Hii hali kwenye biashara siyo ya kawaida

Pole sana.
 
Nahis nimerogwa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tukianza kuwapa msasa juu ya mambo ya kibiashara kiroho mnasema tunaenda kuliwa Hela zetu kwa Watumishi, Ona sasa umerudi unaliaπŸ˜‚ kama umeamua kwenda kwa mganga Nenda deep zaidi Nenda kachinje haswaaaaaa Fanya juu chini ukutane na Shetani mwenyewe au Kajisalimishe kwa wakuu wa soko wa hapo kiroho.
Lakini Ningekua Mimi nisingeanza biashara bila kuingilia mifumo ya hapo.
 
Connection upande wa giza mkuuu
 
Mkuu we acha tu naona kumikumi hapa
 

Kwanza, mtegemee Mungu ktk mambo yako, usiende kwa waganga utapoteza muda na pesa

la pili, ktk biashara yapo mambo ya kuzingatia
1. Heshima kwa wateja, kuwa na nidhamu ya kazi, lugha nzuri kwa wote
2. Toa nyongeza kwa wale wateja wako wazuri
3. Usiuze ndaza, vyakula vilivyo lala
4. Jitahidi uwe na maboresho ktk biashara kwa ubunifu, ili iwe mpya kila uchao
5. Usikopeshe, maana utafukuza wateja
6. Weka na vingne vya ziada kama inawezekana
 
Mganga, eti mganga. Kwani huo wakati unauza ulienda kwa mganga? Au huyo dada wa Kigamboni nae alikuwa mganga! Si ulipata ushauri tu wa jinsi ya kutengeneza kachumbari au nimekosea!
Acheni kuwapa waganga/matapeli/wachawi promo.
 
HaHaHa.....sasa mkuu ndio utoe Laki tano kumwona Kiboko ya Wachawi?
 
Ukizifatilia utagundua sauti za watu ni wale wale wanabadilisha location tu.

Leo anasema tuko Mwanza kesho anajitaja ni wa Songea.
Wale washenzi sana. Nilikua nawarekodi ili niwe nacheka mke analia mtoto wake kafa anaambiwa mkwe wake mchawi bibi anapewa simu anasema Mimi sitaki mambo yenuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mume mtu anajifanya kuwanyamazisha waache kulia waendelee kumsikiliza mtumishiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…