Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 78,950 Reaction score 236,667 May 23, 2022 #101 Erythrocyte said: Mkuu hiyo dhuluma ya mjomba ikoje ? Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pep Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Erythrocyte said: Mkuu hiyo dhuluma ya mjomba ikoje ? Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pep Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,705 Reaction score 65,343 May 23, 2022 #102 Kyatile said: Na enzi za Magufuri huyo huyo akaukwaa ubunge Click to expand... Aliukwaa kwa sababu ya udikteta na hila za huyo jiwe. Jiwe alijivika mamlaka ya kuwachagulia wananchi wabunge na wenyeviti wa halmashauri. Jiwe alikuwa nuksi
Kyatile said: Na enzi za Magufuri huyo huyo akaukwaa ubunge Click to expand... Aliukwaa kwa sababu ya udikteta na hila za huyo jiwe. Jiwe alijivika mamlaka ya kuwachagulia wananchi wabunge na wenyeviti wa halmashauri. Jiwe alikuwa nuksi
Kyatile JF-Expert Member Joined Feb 5, 2017 Posts 1,741 Reaction score 1,588 May 23, 2022 #103 Sexless said: Aliukwaa kwa sababu ya udikteta na hila za huyo jiwe. Jiwe alijivika mamlaka ya kuwachagulia wananchi wabunge na wenyeviti wa halmashauri. Jiwe alikuwa nuksi Click to expand... Hapo ndo msomi akili yako inakopaswa kutumika sasa
Sexless said: Aliukwaa kwa sababu ya udikteta na hila za huyo jiwe. Jiwe alijivika mamlaka ya kuwachagulia wananchi wabunge na wenyeviti wa halmashauri. Jiwe alikuwa nuksi Click to expand... Hapo ndo msomi akili yako inakopaswa kutumika sasa