T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Mtu ni mnene kupindukia then unamsingizia America. Kwahiyo wenye BP wote duniani hapa ni kazi ya America?Don't play with america,kosa la Kim ni kukubali kukutana na trump,hapo ndipo alipokosea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Heri ya saccos faida kwa wote kuliko Mali binafsi ya familia maamuzi yote toka kwa mmiliki Nani agombee Nani hpana Nani atumbuliwe Hadi mnaonjeshana sumu sema tu wakati wa Mungu si wa mwanadamu mmeuza chama mtasugua Sana benchiNdio ujue huyo DJ ni dikteta hataki chacha aliondoshwa kwa kutaka kugombea uenyekiti kumbe alikuwa hajui hii ni Sacco's ya DJ akafa zito ulivyo taka kugombea hakujua ni kosa kuwa hiyo Sacco's Ni ya DJ salama yake akafukuzwa sumae akataka kugombea uenyekiti hakujua hiyo ni Sacco's ya DJ hatakiwi mtu yeyote akalie kiti zaidi ya mwenye Sacco's yake akaambiwa sumu haionjwi gombea ufe au ondoka upone
Plus kuujaza moyo wake sumu ya stress,hasira,visasi yaani anazo condition zote za kumualika IsraelMtu ni mnene kupindukia then unamsingizia America. Kwahiyo wenye BP wote duniani hapa ni kazi ya America?
Mtu ana BMI ya around 44, pombe kali, sigara kila muda afu unakuja leta lawama za bure.
Acha kula porojo. Ule ni ugonjwa wa urithi na babu na baba yake ndio uliowaua.Ile meeting na Trump haikuwa just meeting,yeye anatumia nguvu wenzake wanatumia akili,si atume Sasa zile kombora zikalipue kifo asife.Miaka 5 iliyopita nilisoma article kwamba Kipanki alidungwa mbu drones mwenye sumu ya kuattack heart leo yametimia.
Yupo yule wa Puerto Rico anawananga na kuwalaumu mabeberu kila siku juu ya kushindwa kwake,wanamuangalia tu
Si atumie makombora kuusambaratisha huo ugonjwa,Wao hata wafiche kifo akifichikiAcha kula porojo. Ule ni ugonjwa wa urithi na babu na baba yake ndio uliowaua.
Marekani wenyewr hawajui hatma yake ni ipi China ndo wanajua. Japan na South Korea wanahisi lakini mwenye uhakika ni N Korea na China mpaka sasa.
Achana na ndoto za mchana. Kim ambaye hata akienda China wanakua hawajui ndo waje kutuma "mbu". Huyo mbu atatembea km ngapi maana huwezi kumuoperate ukiwa karibu, ana charge ya kukaa muda gani, ana operating system gani na control maana hawezi kwenda bila kujua anaenda kwa nani. Acheni kahawa.Nazungumzia kutumia drones mfano wa mbu au nzi kumdunga muhusika bila walinzi kujua yeye ujihisi labda ni mbu tu au nzi kamgusa tu Kama alivofanyiwa Kipanki
Eti faida kwa wote Nani anae pata faida kwenye ile Sacco's nitajie ni family business ile hata wabunge anawakata posho umesahau hilo pia au kwa vile uko kwenye lile kundi la kuungwa bando kila mwezi kuja kuropoka hovyo hovyo humu jf ndio unasema unafaidika poleHeri ya saccos faida kwa wote kuliko Mali binafsi ya familia maamuzi yote toka kwa mmiliki Nani agombee Nani hpana Nani atumbuliwe Hadi mnaonjeshana sumu sema tu wakati wa Mungu si wa mwanadamu mmeuza chama mtasugua Sana benchi
Technology imekua unajua nano technology Kama drone Ina hit target sembuse hioAchana na ndoto za mchana. Kim ambaye hata akienda China wanakua hawajui ndo waje kutuma "mbu". Huyo mbu atatembea km ngapi maana huwezi kumuoperate ukiwa karibu, ana charge ya kukaa muda gani, ana operating system gani na control maana hawezi kwenda bila kujua anaenda kwa nani. Acheni kahawa.
Anaangalia movie za kina Rambo anajua anayo ya fanya Rambo na wenzake ndio kweliAcha kula porojo. Ule ni ugonjwa wa urithi na babu na baba yake ndio uliowaua.
Marekani wenyewr hawajui hatma yake ni ipi China ndo wanajua. Japan na South Korea wanahisi lakini mwenye uhakika ni N Korea na China mpaka sasa.
