Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
- Thread starter
-
- #21
Hahaaa, tudude!! We jamaa unafanya kazi mali asili, enhee!!
Wahaya ni watani zangu so nawajua vizuri ukute mtoa mada hata Punda wa kumbebea mzigo hana.
NOTE: Kumbebea mizigo,wakati yeye akisugua kongoro ardhini!!.
[emoji16][emoji16][emoji16]Nipo tu ndugu yangu nabangaiza bangaiza mara nipo Tz mara nipo Ulaya na Marekani ili mradi siku zinaenda
Hahaha ya hili jamaa linajikuta tajiri kumbe linaota hahaHahaaa, tudude!! We jamaa unafanya kazi mali asili, enhee!!
Nina bahati mbaya na mashemeji
Mzee angekuwepo nadhani angekuwa anawacharaza bakora wao na waume zao.pumbafu kabisa.yule dada yangu mwingine ambaye amewekewa limbwata na shemeji kiasi kwamba anatomaswa tomaswa mbele yangu bila aibu ye hajali anacheka cheka tu kama fala. Mimi na umri huu shemeji alikuwa sometime ananambia...www.jamiiforums.com
Ni wewe huyuhuyu?
.....Kwa asilimia 100% naamini huna hata passo ya million 4. Huna gari wewe na unaishi kwa shemeji au kwa wenzio.