Hii game tumeshaimaliza Waarabu wanachinjwa Hapa na Mazishi yao hapa hapa kwao tunapeleka Msiba tu

Mpira ungekuwa unachezwa mdomoni mbona hakuna timu ingefungwa
 
Sisi wananchi tukikandwa 4g tusianze kulia hizi kimataifa tumuachie Simba tu
 
Imeisha hiyo

Jangwani tutembee kifua mbele. Sisi tunapambana sana nje ya uwanja nanyi mkapambane.

Tunashukuru Nabi baada ya kuona amekalia kuti kavu ameacha ubishi kwenye kupanga kikosi. Leo tunampiga mwarabu 3 hapa. Arude kwao akale tende na halua.

Hii ndiyo yangaaaaaaaaa. Unbeaten and will never be beaten katika ligi. Haya maneno yangu kayaweke ukutani. Nimekaa pale.

Tukifungwa leo nipigwe ban ya week nzima.
Hebu rudia tena
 
Kawaida ya wana-kandambili kutamba muda kama huu lakini mwisho wa tambo huwa ni saa kumi na mbili jioni!
Nilisema mapema asubuhi kuwa wana-kandambili (siku hizi uto..........) huwa na muda wa kutambba lakini mwisho wake ni saa kumi na mbili za jioni!!! Na kwel sijasikia tambo tena baada ya saa 12 jioni leo!!
 
Imeisha hiyo

Jangwani tutembee kifua mbele. Sisi tunapambana sana nje ya uwanja nanyi mkapambane.

Tunashukuru Nabi baada ya kuona amekalia kuti kavu ameacha ubishi kwenye kupanga kikosi. Leo tunampiga mwarabu 3 hapa. Arude kwao akale tende na halua.

Hii ndiyo yangaaaaaaaaa. Unbeaten and will never be beaten katika ligi. Haya maneno yangu kayaweke ukutani. Nimekaa pale.

Tukifungwa leo nipigwe ban ya week nzima.
Hongera kwa kutamba na kutembea kifua mbele kabla ya saa 12 jioni leo!
 
Komeo Lachuma mtoa uzi amekula kona! katelekeza uzi wake na hapa anapita kimya kimya tu utafikiri si mwenye uzi!
 
Sijautelekeza. Hatujapoteza tumetoka bila bila kule kwao tunaweza shida au pata matokeo ya baos. Game bado sana. Na jamaa wameelewa. Wana hofu sana.
 
Imeisha hiyo

Jangwani tutembee kifua mbele. Sisi tunapambana sana nje ya uwanja nanyi mkapambane.

Tunashukuru Nabi baada ya kuona amekalia kuti kavu ameacha ubishi kwenye kupanga kikosi. Leo tunampiga mwarabu 3 hapa. Arude kwao akale tende na halua.

Hii ndiyo yangaaaaaaaaa. Unbeaten and will never be beaten katika ligi. Haya maneno yangu kayaweke ukutani. Nimekaa pale.

Tukifungwa leo nipigwe ban ya week nzima.
Akili matope hizi utazikuta Yanga tu crew
 
Imeisha hiyo

Jangwani tutembee kifua mbele. Sisi tunapambana sana nje ya uwanja nanyi mkapambane.

Tunashukuru Nabi baada ya kuona amekalia kuti kavu ameacha ubishi kwenye kupanga kikosi. Leo tunampiga mwarabu 3 hapa. Arude kwao akale tende na halua.

Hii ndiyo yangaaaaaaaaa. Unbeaten and will never be beaten katika ligi. Haya maneno yangu kayaweke ukutani. Nimekaa pale.

Tukifungwa leo nipigwe ban ya week nzima.
Akili makamasi.
 
Back
Top Bottom