Safari teuzi hakuna Kama si muabudu Sanamu au muosha vyombo vya familia mtausikia kwa wakujaEti faida kwa wote Nani anae pata faida kwenye ile Sacco's nitajie ni family business ile hata wabunge anawakata posho umesahau hilo pia au kwa vile uko kwenye lile kundi la kuungwa bando kila mwezi kuja kuropoka hovyo hovyo humu jf ndio unasema unafaidika pole
Sasa drone yenye tani ngapi ndo unailinganisha na mbu ambaye hawezi fika gram 5. Powerplant ya huyo mbu, operating system, hiyo sumu yenyewe na charge vitakaa wapi? Na huyo mbu ataenda distance ngapi?Technology imekua unajua nano technology Kama drone Ina hit target sembuse hio
Hii sio level yako mambo ya artificial intelligence, radiology,virus drones ni level nyingine.Sasa drone yenye tani ngapi ndo unailinganisha na mbu ambaye hawezi fika gram 5. Powerplant ya huyo mbu, operating system, hiyo sumu yenyewe na charge vitakaa wapi? Na huyo mbu ataenda distance ngapi?
Hii dunia inatisha sana, nashindwa kuandika ila nawahusia Watanzania kuzidi kaza roho maana hatupo huru kivile tunafikiri.
Dunia hii kuna mataifa nihatari kuliko nyoka mwenye sumu kali.
Nani anakumbuka habari ya taifa moja linaitwa Zambia?
Zambia baada ya Keneth Kaunda shindwa uchaguzi aliingia kijana mmoja anaitwa Chiluba, Rais ambaye inasemekana ndie Rais alikuwa kampokea Yesu. Rais yule akapokea nchi kutoka kwa baba wa taifa hilo kwa mbwembwe na kuanza kumnyanyasa yule Mzee mpaka kumtia ndani na Keneth akakubaliana na yote ila hayati baba wa Taifa alipopata ile habari alipanda ndege na kwenda Zambia nakumwambia Chiluba amtoe haraka sana while huku Tanzania via Benjamin akaweka mpango kutomshitaki Rais aliyekwisha toka madarakani.
Well, Chiluba kwa shingo upande akamtoa ndani japo Chiluba baada ya muda wake hakudumu sana akafariki nakumuacha Mzee Kaunda, akaja Mwanawasa same akipigana na vita naye akaanguka madarakani.
Jambo hili wengi likawashitua na kujiuliza why marais hawadumu basi ndipo wakamkumbuka muanzilishi wa Taifa na kumuenzi hali ikatulia.
Dunia ina siri sana ndugu yangu kaza Roho. Kule Venezuela akaibuka Rais wao ambaye alipokuwa akihutubia UN baada ya Bush kutoka hutubia aliyefuata alikuwa yeye..
Jambo la ajabu alilolifanya Hugo Shavez ni kuanza na maneno haya:
"Nasikia harufu ya mbwa maana dakika chache alikuwepo hapa" Siku chache baada ya maneno yale Hugo chaves hakuishi muda mrefu alipatwa na Cancer kali na mpaka anakufa alikuwa akisema USA ndio walio muua japo hakuna proof ya kifo chake. Ila moja ya maneno wanayapenda sana vikosi kazi vya USA ni "We do bad things to bad people"
Dunia ina siri sana.
Kim Jong-un, Rais katili na mwenye kulindwa hatari huenda akawekwa katika kumbukumbu za makaburi na wazaz wake. Amewatisha USA mpaka wakawa hawalali. Watu wenye akili wakasema isiwe shida na sasa wamefanikiwa kumtuliza kama walivyokusudia. Kim Jong-un amefanyiwa op ambayo haikuwenda vizuri hivyo huwenda asirudi tena au akirudi asiwe na uwezo tena alio nao sasa.
Hii ni dunia yenye siri kali nakuogopesha sana.
yIle meeting na Trump haikuwa just meeting,yeye anatumia nguvu wenzake wanatumia akili,si atume Sasa zile kombora zikalipue kifo asife.Miaka 5 iliyopita nilisoma article kwamba Kipanki alidungwa mbu drones mwenye sumu ya kuattack heart leo yametimia.
Yupo yule wa Puerto Rico anawananga na kuwalaumu mabeberu kila siku juu ya kushindwa kwake,wanamuangalia tu
Hii dunia inatisha sana, nashindwa kuandika ila nawahusia Watanzania kuzidi kaza roho maana hatupo huru kivile tunafikiri.
Dunia hii kuna mataifa nihatari kuliko nyoka mwenye sumu kali.
Nani anakumbuka habari ya taifa moja linaitwa Zambia?
Zambia baada ya Keneth Kaunda shindwa uchaguzi aliingia kijana mmoja anaitwa Chiluba, Rais ambaye inasemekana ndie Rais alikuwa kampokea Yesu. Rais yule akapokea nchi kutoka kwa baba wa taifa hilo kwa mbwembwe na kuanza kumnyanyasa yule Mzee mpaka kumtia ndani na Keneth akakubaliana na yote ila hayati baba wa Taifa alipopata ile habari alipanda ndege na kwenda Zambia nakumwambia Chiluba amtoe haraka sana while huku Tanzania via Benjamin akaweka mpango kutomshitaki Rais aliyekwisha toka madarakani.
Well, Chiluba kwa shingo upande akamtoa ndani japo Chiluba baada ya muda wake hakudumu sana akafariki nakumuacha Mzee Kaunda, akaja Mwanawasa same akipigana na vita naye akaanguka madarakani.
