Hii Elimu ya Mbunge Erick Shigongo sijaielewa, naombeni kueleweshwa

Kwa hizo A zako unahisi Kiakili unamzidi ama upo sawa na shigongo kweli?

Shigongo kabla hajaenda bungeni tayari ni bilionea.

Shigongo kwa miaka zaidi ya kumi iliyopita Ameajiri zaidi ya watu 100 kwenye kampuni zake kwa zaidi ya miaka 10. Na tena sio ajira za house girl . Bali ni ajira rasmi zinazotambuliwa na nssf na tra na hata wizara ya ajira.

Wewe na A zako umeajiri watu wangapi?
Teh teh teh

Watu wanasoma, wanaishi kwa kukariri...

Mtu anafikiria akishapata A basi

Maisha yake yote itakuwa mteremko

Ova
 
View attachment 2232004

Mweshmiwa wetu huyu, muwakilishi wa wananchi wa jimbo la Buchosa, elimu yake imekaaje?

Chuo cha Tumaini University ndio mna degree za namna hii? tena inaonesha alisoma 2017 mpaka 2020 huu udahili walifanya TCU au?

Mbona waheshimiwa mna elimu za kuunga , au ni utaratibu gani unatumika mtu anatoka la saba anaenda degree ili na sisi tupeleke watoto wetu?

Elimu ya nchii inachezewa sana
We endelea kukariri makaratasi

Ova
 
This is a true picture of MP's from CCM

Imagine

Kibajaji
Msukuma
Jah people
Saul
Katambi
Mulugo

Hao ndio CCM
Elimu peke yake haitoshi kukufanya uwe kiongozi mzuri. Kuna wabunge ni PhDs lakini tukija kwenye uhalisia huko bungeni na majimboni Musukuma anafanya vizuri kuliko wao.
 
Labda tuwalaumu hao watu wa kanzidata kwa kushindwa kuweka vema taarifa.
Suala la Recognition of Prior Learning liko duniani kote tusiishi kwa kukariri.
Ni kweli mkuu Recognition of prior learning iko. Ni ajabu sana watu wa kanzidata wa Bunge kuamua kutoorodhesha hapo alafu wakakumbuka kuweka CPEE na degree tuuu. Mh. Shigogo inabidi aongee nao hao vijana.
 
View attachment 2232004

Mweshmiwa wetu huyu, muwakilishi wa wananchi wa jimbo la Buchosa, elimu yake imekaaje?

Chuo cha Tumaini University ndio mna degree za namna hii? tena inaonesha alisoma 2017 mpaka 2020 huu udahili walifanya TCU au?

Mbona waheshimiwa mna elimu za kuunga , au ni utaratibu gani unatumika mtu anatoka la saba anaenda degree ili na sisi tupeleke watoto wetu?

Elimu ya nchii inachezewa sana
Labda alitunukiwa baada ya kuandika mfalme anampenda mke wake
 
Mkuu hiyo dhuluma ya mjomba ikoje ?
Mjomba wake alikuwa hajambo ktk utafutaji, hivyo alimpa Shigongo kazi ya kusimamia miradi na vitega uchumi vyake.

Alipofariki Shigongo aliuza na kujimilikisha mali bila huruma na kumuacha mke wa mjomba wake akiteseka yeye akakimbilia Dar.

Huku Shinyanga stori hii imeenea sana . Shigongo tunamuona mwizi tu.
 
Shigongo anadai mali katafuta kwa kuanza kidogo kidogo. Alikuwa analala pale Mnazi Mmoja kwenye mitaro
 
Muongo. Mwizi mkubwa huyo. Nendeni Shinyanga mtaambiwa kila kitu.

Ni kama ilivyo kwa Msukuma yeye alikuwa mtekaji wa mabasi. Huku tuna taarifa zote.
 
Kumbe utajiri ni ujasiri na ni siri. No joke. Sacrifices lazima. Lazima ukubali lawama
 
View attachment 2232004

Mweshmiwa wetu huyu, muwakilishi wa wananchi wa jimbo la Buchosa, elimu yake imekaaje?

Chuo cha Tumaini University ndio mna degree za namna hii? tena inaonesha alisoma 2017 mpaka 2020 huu udahili walifanya TCU au?

Mbona waheshimiwa mna elimu za kuunga , au ni utaratibu gani unatumika mtu anatoka la saba anaenda degree ili na sisi tupeleke watoto wetu?

Elimu ya nchii inachezewa sana
Wivu tu, haya tuambie wewe na elimu umemzidi nini mh Shigongo?
 
Back
Top Bottom