Hii daladala iliyotaka kuleta ajali msafara wa CDF iadhibiwe, haina adabu

Hii daladala iliyotaka kuleta ajali msafara wa CDF iadhibiwe, haina adabu

Eti kama CDF wa sasa anaishi Malamba 2 na Mwamunyange alikua kule Segerea. Yaani kusumbuana tu.
Mtu ni CDF ukakae Malamba 2? Ukivamiwa kule?
Kuna mifumo ya ulinzi kule?
Kwann wasikae pale pale Upanga? Iwe km ikulu yao.
 
Hilo swali kawaulize TRA

Leo nimekutana na mtu asiyejua nani hukusanya kodi na mapato ya nchi. 😂😂

Ikiwa ni kweli hujui TRA ni nini basi itakuwa hata hiyo device unayotumia kuwasiliana sio yako Ila ni ya shemeji yako.
Tra nini nini!?..Kama taasisi ni ya nani!?..na hao unaowaita Wala Kodi ni akina nani!?..order unayo-enjoy kufanya harakati zako imewekwa na kutunzwa na nani!?
 
Kwann wasikae pale pale Upanga? Iwe km ikulu yao.
Sio Upanga tu, kule Lugalo juu kule kuna makazi ya CDF. Lakini hawakai kabisa.
Hii nchi ya hovyo sana. Makao makuu ya jeshi yanakaaje Upanga. Pathetic.
 
Upumbav tu mnadhan traffic police kuvaa nguo nyeupe ni urembo... Watu vichwa vina mambo mengi, unamsimamisha anahisi unataka lift na sare zako
 
Back
Top Bottom