Hii dunia inatisha sana, Watanzania tuzidi kukaza roho

Kama hujijui acha ubishi. Castr amekupa facts checking na wewe uje na facts zako siyo maswali ya kupinga fact.
Mkuu I am so sorry,sikujua Kama nimepinga maana mie nikiona Kama wote wameandika kitu kimoja Ila toufauti ilikuwa ni lugha tu iliyotumika.Sasa ili kujilidhisha nikataka kujua 'masaa machache huwa ni masaa mangapi na siku chache huwa ni siku ngapi'' yaani hivyo tu
 
Nimeipenda hii kitu inaitwa 'fact checking'.
Just for making records straight.
 
Yaani ikishavuka siku tu, huwezi kusema masaa machache unasema siku ya pili, au ya tatu, ...., siku ya (n).
Au baada ya siku (n)
Baada ya juma moja, majuma mawili, ...., majuma (n).
Hivyo hivyo kwa miaka.
Wakati huo (n) inasimama badala ya namba flani kwa maneno.
 
Fidel Castro walianza kumuwekea sumu kwenye cigars mwaka 1960 na USA waliendelea na majaribio 638 na yote yakafeli
Kama mda wako haujafika wa kufa utadunda tu
America kwa Castro walishindwa mbinu zote


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Fidel Castro walianza kumuwekea sumu kwenye cigars mwaka 1960 na USA waliendelea na majaribio 638 na yote yakafeli
Kama mda wako haujafika wa kufa utadunda tu
America kwa Castro walishindwa mbinu zote


Sent from my iPhone using Tapatalk
Technology ilikuwa bado tofauti na Sasa uchelewi wakikutaka tu
 
Nimesema utakufa tu utawaacha unaowachukia, maombi ya mlevi km wewe hayafiki hata usawa mlima Kilimanjaro
Sasa kujimwambafy kuteka,kuuwa, kusomeshwa watu namba,kubambika vyote vya nn Kama avikingi kifo
 
Huelewi hata kinachoendelea.

Unamjua Museven?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay, umekuwa muungwana sana, labda ns mimi nimekosea kwa kutafsiri kwamba umepinga wakati lengo lilikuwa ni kujua.
Naomba uniruhusu kutafsiri hayo 'masaa machache'. tasaidia kujibu hili. Kawaida, katika matumizi ya 'masaa machache'.
Katika kawaida ya 'matumizi ya masaa machache' huwa yanakomea ndani ya masaa 72. Hivyo ni kawaida kusikia mtu akitumia masaa 72 badala ya siku tatu. Kingine hutegemea na field, mfano ndege mtu atakwambia jumla ya masaa aliyotumia hewani hata kwambia 'nina miezi miwili' tangu nimeanza kuruka na ndege
 
Yawezekana hakuwa na dat sahihi za hizo tarehe na maneno.
Nenda kwenye lengo la uzi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Technology ilikuwa bado tofauti na Sasa uchelewi wakikutaka tu

Mkuu sumu haina cha technology kama unavyowaza
Mauwaji ya jamii na watu mashuhuri hayakuanza leo ni tangu enzi na enzi
Ukisoma historia ya kuwekeana sumu viongozi ipo miaka mingi sana kuanzia Egypt mpaka Italy na kwingine
Sio technology bali makachero wa Castro walikuwa mbele zaidi kwa mbinu za USA
Ukisoma mauwaji ya sumu utashangaa walianza kuwekeana miaka zaidi ya 500
Na mbinu zikiongezeka na wengine wanatafuta za kujihami

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Sio Puerto Rico hiyo ipo sehemu ya Marekani na bajeti yake inatoka Washington. Uliyotaka kusema ni Venezuela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…