Hii hapa CV ya Askofu Mteule Jovitus Mwijage

Hii hapa CV ya Askofu Mteule Jovitus Mwijage

Pitia hii CV ya askofu mteule. Ama kweli kapikwa na kapikika. FaizaFoxy na The Boss boss leteni CV zenu pia siyo kjimwambafai tu nyuma ya keyboard.

View attachment 2786708View attachment 2786710
Kwenye hizi imani mbili kuna tofauti moja kubwa
Moja inatenganisha elimu dunia na imani lakini ikiamini wazi huwezi kuwa mwamini bora kama huna elimu kwakuwa unaenda kukutana na waamini wengine ama wanaitaka kuamini wenye uhitaji wa elimu pia kabla ya imani

Imani ya pili haiipi sana umuhimu elimu dunia kwakuwa inaamini elimu ya dini inajitosheleza hivyo kusoma elimu dunia hakuna msaada mkubwa kiimani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kusema hakuna Mashehe wenye division 1 form! Mbona wako wengi tu. Achilia mbali wale wenye digrii, Masters na PhD.
Tunaomba CV zao japo hata mmoja the top. Ukiachana na kipozeo na mwaipopo.

Shule Muhimu sana katika kuitawala dunia
 
Tatizo la waislamu wa leo ni kuchanganyikiwa

Mimi.mfano nikitaka kujua uislamu nitamtafuata muislamu.msomi wa uislamu anieleweshe siwezi mtafuta Mkristo anifundishe Kurani

Na nikitaka kujua Biblia siwezi mtafuta muislamu eti anifundishe Biblia awe Mazinge au FaizaFoxy muislamu
Ikiwa huyo Mkristo ukristo wenyewe haujuwi ndiyo ataweza kukufundisha mengine?


Huko utafundishwa yale pendwa ya kanisani, si unayajuwa?
 
Ukimpa case ya kiroho mfano kutoa pepo,kuponya wagonjwa utashangaa elimu yake haina msaada,hapo ndipo Mungu anapenda kujitofautisha na wanadamu
Yaani na ww unajiona umeandika point..!? Kanisa katoliki haliwafanyi watu wajinga ndo maana mapdri wanasoma sana na linajenga Shule ili waumini wake nao wasome. Wewe hata hii elimu yako Ya darasa la 7, haijakusaidia kufuta ujinga bado umebaki na ujinga wako tu. Hayo mapepo unayoongelea hapa yapo au ni Kwa sababu tu Ya huo ujinga wako!?
 
Mimi nakuhakikishia ungekuwa Mkristo wa kweli ungemfata kristo, wewe humfati kristo unalifata kanisa.


Yesu alikuwa mkristo?
Mkristo ni mfuasi wa Kristo

Ukristo ulianzishwa na Yesu yaani Kristo

Wafuasi wake tunaitwa wakristo
 
Hamna maajabu humo. Degree za historia ya Kanisa?

Alichowazidi mashehe ni kupata wani form six
Hao mashehe hawana hata four form four, Na hawana hata certificate ya historia ya uislamu wao alafu ndiyo wamekabidhiwa misikiti wafundishe 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom