Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu rudia tenaImeisha hiyo
Jangwani tutembee kifua mbele. Sisi tunapambana sana nje ya uwanja nanyi mkapambane.
Tunashukuru Nabi baada ya kuona amekalia kuti kavu ameacha ubishi kwenye kupanga kikosi. Leo tunampiga mwarabu 3 hapa. Arude kwao akale tende na halua.
Hii ndiyo yangaaaaaaaaa. Unbeaten and will never be beaten katika ligi. Haya maneno yangu kayaweke ukutani. Nimekaa pale.
Tukifungwa leo nipigwe ban ya week nzima.
Nilisema mapema asubuhi kuwa wana-kandambili (siku hizi uto..........) huwa na muda wa kutambba lakini mwisho wake ni saa kumi na mbili za jioni!!! Na kwel sijasikia tambo tena baada ya saa 12 jioni leo!!Kawaida ya wana-kandambili kutamba muda kama huu lakini mwisho wa tambo huwa ni saa kumi na mbili jioni!
Kweli wamepoteana ,uto wameumaliza mwendoHawa waarabu wa bukene leo watapoteana uwanjani.
Wameumaliza mwendoAmka sasa kumekucha
Hongera kwa kutamba na kutembea kifua mbele kabla ya saa 12 jioni leo!Imeisha hiyo
Jangwani tutembee kifua mbele. Sisi tunapambana sana nje ya uwanja nanyi mkapambane.
Tunashukuru Nabi baada ya kuona amekalia kuti kavu ameacha ubishi kwenye kupanga kikosi. Leo tunampiga mwarabu 3 hapa. Arude kwao akale tende na halua.
Hii ndiyo yangaaaaaaaaa. Unbeaten and will never be beaten katika ligi. Haya maneno yangu kayaweke ukutani. Nimekaa pale.
Tukifungwa leo nipigwe ban ya week nzima.
Yanga kiukweli hata hatuelewi shida nini?Kweli wamepoteana ,uto wameumaliza mwendo
Obviously they feel Shamefull! embarassed! & frustrated!Currently, how do you feel after the results?🤣
Bado kuna match ya pili kule kwaoKweli wamepoteana ,uto wameumaliza mwendo
Sijautelekeza. Hatujapoteza tumetoka bila bila kule kwao tunaweza shida au pata matokeo ya baos. Game bado sana. Na jamaa wameelewa. Wana hofu sana.Komeo Lachuma mtoa uzi amekula kona! katelekeza uzi wake na hapa anapita kimya kimya tu utafikiri si mwenye uzi!
Bado sisi ni unbeaten. Matches za kimataifa tumefungwa moja, draw mbili na kushinda mbili.Obviously they feel Shamefull! embarassed! & frustrated!
Akili matope hizi utazikuta Yanga tu crewImeisha hiyo
Jangwani tutembee kifua mbele. Sisi tunapambana sana nje ya uwanja nanyi mkapambane.
Tunashukuru Nabi baada ya kuona amekalia kuti kavu ameacha ubishi kwenye kupanga kikosi. Leo tunampiga mwarabu 3 hapa. Arude kwao akale tende na halua.
Hii ndiyo yangaaaaaaaaa. Unbeaten and will never be beaten katika ligi. Haya maneno yangu kayaweke ukutani. Nimekaa pale.
Tukifungwa leo nipigwe ban ya week nzima.
Atajikojolea[emoji28][emoji28][emoji28]Amka sasa kumekucha
Akili makamasi.Imeisha hiyo