Hii daladala iliyotaka kuleta ajali msafara wa CDF iadhibiwe, haina adabu

Dreva ❎ dereva✅
Gob ❎ goba✅
Googlre❎ google ✅
Waendakoo❎ waendako✅
Kihualisia❎ kiuhalisia ✅
Ahusiki❎ Hahusiki✅
Kunaaa❎ Kuna✅
Ambayoo❎ ambayo✅
Yakifanyikaa❎ yakifanyika✅
TumeSHAURII❎ Tumeshauri
Kilevii❎ kilevi✅
Utan❎ utani✅
Yaan ❎ yani✅
Kabisaa❎ kabisa ✅
Wameleekea❎ wameelekea✅
 
Semaanasiii Bwanaaaa sema na moyooowanguuuu semanasiisiBwanaa semaa na Moyooowanguu kula wimbo mkuu umenifurahisha patasmart gin mbili kwa bili yanguu...
 

Attachments

  • VID-20240504-WA0002.mp4
    2.4 MB
Suala jingine muhimu, ni vyema pia MP wasitumike kwa shughuli za aina hiyo. Inavyotakiwa ni Polisi wa barabarani (Traffic Police) kupewa kazi hiyo. Wao wanatambulika rasmi na sare zao. Ni muhimu sana kuwe na mawasiliano bora kati ya JWTZ na Polisi katika kazi zao.

MP hawatakiwi kufanya kazi uraiani wakati wa amani. Ni pale inapotokea dharura tu (state of emergency). Majeshi yote yanatakiwa kutumia Polisi kudhibiti hali uraiani wakati wa amani. Polisi wakizidiwa kuna taratibu za kuomba majeshi mengine yahusishwe.
 
Haoooo ndioo kabisaaa bora Mp ndugu unajua daladalaa zimewazoe haoo mpaka basii...
 
Kule juu Lugalo kuna makazi ya CDF kwanini hawakai?
Nchi hii ving'ora vingi sana bila sababu za msingi. Kwani CDF hawezi kwenda bila ving'ora? Akilindwa tu haitoshi?
Ni protocol.. ikumbukwe kazi ya alert ni kuepusha ajali.. na usumbufu usioitajika.

Msafara wa VIP hautakiwi kusimama au kutembea mdg mdg. Ni kosa kiusalama.
 
Ndio maana uongereza maraisi walipandishwa kwenye bus kama wasafiri wengine tu. Huku afrika viongozi hujiona ni watu kutoka peponi
 
Ni protocol.. ikumbukwe kazi ya alert ni kuepusha ajali.. na usumbufu usioitajika.

Msafara wa VIP hautakiwi kusimama au kutembea mdg mdg. Ni kosa kiusalama.
Ni sheria gani inayompa mamlaka CDF akimbizwe na ving'ora?
VIP ya wapi? Hata baba ni VIP nyumbani sio kila mahali.
 
Ni protocol.. ikumbukwe kazi ya alert ni kuepusha ajali.. na usumbufu usioitajika.

Msafara wa VIP hautakiwi kusimama au kutembea mdg mdg. Ni kosa kiusalama.
Nijibu maswali yangu hayo hapo juu usikimbilie kusema protocol.
 
Haoooo ndioo kabisaaa bora Mp ndugu unajua daladalaa zimewazoe haoo mpaka basii...
Sawa mkuu inawezekana unawafurahia. Lakini nilichoandika ndio utaratibu wa majeshi dunia nzima. Wote wanaujua vizuri sana. Ni Tanzania tu ndio unakutana na wanajeshi wakiingia barabarani na kuanza kufanya kazi ya Polisi kama kitu cha kawaida tu.
 
Maswali yako yamelenga kujaza server za Jf bila sababu za Msingi.

Hayana Msingi.

Unamjua CDF ni nani? Unajua Mamlaka yake?

Kabisa unajaji matumizi ya ving'ora kwa CDF? seriously?
Bro, hii nchi inaongozwa kwa katiba na sheria sio utashi wa mtu. Naomba uniambie sheria au kifungu cha katiba kinachompa mamlaka CDF kutembezwa na ving'ora huku akisumbua watu barabarani.
By the way makao makuu ya jeshi yapo Dodoma huku wanafanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…