Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hiyo dhuluma ya mjomba ikoje ?
Pep
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hiyo dhuluma ya mjomba ikoje ?
Aliukwaa kwa sababu ya udikteta na hila za huyo jiwe.Na enzi za Magufuri huyo huyo akaukwaa ubunge
Hapo ndo msomi akili yako inakopaswa kutumika sasaAliukwaa kwa sababu ya udikteta na hila za huyo jiwe.
Jiwe alijivika mamlaka ya kuwachagulia wananchi wabunge na wenyeviti wa halmashauri.
Jiwe alikuwa nuksi