Hii hali kwenye biashara siyo ya kawaida

Kwa vile uli boost kwa mtaalam basi endelea hvyohvyo. Mvto ukiisha tafta mwingne tofauti na hpo utafunga biashara
 
Pole sana
Ni PM
 
Sio biashara yako tu.. ni kwamba purchasing power ya watu iko chini, haswa kuelekea mwisho wa mwaka. Kuna ada na sherehe za mwisho wa mwaka watu wanajipanga.
 
7. Mganga mzuri
 
Je kwenye ukoo wenu kuna mtu ambae alishawahi kufanya biashara ya chakula akafanikiwa?
Kuna mtu aliandika hili jambo humu nimesahau ID yake, aliandika hivi, katika haya maisha kila mtu ana hatma yake, katika kazi, biashara nk nk ni lazma ujue hatma yako ilipo na ndio huko utafanikiwa....aliandika kirefu sana akatoa mifano kuna mtu anaweza fanya biashara flani akafanikiwa sana hiyo ndio hatma yake ila wewe ukaifanya hiyo hiyo tena kwa kuboresha ukaangukia pua ujue hapo haipo hatma yako.

Huyu jamaa nadhani abadili biashara, atafute hatma yake.
 
Hapo kwa mganga hapo ndo unazidi kuharibu

Huyo dada mcheki Tena akupe mwendelezo

Shortcut doesn't last long
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…