Hii Elimu ya Mbunge Erick Shigongo sijaielewa, naombeni kueleweshwa

Hii Elimu ya Mbunge Erick Shigongo sijaielewa, naombeni kueleweshwa

Mimi sioni ubaya sema tu Bongo tumechelewa sana, nchi zilizoendelea kuna watu wana vipaji vikubwa vyenye manufaa na vinatambuliwa na wanapewa shahada, kwanini iwe nongwa kwa mzee wa Global?

Mimi naamini kakuzidi vitu vingi sana. Hawezi kuandika Mweshmiwa kama wewe bali Mheshimiwa

Kasoro zenye kasoro.
Vipaji vyake ni vipi?? Kutafsiri story kutoka kiingereza kwenda kiswahili au kuna zaidi ya hapo? Ukiniambia ana uthubutu nitakuelewa.
 
Anataka asome Shahada ya Uzamili Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ambako amekataliwa kwa kukosa Cheti cha Kidato cha 4. Anataka Bunge liwalazimishe Udsm kumkubalia.

Kwa nini asiendelee na Shahada ya Uzamili kule alikopata Shahada ya Kwanza? Na kama anataka kusoma Udsm, namshauri afanye Mtihani wa Kidato cha 4.

Aache uoga. Atafute Walimu wamfundishe ili apate Cheti cha Form 4 akidhi vigezo.
Hawezi kutoboa
 
Mjomba wake alikuwa hajambo ktk utafutaji, hivyo alimpa Shigongo kazi ya kusimamia miradi na vitega uchumi vyake.

Alipofariki Shigongo aliuza na kujimilikisha mali bila huruma na kumuacha mke wa mjomba wake akiteseka yeye akakimbilia Dar.

Huku Shinyanga stori hii imeenea sana . Shigongo tunamuona mwizi tu.
Si ndo huko tena mlimpa Ubunge??? Mimi nahisi hizi habari zako hazina mashiko!
 
WATANZANIA tuna roho mbaya na husda juu ya mafanikio ya wengine....sijui kasumba hii itaisha lini......ili uweze kupiga hatua unatakiwa uishi na waTanzania katika mlengo wa kiuadui na kimumiani....usidanyanyike na tabasamu lake usoni.......

Sijui tunajisikiaje raha kuona watu wakiteseka.....

Hata huko maofisini badala ya kazi ni majungu na kurogana tu.......
 
View attachment 2232004


Mweshmiwa wetu huyu, muwakilishi wa wananchi wa jimbo la Buchosa, elimu yake imekaaje?

Chuo cha Tumaini University ndio mna degree za namna hii? tena inaonesha alisoma 2017 mpaka 2020 huu udahili walifanya TCU au?

Mbona waheshimiwa mna elimu za kuunga , au ni utaratibu gani unatumika mtu anatoka la saba anaenda degree ili na sisi tupeleke watoto wetu?

Elimu ya nchii inachezewa sana
Sifa za kuwa mbunge kielimu ni zipi?,
 
Mimi sioni ubaya sema tu Bongo tumechelewa sana, nchi zilizoendelea kuna watu wana vipaji vikubwa vyenye manufaa na vinatambuliwa na wanapewa shahada, kwanini iwe nongwa kwa mzee wa Global?

Mimi naamini kakuzidi vitu vingi sana. Hawezi kuandika Mweshmiwa kama wewe bali Mheshimiwa

Kasoro zenye kasoro.
Bado hujajibu hoja mkuu. Tz inawezekana mtu kutoka la saba kwenda degree?
 
Mimi sioni ubaya sema tu Bongo tumechelewa sana, nchi zilizoendelea kuna watu wana vipaji vikubwa vyenye manufaa na vinatambuliwa na wanapewa shahada, kwanini iwe nongwa kwa mzee wa Global?

