Hii Elimu ya Mbunge Erick Shigongo sijaielewa, naombeni kueleweshwa

Halafu Mtu Kama huyo utasikia ni Waziri anaongoza wizara ya NISHATi; Umeme utakosa kukatika?
Hata ningekuwa mimi ndio umeme nisingewaka
Huyu jamaa interview yake na shaka wa voa nilishangaa sana kwa jinsi alivyokua anazungumza
 
Wale tuliopita special school kwa msuli na kupanga A tano hadi saba huwa tukipata huzuni na ukakasi sana kuona watu waliounga unga elimu zao wakiwa waheshimiwa wabunge na mawaziri wenye vitambi wakitunga sheria za nchi kwa akili mbovu za mtaani! PLATO alipenda sana wenye akili ya darasani "philosopher kings" ndo waongoze nchi ila kwa bongo ni kinyume chake!!

wanaosema ndiyo semeni ndiyo ndiyoooooooooooo, wanaosema siyo semeni siyo siyooo!!

Kwa hizo A zako unahisi Kiakili unamzidi ama upo sawa na Shigongo kweli?

Shigongo kabla hajaenda bungeni tayari ni bilionea.

Shigongo kwa miaka zaidi ya kumi iliyopita Ameajiri zaidi ya watu 100 kwenye kampuni zake kwa zaidi ya miaka 10. Na tena sio ajira za house girl . Bali ni ajira rasmi zinazotambuliwa na nssf na tra na hata wizara ya ajira.

Wewe na A zako umeajiri watu wangapi?
 
View attachment 2232004

Mweshmiwa wetu huyu, muwakilishi wa wananchi wa jimbo la Buchosa, elimu yake imekaaje?

Chuo cha Tumaini University ndio mna degree za namna hii? tena inaonesha alisoma 2017 mpaka 2020 huu udahili walifanya TCU au?

Mbona waheshimiwa mna elimu za kuunga , au ni utaratibu gani unatumika mtu anatoka la saba anaenda degree ili na sisi tupeleke watoto wetu?

Elimu ya nchii inachezewa sana
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Sasa huyu aliyepata utajiri kwa dhuluma ya mali za mjomba wake ana kipaji gani?

Hata biashara zake nyingi ni za dili za kihuni tu. Hukumbuki alikuwa anatoa machozi enzi za jiwe alipokataliwa kulipwa malipo hewa ya t-shirt za ccm??
Mkuu hiyo dhuluma ya mjomba ikoje ?
 
View attachment 2232004

Mweshmiwa wetu huyu, muwakilishi wa wananchi wa jimbo la Buchosa, elimu yake imekaaje?

Chuo cha Tumaini University ndio mna degree za namna hii? tena inaonesha alisoma 2017 mpaka 2020 huu udahili walifanya TCU au?

Mbona waheshimiwa mna elimu za kuunga , au ni utaratibu gani unatumika mtu anatoka la saba anaenda degree ili na sisi tupeleke watoto wetu?

Elimu ya nchii inachezewa sana
Anataka asome Shahada ya Uzamili Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ambako amekataliwa kwa kukosa Cheti cha Kidato cha 4. Anataka Bunge liwalazimishe Udsm kumkubalia.

Kwa nini asiendelee na Shahada ya Uzamili kule alikopata Shahada ya Kwanza? Na kama anataka kusoma Udsm, namshauri afanye Mtihani wa Kidato cha 4.

Aache uoga. Atafute Walimu wamfundishe ili apate Cheti cha Form 4 akidhi vigezo.
 
View attachment 2232004

Mweshmiwa wetu huyu, muwakilishi wa wananchi wa jimbo la Buchosa, elimu yake imekaaje?

Chuo cha Tumaini University ndio mna degree za namna hii? tena inaonesha alisoma 2017 mpaka 2020 huu udahili walifanya TCU au?

Mbona waheshimiwa mna elimu za kuunga , au ni utaratibu gani unatumika mtu anatoka la saba anaenda degree ili na sisi tupeleke watoto wetu?

Elimu ya nchii inachezewa sana
Kulikuwa na utaratibu wa mitihani ya RPL, ambapo kama mtu ni darasa la saba ila ana ujuzi wowote anataka kuuboresha!! Alikuwa anafanya huo mtihani akifaulu anaingia kusoma bachelor degree moja kwa moja!!

Huo mtihani ulikuwa unasimamia na TCU wenyewe na baadae ukaondolewa ndipo ikaletwa Foundation Program inayo simamiwa na TCU kupitia Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.

Hana shida huyo, kapita njia sahihi kabisa!
 
Uelewa mdogo tuu...wengi wenu vijana mmepoteza muda kwa kukaririshwa mavitu yasio na msaada wowote,mnakuja uraiani mnaanza kulialia ajira, hawa ambao wanaishi na familia zao na hawajawahi kukariri huko wanaoishi na ninyi nani wame elimika

Unaweza elimika kwa muingiliano wa kila siku na mazingira na kutatua changamoto,kusafiri hata..."exposure" nimekosa neno la kiswahili

Hiyo kampuni ya Shigongo amewaajiri watu kibao wakariri upuuzi mnaojiita mna elimu afu mnalilia nyongeza ya 23.3% ...ili maisha yaende
 
Kwa hizo A zako unahisi Kiakili unamzidi ama upo sawa na shigongo kweli?

