Hii fantasy kuhusu matamanio haya ipo kwangu tu au nina shida kisaikolojia

Hii fantasy kuhusu matamanio haya ipo kwangu tu au nina shida kisaikolojia

Kwanza kabisa wanangu wa msimbazi, aminini hii HAIJAISHA BADO, ITAISHA KWA FURAHA KUBWA MNO!!!....niamini

Direct kwenye mada.

Wakuu toka mwaka huu uanze ( kwa kukadiria )....nimekuwa na hisia ambazo sizielewi sijui kwamba ni sawa au saikolojia yangu haipo sawa, ndio maana nikachukua hatua ya kuja hapa kushea hii kitu na nyie wadau.

1....navutiwa sana na mwanamke akiwa na nguo za ndani(Pichu ) kabla ya kusex na hata baada ya kusex......yaani kifupi niivue mimi, iwe nyeupe ya kawaida safi, isiwe zile za kizungu za kamba ( zinanikata mood )

Na baada ya kusex akirudia tena kuvaa nguo ya ndani Fasta ni wazi mashambulizi yataanza upya bila kutegemea
2....yaani kifupi akiwa na nguo ya ndani iwe kwenye picha au chumbani ananivutia mara 200 zaidi akiwa na nguo au uchi.


Sijui kama ni sawa au ni ishu za kisaikolojia, nimeelezeq kifupi sana but ni ishu inayonisumbua, ndio maana nimekuja hapa.

Kama ni kawaida niambie, na kama sio pia niambie tu ila kwa lugha ya kawaida sio ya matusi au dhihaki sawa!!

Niishie hapo!
Kawaida ya nyege zako hizo!
 
Amka utajikojolea ostadh 😹😹
Utanipata kwa Bluetooth??
Hivi nyie wana JF wenzangu yaani, ww kipenzi Lamomy na ephen_ , so far shida ni nini hasa mpaka tunazinguana?? ( kwa upande wenu ), kwa upande wangu mimi nachukulia kama matani tu Ok??.....kama kati yenu kuna mtu anachukulia personal, basi tuingize wazee kutupatanisha...BUT SO FAR TUPO HAPA KUFURAHISHA NA TU....nothing personal( msije kunigeuza utumbo au chambo )

Na mimi mzee pekee ninaye mwamini ni Mshana Jr, huyu ataisaidia kiakili, ikishindikana tunaenda kwenye ulozi/uchawi pia, ilimradi tu tusameeane sawa?
 
Hivi nyie wana JF wenzangu yaani, ww kipenzi Lamomy na ephen_ , so far shida ni nini hasa mpaka tunazinguana?? ( kwa upande wenu ), kwa upande wangu mimi nachukulia kama matani tu Ok??.....kama kati yenu kuna mtu anachukulia personal, basi tuingize wazee kutupatanisha...BUT SO FAR TUPO HAPA KUFURAHISHA NA TU....nothing personal( msije kuigeuza utumbo au chombo )

Na mimi mzee pekee ninaye mwamini ni Mshana Jr, huyu ataisaidia kiakili, ikishindikana tunaenda kwenye ulozi/uchawi pia, ilimradi tu tusameeane sawa?
Nawezaje kuchukulia vitu serious kwa mgonjwa wa akili?
Au wewe unajiona ni mzima?🤔
 
Hivi nyie wana JF wenzangu yaani, ww kipenzi Lamomy na ephen_ , so far shida ni nini hasa mpaka tunazinguana?? ( kwa upande wenu ), kwa upande wangu mimi nachukulia kama matani tu Ok??.....kama kati yenu kuna mtu anachukulia personal, basi tuingize wazee kutupatanisha...BUT SO FAR TUPO HAPA KUFURAHISHA NA TU....nothing personal( msije kunigeuza utumbo au chambo )

Na mimi mzee pekee ninaye mwamini ni Mshana Jr, huyu ataisaidia kiakili, ikishindikana tunaenda kwenye ulozi/uchawi pia, ilimradi tu tusameeane sawa?
😹😹😹 Hamna anayekuchukulia serious wewe kasongo, ni vile ukishiba unatafuta Lamomy yuko wapi nimchokoze na unakuta mi mwenyewe nishavurugwa basi tunachefuana..!!
 
Eti unipe nini?? 😹😹
Kwahiyo unanidangia unipe yutiayi?
Hebu nipotezee mi nacheza na big boyz sio wewe..!!
Ile nyingine inaanza alafu pesa baadae, mimi utanipa tu maana na mimi nacheza humo humo unapocheza ww
 
😆agenda kama ………..
  1. Kazi na utu
  2. No reform no election
Hautazipa kipaombele,vijana kama wewe mna 😃😃😃😃😃😃😃 katika jamii
 
Back
Top Bottom