cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kwann wasikae pale pale Upanga? Iwe km ikulu yao.Eti kama CDF wa sasa anaishi Malamba 2 na Mwamunyange alikua kule Segerea. Yaani kusumbuana tu.
Mtu ni CDF ukakae Malamba 2? Ukivamiwa kule?
Kuna mifumo ya ulinzi kule?