Hii fantasy kuhusu matamanio haya ipo kwangu tu au nina shida kisaikolojia

Hii fantasy kuhusu matamanio haya ipo kwangu tu au nina shida kisaikolojia

Kwa Demi sijui🤣, unajua rika lake ndio miaka yetu walikuwa wanatusumbua sana tukiwatongoza. Hawakuwa wanakubali kirahisi, so huenda wapo na tradition za zamani za chupi kama chupi...sio kamba!!
Yes walitutesa sana, walikuwa wanaona hatuna la kuwapa zaidi ya kuwala haha.
Haya maisha haya, unashangaa ulichokuwa unakisotea sana lkn sasa wewe ndio unasotewa na muda huna😂😂
 
ila haijioneshi, ryt?
Kwani nani anaona chupi yangu kila wakati?
Chupi nyeusi inaonyesha uchafu na usipoifua vzr mara mbili tatu inabadilika rangi inakuwa ya brown.
So rangi ya chupi haina uhusiano wowote na usafi. Kama mchafu mchafu tu.
 
Kwanza kabisa wanangu wa msimbazi, aminini hii HAIJAISHA BADO, ITAISHA KWA FURAHA KUBWA MNO!!!....niamini

Direct kwenye mada.

Wakuu toka mwaka huu uanze ( kwa kukadiria )....nimekuwa na hisia ambazo sizielewi sijui kwamba ni sawa au saikolojia yangu haipo sawa, ndio maana nikachukua hatua ya kuja hapa kushea hii kitu na nyie wadau.

1....navutiwa sana na mwanamke akiwa na nguo za ndani(Pichu ) kabla ya kusex na hata baada ya kusex......yaani kifupi niivue mimi, iwe nyeupe ya kawaida safi, isiwe zile za kizungu za kamba ( zinanikata mood )

Na baada ya kusex akirudia tena kuvaa nguo ya ndani Fasta ni wazi mashambulizi yataanza upya bila kutegemea
2....yaani kifupi akiwa na nguo ya ndani iwe kwenye picha au chumbani ananivutia mara 200 zaidi akiwa na nguo au uchi.


Sijui kama ni sawa au ni ishu za kisaikolojia, nimeelezeq kifupi sana but ni ishu inayonisumbua, ndio maana nimekuja hapa.

Kama ni kawaida niambie, na kama sio pia niambie tu ila kwa lugha ya kawaida sio ya matusi au dhihaki sawa!!

Niishie hapo!
Kifupi ni kwamba nusu uchi kwa mwanamke inachochea zaidi matamanio kuliko kuwa uchi kabisa. Hii ndo sababu wanawake wanakuwa na night dresses zenye design za kila aina, nyengine huwa ni see through, nyengine zina-expose baadhi ya maeneo ya mwili na kuziba sehemu ndogo nyengine n.k

Achilia mbali chumbani hata mtaani tu, ukimuona mwanamke anayenyonyesha akiwa kifua wazi na mwengine ambaye amevaa dera bila sidiria basi atakayekushughulisha zaidi ni huyo wa pili.
 
Ukiona hivyo ujue huyo mtu ni mgonjwa.
AKivaa nyeusi ndo haina aibu? Na yenyewe inachafuka kama nyeupe
Hapana hapa unatupanga, kitu chochote cheupe kinavutia na kuangaza vizuri, hata rangi (taa yaani) zipo za rangi kibao ila nyeupe ndio zinapendwa na wote, hata mpenzi wako ni vivyo hivyo, ni basi tu labda anaogopa kukuambia, labda kwa sababu anakuheshimu nk..usipuuzie mada kama hizi huenda ni za kipuuzi/kifala but pia zinaweza kujenga mahusiano yako to the highest
 
Hapana hapa unatupanga, kitu chochote cheupe kinavutia na kuangaza vizuri, hata rangi (taa yaani) zipo za rangi kibao ila nyeupe ndio zinapendwa na wote, hata mpenzi wako ni vivyo hivyo, ni basi tu labda anaogopa kukuambia, labda kwa sababu anakuheshimu nk..usipuuzie mada kama hizi huenda ni za kipuuzi/kifala but pia zinaweza kujenga mahusiano yako to the highest
Hizi mada zenu za kitoto hazina uhalisia. Mabinti ndo watafata ushauri wako.
Mimi navaa chochote, hutaki kula mzigo sepa kiroho safi
 
Back
Top Bottom