The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba Paroko na Askofu Mteule kapiga kitabu tofauti na wavaa kobazi
KabisaaaaMafaza shule, sijui kwa Nini wanataka hivyo sie la Saba b, tukitaka kuhudumu Kama wao hatuwezi.
Unasifia hii cv? Ya kuanzia shule ya vidudu? Iliyojaa short courses?Pitia hii CV ya askofu mteule. Ama kweli kapikwa na kapikika. FaizaFoxy na The Boss boss leteni CV zenu pia siyo kjimwambafai tu nyuma ya keyboard.
View attachment 2786708View attachment 2786710
Unaweza usifahamu, lakini Elimu ya Kanisa omejumuisha kila kitu, ndio maana upeo wa hao watu uko juu.Hamna maajabu humo. Degree za historia ya Kanisa?
Unaanza weweBaba Paroko na Askofu Mteule kapiga kitabu tofauti na wavaa kobazi
Hasomi ili afanane na Mungu kimatendo na hata kinguvu, na sio Lengo lao, ndio maama kitu vha kwanza kabisa kwa hao watu husimamia nidhamu na unyenyekevu kwa mtu yeyote bila kujali umri.Ukimpa case ya kiroho mfano kutoa pepo,kuponya wagonjwa utashangaa elimu yake haina msaada,hapo ndipo Mungu anapenda kujitofautisha na wanadamu
Unaweza usifahamu, lakini Elimu ya Kanisa omejumuisha kila kitu, ndio maana upeo wa hao watu uko juu.
Ukitaka kubisha nenda ka argue nao kwa hoja!
Mimi nakupa guarantee 100% huyo na kusomeshwa kwake biblia toka kazaliwa asimame na mwanafunzi wa Mazinge tu wafanya mdahako wa bibilia, tuone nani ataibuka mshindi.
Tunaliomba hilo tena, aje na TEC nzima wamsaidie.
Maana elimu zingine hana.
Mkuu, usihangaike sana, nenda kafuatilie profile zao. Ukiona kasomea jambo flan, elewa kuna wengine wamesomea hayo unayo sema ili kubalance Taasis yao.Hoja kuhusu uhandisi,takwimu, Chemistry, banking?
Unataka kusema hakuna Mashehe wenye division 1 form! Mbona wako wengi tu. Achilia mbali wale wenye digrii, Masters na PhD.Hamna maajabu humo. Degree za historia ya Kanisa?
Alichowazidi mashehe ni kupata wani form six
Tunaongelea huyu au mwingine? Huyu ambaye CV yake iko mezani ndiye anajua na course zingine ila hajaamua kuandika? Au ni kuna mapadri wengine ndio wamesoma hayo mengine?Mkuu, usihangaike sana, nenda kafuatilie profile zao. Ukiona kasomea jambo flan, elewa kuna wengine wamesomea hayo unayo sema ili kubalance Taasis yao.
Ndio maana andiko lileee... utaona lina mchanganyiko wa kitaalamu katika nyanja tofauti tifauti.
Hao watu wamekamilika kila nyanja, ndio maana ukisikia wanasema hawabahatishi ujue ni kweli hawabahatishi.
Sijawahi kuelewa binadam wanao bishana kuhusu imani!Atakayekuwa anasimamia mdahalo awe muhindi au mchina. Ndiye awe anaweka marks. Asiwe na upande wa uislam au ukristo.
Division one KWA mapadri ni za kumwaga kuliko kwa masheheUnataka kusema hakuna Mashehe wenye division 1 form! Mbona wako wengi tu. Achilia mbali wale wenye digrii, Masters na PhD.
Unataka kusema hakuna Mashehe wenye division 1 form! Mbona wako wengi tu. Achilia mbali wale wenye digrii, Masters na PhD.