Hii Gari mnaionaje Wadau kwa Uzoefu wenu Maana watu Wanasema sana.

Uliposema kwamba una BMW umenunua Mil 34 nikajua hapa hakuna kitu sasa unasemaje nimenunua simu laki 9 bila kusema simu gani, pia lugha ya twa, tuwili, tutatu hapo hakuna hata shule hahahaha
 
Usiwahadithie watu ndoto zako,
Waonyeshe
 
Ungenyamaza chalii yangu maana unaonesha huna akili.hata mfano wako ni wa mtu ambaye hana akili.ngoja nikupe darsa.

Ukisema umenunua simu ni sawa na kusema nimenunua gari. Hayo majina yote in english we call them common noun.

Sasa mimi nimetaja proper noun.BMW. ambapo kwenye simu mtu angesema nmenunua SAMSUNG au IPHONE.

Sasa SAMSUNG na IPHONE zina Matoleo mengi ndo mtu akitaka zaidi atasema IPHONE 5 AU SAMSUNG S 8.

Sijui kama umeweza kuelewa.fahamu una deal na watu wenye akili siyo kama wewe kilaza.

Tunyumba, tu gari, tu vyumba haya ni maneno sahihi ktk kiswahili. Fasaha yanatumika Kudogosha. Kuonesha kuwa kitu hicho either umekidharau au ni kidogo.

kama ambavyo mtu angesema nina kagari kamoja. Au kameza keupe. Pia inatumika kama prefix ambayo inafanya kazi kama adjective.yaani kuvumisha.

Msione watu tumo humu tunacheka cheka na nyie mkadhani ni wenzenu.mpaka siku unikute na shangazi au mama yako ndo utaleta heshima

Uliposema kwamba una BMW umenunua Mil 34 nikajua hapa hakuna kitu sasa unasemaje nimenunua simu laki 9 bila kusema simu gani, pia lugha ya twa, tuwili, tutatu hapo hakuna hata shule hahahaha
 
Sasa wewe si ndo ndezi uliesema umenunua BMW milioni 34 bila kusema ni BMW ipi? 3 Series, 5 Series, 7 Series inaonekana hata gari huna...
 
I should have wondered if you'd understand... 😁😁😁 I wont blame you.

Sasa wewe si ndo ndezi uliesema umenunua BMW milioni 34 bila kusema ni BMW ipi? 3 Series, 5 Series, 7 Series inaonekana hata gari huna...
 
Hizo milioni 53 ni mshahara kama wa miaka kumi na ngapi?
 
Nimesoma hii post kwa lafudhi ya kihaya. Sijui nimekuaje!!
 
Tumekywa tukila siku za sikukuu kupitia harufu ya misosi ya majirani kama unavyoziendesha hizo gari wewe pia
 
Kati ya post zinazochefua,
This must be number one
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Mleta mada inaonekana huna hata uwezo wa kumiliki Toyota Duet namba AAA.

Pumbafu sana.
 
Sio kwa kufokonyoa huku.....
Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu
 
''Na mimi huwa sinunui gari kama si chini ya 10,000 kms.'' Hapa nimepata walakini wa kukushauri..Kwa mshahara wako hupaswi kabisa kununua gari used.Hata ingekuwa chini ya Kms 2.Mara nyingi huwa tunaagiza mapya kabisa wenye mshahara kama hu😵therwise uwe kichwani una mapungufu flani ya kuelewa uhusiano na thamani ya mshahara wako na unachotaka kununua.
Umetuangusha sana kijana....wamekuzidi hata wenye baiskeli.Ngoja kwanza tumtafute MDUDE CHADEMA
 
Hii ndo Jf bhna M53 hahhaaaa Utakuwa mhaya sio buree Na Ghorofa zako 2 duh!!! hngera
 
Kwa uandishi huu mtu atakayekushauri atakuwa anapoteza muda wake tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…