Jambo hili wengi likawashitua na kujiuliza why marais hawadumu basi ndipo wakamkumbuka muanzilishi wa Taifa na kumuenzi hali ikatulia.
Dunia ina siri sana ndugu yangu kaza Roho. Kule Venezuela akaibuka Rais wao ambaye alipokuwa akihutubia UN baada ya Bush kutoka hutubia aliyefuata alikuwa yeye..
Jambo la ajabu alilolifanya Hugo Shavez ni kuanza na maneno haya:
"Nasikia harufu ya mbwa maana dakika chache alikuwepo hapa" Siku chache baada ya maneno yale Hugo chaves hakuishi muda mrefu alipatwa na Cancer kali na mpaka anakufa alikuwa akisema USA ndio walio muua japo hakuna proof ya kifo chake. Ila moja ya maneno wanayapenda sana vikosi kazi vya USA ni "We do bad things to bad people"
Dunia ina siri sana.
Kim Jong-un, Rais katili na mwenye kulindwa hatari huenda akawekwa katika kumbukumbu za makaburi na wazaz wake. Amewatisha USA mpaka wakawa hawalali. Watu wenye akili wakasema isiwe shida na sasa wamefanikiwa kumtuliza kama walivyokusudia. Kim Jong-un amefanyiwa op ambayo haikuwenda vizuri hivyo huwenda asirudi tena au akirudi asiwe na uwezo tena alio nao sasa.
Hii ni dunia yenye siri kali nakuogopesha sana.
Samahani sijakuelewa, una maana hata kama Mimi ni jiwe kuna miamba ya kunizidi, ufafanuzi tafadhariTumainiEl,
Wenye viburi umetufundisha kuwa hata Kama tuna viburi vya uzima kiasi gani pia kuna watu hapa duniani ni maprof wa viburi so wakikutaka watakupata tu.
Nimekwambia utoe ufafanuzi unakuja na porojo. Unaonesha ulivyo mweupe kichwani na story za kahawa ndo zimejaa.Hii sio level yako mambo ya artificial intelligence, radiology,virus drones ni level nyingine.
Ndiyo, Dunia ina siri nzitoHii dunia inatisha sana, nashindwa kuandika ila nawahusia Watanzania kuzidi kaza roho maana hatupo huru kivile tunafikiri.
Dunia hii kuna mataifa nihatari kuliko nyoka mwenye sumu kali.
Nani anakumbuka habari ya taifa moja linaitwa Zambia?
Zambia baada ya Keneth Kaunda shindwa uchaguzi aliingia kijana mmoja anaitwa Chiluba, Rais ambaye inasemekana ndie Rais alikuwa kampokea Yesu. Rais yule akapokea nchi kutoka kwa baba wa taifa hilo kwa mbwembwe na kuanza kumnyanyasa yule Mzee mpaka kumtia ndani na Keneth akakubaliana na yote ila hayati baba wa Taifa alipopata ile habari alipanda ndege na kwenda Zambia nakumwambia Chiluba amtoe haraka sana while huku Tanzania via Benjamin akaweka mpango kutomshitaki Rais aliyekwisha toka madarakani.
Well, Chiluba kwa shingo upande akamtoa ndani japo Chiluba baada ya muda wake hakudumu sana akafariki nakumuacha Mzee Kaunda, akaja Mwanawasa same akipigana na vita naye akaanguka madarakani.
Jambo hili wengi likawashitua na kujiuliza why marais hawadumu basi ndipo wakamkumbuka muanzilishi wa Taifa na kumuenzi hali ikatulia.
Dunia ina siri sana ndugu yangu kaza Roho. Kule Venezuela akaibuka Rais wao ambaye alipokuwa akihutubia UN baada ya Bush kutoka hutubia aliyefuata alikuwa yeye..
Jambo la ajabu alilolifanya Hugo Shavez ni kuanza na maneno haya:
"Nasikia harufu ya mbwa maana dakika chache alikuwepo hapa" Siku chache baada ya maneno yale Hugo chaves hakuishi muda mrefu alipatwa na Cancer kali na mpaka anakufa alikuwa akisema USA ndio walio muua japo hakuna proof ya kifo chake. Ila moja ya maneno wanayapenda sana vikosi kazi vya USA ni "We do bad things to bad people"
Dunia ina siri sana.
Kim Jong-un, Rais katili na mwenye kulindwa hatari huenda akawekwa katika kumbukumbu za makaburi na wazaz wake. Amewatisha USA mpaka wakawa hawalali. Watu wenye akili wakasema isiwe shida na sasa wamefanikiwa kumtuliza kama walivyokusudia. Kim Jong-un amefanyiwa op ambayo haikuwenda vizuri hivyo huwenda asirudi tena au akirudi asiwe na uwezo tena alio nao sasa.
Hii ni dunia yenye siri kali nakuogopesha sana.
Uliuliza swali zuri sana.Mkuu asante.nimeuliza ili nijue au nijijue mkuu,please nisaidie jibu