Shigongo kabla hajaenda bungeni tayari ni bilionea.

Shigongo kwa miaka zaidi ya kumi iliyopita Ameajiri zaidi ya watu 100 kwenye kampuni zake kwa zaidi ya miaka 10. Na tena sio ajira za house girl . Bali ni ajira rasmi zinazotambuliwa na nssf na tra na hata wizara ya ajira.

Wewe na A zako umeajiri watu wangapi?
Huyo mjinga mwambie! Yeye na ukoo wake wote hawamfikii Shigongo kwa kila kitu! Tatizo wanaamini sana Makaratasi kuliko uhalisia!
 
View attachment 2232004

Mweshmiwa wetu huyu, muwakilishi wa wananchi wa jimbo la Buchosa, elimu yake imekaaje?

Chuo cha Tumaini University ndio mna degree za namna hii? tena inaonesha alisoma 2017 mpaka 2020 huu udahili walifanya TCU au?

Mbona waheshimiwa mna elimu za kuunga , au ni utaratibu gani unatumika mtu anatoka la saba anaenda degree ili na sisi tupeleke watoto wetu?

Elimu ya nchii inachezewa sana
Wacha dharau za kipumbavu wewe! Si ajabu kwanza anakupiga gap hata kwenye kuelewa mambo pamoja na madigrii yako hayo. Hii kitu mbona ameshaielezea kwamba TCU walikuja na kitu kinaitwa Recognition of Prior Learning (RPL) ndicho kilichombeba maana alikuwa na kipaji cha uandish! Ninaamini hata ukikalishwa naye kwenye mdahalo wowote lazima kamasi likutoke!
 
Kwa hizo A zako unahisi Kiakili unamzidi ama upo sawa na shigongo kweli?

Shigongo kabla hajaenda bungeni tayari ni bilionea.

Shigongo kwa miaka zaidi ya kumi iliyopita Ameajiri zaidi ya watu 100 kwenye kampuni zake kwa zaidi ya miaka 10. Na tena sio ajira za house girl . Bali ni ajira rasmi zinazotambuliwa na nssf na tra na hata wizara ya ajira.

Wewe na A zako umeajiri watu wangapi?
mkuu usitumie nguvu kutoa hoja! naona povu tu huna points! elimu inakupa reasoning and technical know how!
 
Amesoma kupitia Recognition Prior Learning mpango wa kujiendeleza kielimu chini ya bodi ya vyuo vikuu. Kwa sasa haupo tena. Kuna mitihani unafanya na vigezo maalum. Kulikua na kozi kadhaa Mzumbe, Tumaini, UDOM na UDSM chini ya huo mpango maalum.
Anhaa, sasa mbona hazikuorodheshwa hapo pia hizo Prior Learning Recognition... Hilo gap ameruka ni kubwa sana from CPEE to Degree?
 
Wale tuliopita special school kwa msuli na kupanga A tano hadi saba huwa tukipata huzuni na ukakasi sana kuona watu waliounga unga elimu zao wakiwa waheshimiwa wabunge na mawaziri wenye vitambi wakitunga sheria za nchi kwa akili mbovu za mtaani! PLATO alipenda sana wenye akili ya darasani "philosopher kings" ndo waongoze nchi ila kwa bongo ni kinyume chake!!

wanaosema ndiyo semeni ndiyo ndiyoooooooooooo, wanaosema siyo semeni siyo siyooo!!
Mkuu utapata sonona usipate tiba. Hiyo ndio inaharibu wasomi the so called “vipaji” kufikiri dunia itasimama kwa ajili yao. Maisha hayako mstari mnyoofu
 
View attachment 2232004

Mweshmiwa wetu huyu, muwakilishi wa wananchi wa jimbo la Buchosa, elimu yake imekaaje?

Chuo cha Tumaini University ndio mna degree za namna hii? tena inaonesha alisoma 2017 mpaka 2020 huu udahili walifanya TCU au?

Mbona waheshimiwa mna elimu za kuunga , au ni utaratibu gani unatumika mtu anatoka la saba anaenda degree ili na sisi tupeleke watoto wetu?

Elimu ya nchii inachezewa sana
Kakuzidi vitu vingi mno acha dharau za kimaskini. Halafu wewe ndo tukuulize kwanini usiende kuwauliza TUDARCO badala ya kuleta majungu hapa?
 
View attachment 2232004

Mweshmiwa wetu huyu, muwakilishi wa wananchi wa jimbo la Buchosa, elimu yake imekaaje?

Chuo cha Tumaini University ndio mna degree za namna hii? tena inaonesha alisoma 2017 mpaka 2020 huu udahili walifanya TCU au?

Mbona waheshimiwa mna elimu za kuunga , au ni utaratibu gani unatumika mtu anatoka la saba anaenda degree ili na sisi tupeleke watoto wetu?

Elimu ya nchii inachezewa sana
Acha wivu dogo!

Kakuacha mbali ingawa umemzidi elimu
 
Anhaa, sasa mbona hazikuorodheshwa hapo pia hizo Prior Learning Recognition... Hilo gap ameruka ni kubwa sana from CPEE to Degree?
Labda tuwalaumu hao watu wa kanzidata kwa kushindwa kuweka vema taarifa.
Suala la Recognition of Prior Learning liko duniani kote tusiishi kwa kukariri.
 
Back
Top Bottom