Hii game tumeshaimaliza Waarabu wanachinjwa Hapa na Mazishi yao hapa hapa kwao tunapeleka Msiba tu

Mpira ungekuwa unachezwa mdomoni mbona hakuna timu ingefungwa
 
Sisi wananchi tukikandwa 4g tusianze kulia hizi kimataifa tumuachie Simba tu
 
Hebu rudia tena
 
Kawaida ya wana-kandambili kutamba muda kama huu lakini mwisho wa tambo huwa ni saa kumi na mbili jioni!
Nilisema mapema asubuhi kuwa wana-kandambili (siku hizi uto..........) huwa na muda wa kutambba lakini mwisho wake ni saa kumi na mbili za jioni!!! Na kwel sijasikia tambo tena baada ya saa 12 jioni leo!!
 
Hongera kwa kutamba na kutembea kifua mbele kabla ya saa 12 jioni leo!
 
Komeo Lachuma mtoa uzi amekula kona! katelekeza uzi wake na hapa anapita kimya kimya tu utafikiri si mwenye uzi!
 
Komeo Lachuma mtoa uzi amekula kona! katelekeza uzi wake na hapa anapita kimya kimya tu utafikiri si mwenye uzi!
Sijautelekeza. Hatujapoteza tumetoka bila bila kule kwao tunaweza shida au pata matokeo ya baos. Game bado sana. Na jamaa wameelewa. Wana hofu sana.
 
Akili matope hizi utazikuta Yanga tu crew
Your browser is not able to display this video.
 
Akili makamasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…