Hii fantasy kuhusu matamanio haya ipo kwangu tu au nina shida kisaikolojia

upo maana uliyoyaandika ndo mambo yetu..😂
Hapana, nimetamka wazi mkuu kwangu imeanza mwaka huu, mimi mwaminifu mkuu nampenda yule mmoja anayenivalia vizuri mkuu ila nafsi na roho vitulie....kwa heshima, usicomment mkuu, nipo kimkakati utaniharibia pls kwa heshima tulia
 
Mi shape yangu naipenda bana
Sawa, nakupa siri ya kambi vaa nyeupe (ila sio za huku mbili au alfu kumi ).....zaa bei ya juu alafu mtege huyo jamaa tuone kama hajatuma na yakutolea, muda mwingine mapenzi sio kuingiliana, hapana mda mwingine ni vikweregezo (sijui kama nimetamka vizuri) vidogo vidogo tu vinamteka mtu
 
Kwanza kabisa wanangu wa msimbazi, aminini hii HAIJAISHA BADO, ITAISHA KWA FURAHA KUBWA MNO!!!....niamini

Direct kwenye mada.

Wakuu toka mwaka huu uanze ( kwa kukadiria )....nimekuwa na hisia ambazo sizielewi sijui kwamba ni sawa au saikolojia yangu haipo sawa, ndio maana nikachukua hatua ya kuja hapa kushea hii kitu na nyie wadau.

1....navutiwa sana na mwanamke akiwa na nguo za ndani(Pichu ) kabla ya kusex na hata baada ya kusex......yaani kifupi niivue mimi, iwe nyeupe ya kawaida safi, isiwe zile za kizungu za kamba ( zinanikata mood )

Na baada ya kusex akirudia tena kuvaa nguo ya ndani Fasta ni wazi mashambulizi yataanza upya bila kutegemea
2....yaani kifupi akiwa na nguo ya ndani iwe kwenye picha au chumbani ananivutia mara 200 zaidi akiwa na nguo au uchi.

Sijui kama ni sawa au ni ishu za kisaikolojia, nimeelezeq kifupi sana but ni ishu inayonisumbua, ndio maana nimekuja hapa.

Kama ni kawaida niambie, na kama sio pia niambie tu ila kwa lugha ya kawaida sio ya matusi au dhihaki sawa!!

Niishie hapo!
punguza kuangalia Porno
 
Ngoja kwanza tumalizie kutengeneza satelite yetu wenyewe naona unaanza kuturudisha nyuma...
 
Sawa, nakupa siri ya kambi vaa nyeupe (ila sio za huku mbili au alfu kumi ).....zaa bei ya juu alafu mtege huyo jamaa tuone kama hajatuma na yakutolea, muda mwingine mapenzi sio kuingiliana, hapana mda mwingine ni vikweregezo (sijui kama nimetamka vizuri) vidogo vidogo tu vinamteka mtu
Navaa ya rangi yoyote ili mradi imenipendeza mimi kwanza. Kama anapenda nyeupe aniletee za kutosha ndo nitajua kwamba anapenda hiyo rangi.

Sio wote wanapenda nyeupe
 
Sawa, imejaribu kukupa code tu ya kile tulichokubaliana kwenye kikao chetu cha wanaume mara ya mwisho......akikutenda huko, najua utakuja kuanza kulalama hapa Jf na kuomba ushauriwe, mimi nitakuwa mpuuzi wa mwisho kukushauri na wakati ushauri umekataa...sawa
 
Huyu wangu hataki hata nivae chupi. So pambaneni huko na wakwenu
 
Kwa Demi sijui🤣, unajua rika lake ndio miaka yetu walikuwa wanatusumbua sana tukiwatongoza. Hawakuwa wanakubali kirahisi, so huenda wapo na tradition za zamani za chupi kama chupi...sio kamba!!
Yeah..chupi kama chupi
 
Back
Top Bottom