Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
MAYELE APATE NAFASI KUMI NDIO AFUNGE GOLI MOJA.Tutaona hizo mbambambaa kama zitakua magoli
Munaota sana nyieImeisha hiyo.Jangwani tutembee kifua mbele. Sisi tunapambana sana nje ya uwanja nanyi mkapambane...
Nabi naye ameshakuwa zwazwa kama wana Yanga walivyo, masikini polofesa wa watu!!!!NABI KASEMA TFF WALIWANYIMA MUDA WA KUJIANDAA PIA WANA MAJERUHI WAWILI.