Mimi sioni ubaya sema tu Bongo tumechelewa sana, nchi zilizoendelea kuna watu wana vipaji vikubwa vyenye manufaa na vinatambuliwa na wanapewa shahada, kwanini iwe nongwa kwa mzee wa Global?Mweshmiwa wetu huyu, muwakilishi wa wananchi wa jimbo la Buchosa, elimu yake imekaaje?
Rizara ndiyo nini ndugu MSOMI?Halafu Mtu Kama huyo utasikia ni Waziri anaongoza rizara ya NISHATi; Umeme utakosa kukatika?
WIZARA!Rizara ndiyo nini ndugu MSOMI?
Tafsiri yake ni kuwa hajasoma kabisa.
Sasa huyu aliyepata utajiri kwa dhuluma ya mali za mjomba wake ana kipaji gani?Mimi sioni ubaya sema tu Bongo tumechelewa sana, nchi zilizoendelea kuna watu wana vipaji vikubwa vyenye manufaa na vinatambuliwa na wanapewa shahada, kwanini iwe nongwa kwa mzee wa Global
Acha kubwabwaja amesoma kupitia mpango wa RPL chini ya TCU, kwa sasa haupo.Halafu Mtu Kama huyo utasikia ni Waziri anaongoza wizara ya NISHATi; Umeme utakosa kukatika?
Amesoma kupitia Recognition Prior Learning mpango wa kujiendeleza kielimu chini ya bodi ya vyuo vikuu. Kwa sasa haupo tena. Kuna mitihani unafanya na vigezo maalum. Kulikua na kozi kadhaa Mzumbe, Tumaini, UDOM na UDSM chini ya huo mpango maalum.View attachment 2232004
Mweshmiwa wetu huyu, muwakilishi wa wananchi wa jimbo la Buchosa, elimu yake imekaaje...
Acha kubwabwaja amesoma kupitia mpango wa RPL chini ya TCU, kwa sasa haupo.
Unawajua akina Rutagwerera wanatoka wapi?Sawa unatoka BUCHOSA mtetee mbunge wako kimeo!!
View attachment 2232004
Mweshmiwa wetu huyu, muwakilishi wa wananchi wa jimbo la Buchosa, elimu yake imekaaje?
Tanzania kuna elimu unatoka primary unaingia degree?
Chuo cha Tumaini University ndio mna degree za namna hii? tena inaonesha alisoma 2017 mpaka 2020 huu udahili walifanya TCU au?
Mbona waheshimiwa mna elimu za kuunga unga mnaonesha mfano gani kwa wananchi, au ni utaratibu gani unatumika mtu anatoka la saba anaenda degree ili na sisi tupeleke watoto wetu?
Elimu ya nchii inachezewa sana ukiwa na hela utanunua mpaka PhD
Acha majunguView attachment 2232004

Na hapo ndio chanzo cha matatizo ya waafrika,Wale tuliopita special school kwa msuli na kupanga A tano hadi saba huwa tukipata huzuni na ukakasi sana kuona watu waliounga unga elimu zao wakiwa waheshimiwa wabunge na mawaziri wenye vitambi wakitunga sheria za nchi kwa akili mbovu za mtaani! PLATO alipenda sana wenye akili ya darasani "philosopher kings" ndo waongoze nchi ila kwa bongo ni kinyume chake!!
wanaosema ndiyo semeni ndiyo ndiyoooooooooooo, wanaosema siyo semeni siyo siyooo!!