Hii Gari mnaionaje Wadau kwa Uzoefu wenu Maana watu Wanasema sana.

Watu wanambeza kuwa hana gari asa ameyajuaje hayo yote..!!!
[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787] Watasema kuyajua magar sio mpaka uwe na gari..
 
Lengo lako wala siyo kuomba ushauri kuhusu gari la kununua, lengo lako ni kujisifia tujue una uwezo wa kiuchumi kiasi gani, umefanikiwa tumejua.
 
Nashukuru Mkuu kwa kuwa mwelewa na kunielewesha. Nashangaa wadau wame panic sana. Sijaelewa kwa nini.

Utakuwa mhaya wewe khaaa....

tuvyumba tuwili twa ghorofa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kagari kadogo ka-BMW[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Dah maisha haya mweh...
 
Kama ni mkristo na ni mwaminifu kwenye kutoa fungu la kumi..basi kila mezi unayoa 5.3M daha I can imagine mchungaji wako alivyokupa mavyeo kanisani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Its joke tu jamani.
 
Achana na hizo gari zote chukua Range Rover sport 2013 hutajutia,kwa upande wangu V8 hainiingii akilini,hata hizi za sasa hivi...
 
Kwa nini huzipendi V8 na Range umependekeza ya mwaka 2013 miaka 6 ago. Why Chief?

[emoji3][emoji3]
 
siku hizi haina haja ya kunywa pomne ulewe,, yaan maisha kwa anko magu yanawalewesha watu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…