Mimi naamini kakuzidi vitu vingi sana. Hawezi kuandika Mweshmiwa kama wewe bali Mheshimiwa

Kasoro zenye kasoro.
Tatizo hapoo ni kuwa watu wanapopwea digrii za heshima ama kwa vipaji vya au kwa sababu yoyote, wao huziita ni sehemu ya elimu yao badala ya kuziweka kwa kipengele cha "Awards and honors"
 
Tanzania hakuna kuchekana unakuta Chuo Cha Maji harafu maji yanakatika au hakuna kabisa..hakuna ugunduzi wowote tunsofanya zaidi ya kujisifia A za chuo zisizo na msaada wowote...Nchi ina ardhi ya kutosha madini na mbuga ila hatujui tufanye nini na tuanzie wapi tunalia kama vile Nchi ipo Jangwani...
 
View attachment 2232004


Mweshmiwa wetu huyu, muwakilishi wa wananchi wa jimbo la Buchosa, elimu yake imekaaje?

Chuo cha Tumaini University ndio mna degree za namna hii? tena inaonesha alisoma 2017 mpaka 2020 huu udahili walifanya TCU au?

Mbona waheshimiwa mna elimu za kuunga , au ni utaratibu gani unatumika mtu anatoka la saba anaenda degree ili na sisi tupeleke watoto wetu?

Elimu ya nchii inachezewa sana
Unauliza kwa kugundua wewe au baada ya yeye mwenyewe kusema?
 
kwani palipojengwa chuo cha maji ni lazima maji yawepo muda wote?
Kitu kidogo kama hiki kinakusumbua utaweza kupata majibu kwa vitu Tata kweli...Maji yanapotea mto Ruvu daslm hakuna ukiulizwa unaona sawa tuu wakati wenzetu wameweza kusafirisha Maji kutoka mbeya mpaka Arusha kwa umbali wake nikizungumzia KM hutaelewa...
 
Watu wengi humu mna hiyo degree lakini hata kuandika hamjui.

Kikubwa ni ujinga uliowajaa.Kwani elimu ya degree ina nini cha ziada ambacho mtu hawezi kusoma?Mbona huyu mnayemwita darasa la saba alikuwa na GPA ya 5?

Tatizo kubwa la nchi hii watu wanasoma kupata cheti na si kupata elimu.
Cheti kinatumika kama njia ya kutengeneza madaraja ya wasomi na wasiosoma.
Ukweli wapo wengi sana mtaani wamekosa fursa tu ya kusoma kwa sababu ya umaskini lakini wana akili kuliko ninyi mnajidai hamkuunga.
Inawezekana hata uliopo huwezi kuwa hata mwenyekiti wa kikundi kwa sababu huna uwezo
 
Mimi sioni ubaya sema tu Bongo tumechelewa sana, nchi zilizoendelea kuna watu wana vipaji vikubwa vyenye manufaa na vinatambuliwa na wanapewa shahada, kwanini iwe nongwa kwa mzee wa Global?

Mimi naamini kakuzidi vitu vingi sana. Hawezi kuandika Mweshmiwa kama wewe bali Mheshimiwa

Kasoro zenye kasoro.
Katibu wa Mbunge unapambana kweri kweri.
Au nasema uongo ndugu zangu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
View attachment 2232004


Mweshmiwa wetu huyu, muwakilishi wa wananchi wa jimbo la Buchosa, elimu yake imekaaje?

Chuo cha Tumaini University ndio mna degree za namna hii? tena inaonesha alisoma 2017 mpaka 2020 huu udahili walifanya TCU au?

Mbona waheshimiwa mna elimu za kuunga , au ni utaratibu gani unatumika mtu anatoka la saba anaenda degree ili na sisi tupeleke watoto wetu?

Elimu ya nchii inachezewa sana
Naona kampeni za kulitwaa jimbo zimeanza mapema sana
 
Kitu kidogo kama hiki kinakusumbua utaweza kupata majibu kwa vitu Tata kweli...Maji yanapotea mto Ruvu daslm hakuna ukiulizwa unaona sawa tuu wakati wenzetu wameweza kusafirisha Maji kutoka mbeya mpaka Arusha kwa umbali wake nikizungumzia KM hutaelewa...
Ni kweli, kwa jinsi unavyoandika, sitaelewa!
 
