa ajali ya kiajabu kabisaa.

Naamini wameleekea mahali stahili baada ya kushusha abiria na adhabu watakayopata aisee iwe fundisho kwa magari yote kuheshimu misafara ya viongozi na hasa pale wanapopewa alama ya kusimama kupisha msafara.

Polen sana wote mliohusika Mungu azidi kulinda misafara yenu

Amen.

So far imepigwa simu dreva na mp wameelekea kurudi njia ya gob bado na googlre wanapoelekea ila nawatakia pole huko waendakoo naamini mp watamfikiria zaidi konda ambae kihualisia ahusiki na yaliyotokea

Mungu endelea kuwatunza viongozi wetu wape heri na uhai wako kututumikia daima amen
Mkuu ungeonyesha ka clip , ingepata Grammy Awards!
 
Mkuu wanasafisha njia mapema tu na msafara waoo hauna dk 5 ushapita unaona wale mp kama kuna emergency watawajuza mapema wanajipanga wakati huo kuna gari inapita hutoijua kusafisha njia so anapopita njia inakuwa shwari na atoki mpaka kuwe smooth
Kwahio hawa tunaokutanq nao wanakimbiakimbia hovyo barabarani ni wa mchongo? Wiki iliopita barabara ya Ali Mwinyi maeneo ya Palm Beach hiki ninachokwambia kilinitokea jioni saa moja hivi.
 
Huyo jamaa leo atapigwa sana...

Lakini tujiulize, kipigo ni njia sahihi ya kurekebisha maadili ya mtu?

Kama jibu ni ndio, kwanini tusitumie njia hii kwa viongozi wetu wasio na maadili!

Mfano mtu amefanya ufisadi anapelekwa jeshini, anapigwa sana.
Well, dereva kakosea kidogo tu wanataka apigwe....hawa wanaotuibia mali za umma hadi watoto na wamama wanafia mahospitali nao tuwafanye nini?
 
Aiseeee kunaaa mambo ambayoo yakifanyikaa mpaka unaogopa, nipo maeneo ya mbezi na askari wa mp wamewapigisha kwata dereva na konda wake.Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumesHAURIII wakampime dereva kilevii.

Msafara wa cdf ulikuwa unapita lakini kabla ya kupita walisimama ma MP kadhaa kuzuia magari na kusafisha njia.

Sasa ndugu yetu huyu wa daladala ametokea goba na speed anaenda mbeza, Askari wa MP wakamsimamisha jamaa akahisi utan akawa anampelekea MPgari.

Jamaa kulinda pumzi akasogea pemben huku anamsimamisha, yaan gari ya mwisho inapita kaipelekea juhudi za drevaaa wa msafara kuikwepa ilikuwa ajali ya kiajabu kabisaa.

Naamini wameleekea mahali stahili baada ya kushusha abiria na adhabu watakayopata aisee iwe fundisho kwa magari yote kuheshimu misafara ya viongozi na hasa pale wanapopewa alama ya kusimama kupisha msafara.

Polen sana wote mliohusika Mungu azidi kulinda misafara yenu

Amen.

So far imepigwa simu dreva na mp wameelekea kurudi njia ya gob bado na googlre wanapoelekea ila nawatakia pole huko waendakoo naamini mp watamfikiria zaidi konda ambae kihualisia ahusiki na yaliyotokea

Mungu endelea kuwatunza viongozi wetu wape heri na uhai wako kututumikia daima CDF alindwi na sheria na misafara ya viongozi wa umma
 
Back
Top Bottom