Mimi sioni ubaya sema tu Bongo tumechelewa sana, nchi zilizoendelea kuna watu wana vipaji vikubwa vyenye manufaa na vinatambuliwa na wanapewa shahada, kwanini iwe nongwa kwa mzee wa Global?

Mimi naamini kakuzidi vitu vingi sana. Hawezi kuandika Mweshmiwa kama wewe bali Mheshimiwa

Kasoro zenye kasoro.
Umemtwanga na kitu kizito hapa
 
Sasa huyu aliyepata utajiri kwa dhuluma ya mali za mjomba wake ana kipaji gani?

Hata biashara zake nyingi ni za dili za kihuni tu. Hukumbuki alikuwa anatoa machozi enzi za jiwe alipokataliwa kulipwa malipo hewa ya t-shirt za ccm??
Na enzi za Magufuri huyo huyo akaukwaa ubunge
 
Wale tuliopita special school kwa msuli na kupanga A tano hadi saba huwa tukipata huzuni na ukakasi sana kuona watu waliounga unga elimu zao wakiwa waheshimiwa wabunge na mawaziri wenye vitambi wakitunga sheria za nchi kwa akili mbovu za mtaani! PLATO alipenda sana wenye akili ya darasani "philosopher kings" ndo waongoze nchi ila kwa bongo ni kinyume chake!!

mtu ambae hakusoma vizuri hukosa vitu vitatu
1.reasoning
2. technical thinking
3.multifaceted and multidimensional thinking.

Yaani mtu mwenye madarasa machache kichwani akili yake inaona karibu, akili haina upembuzi yakinifu , hufanya lots of misinterpretation, huwa na jazba, huwa wabinafsi,ni wabishi, hulazimisha watu mambo wanayotaka wao bila kujali mazingira ya jambo, hudhani wanajua kuliko wengine, huchukulia mambo personal mf mwambie mh hili shati halijakukaa atakuchukia jumla badala ya kusema ahsante na kuvaa shati jingine na iwe imeisha hiyo na akili ya mtu asiesoma vizuri inaona njia moja tu ya kufanya kitu mf unamwambia best nataka niende Tanga ukweni atakujibu fasta, kuna jamaa yangu anafanya kazi Tashrif bus tumpigie cm chap akili yake haiangalii we ni mtu gani inawaza Tashrif tu kumbe we unazo na huwa unapanda Bombardier au helkopta ya kukodi kwenda Tanga!!
. nashindwa kumuelewesha mtu ambae hakusoma akanielewa!

mtu mwenye elimu mitaani dot com huwezi kumuelewesha maana ya SDG, GDP, per capita income, Human development index, Income guarantee scheme, Public Policy , PPP, GNP, Treasury Bills, Economic Diplomacy, Constitution Amendment,classified materials, Capitalism, Socialism etc sasa akisinzia bungeni na kushindwa kuchangia hoja wakati wa mijadala ya kisomi kama hiyo usimlaumu! ni ukweli mchungu mbunge anatakiwa kuwa mtu msomi ila bongo huwa hatujali tumejaza vilaza mjengoni na umaskini hautaisha!! Note: kuna tofauti ya "kumuelezea mtu jambo" na "kumuelewesha jambo" mtu ambae kichwani hakuna vidato hana uwezo wa kuelewa vile unavyotaka!!

wanaosema ndiyo semeni ndiyo ndiyoooooooooooo, wanaosema siyo semeni siyo siyooo!!

kwenye msafara wa mamba kenge pia wapo!! ukiona kobe yuko juu ya mti anakupa hai ujue kapandishwa!!
Shida ya wasomi wana mambo mengi ya kumeza kutoka vitabuni na inapofika kwenye real life wanakuwa kama vilaza kabisa.

Wasomi wengi ukiwasimamisha na kibajaji ili wajenge ushawishi kwa wananchi, nakuhakikishia hutaona tofauti kati yao. Vichwa vingi vya wasomi hasa wa Bongo vimejaa Mfekane war, Kinjenkitile, Kirchofs, Benulier, Bohre theory, Dalton na takataka nyingine. Hakuna applied knowledge. Tunahitaji kizazi kipya cha kuikwamua hii nchi.
 
Back
Top Bottom