avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Mazinge mwenyewe anapayuka tuu kwa kupiga kelele Hana hoja siku hizi anatolewa jasho na vile vijamaa vya kisabato vya Kenya.Mimi nakupa guarantee 100% huyo na kusomeshwa kwake biblia toka kazaliwa asimame na mwanafunzi wa Mazinge tu wafanya mdahako wa bibilia, tuone nani ataibuka mshindi.
Tunaliomba hilo tena, aje na TEC nzima wamsaidie.
Maana elimu zingine hana.
Hivi unalifahamu kanisa au na wewe umekariri? Uliwahi kuona wakatoliki wakibishana mitaani kama wasabato na walokole ?
Yaani umkute Padri , Askofu , Bruder , au sister wa kikatoliki akishindana na dini nyingine? Au redio na Tv za kikatoliki zikirusha mahudhui ya kuchambua au kushindana na dini nyingine? Au ukute kwenye online you tube wanashambuliana wenyewe kwa wenyewe kama mnavyofanya ninyi na watu wenu wanaojiita wahadhiri akina mwaipopo, majini , sule na hata wazee wakubwa kabisa ambao umri wao ni WA kutulizana unakuta ishue za kitofauti za kiibada kama maulidi, kuandama kwa mwezi, shia, na suni basi wanaorusha maudhui ya kushindana uliwahi kuyaona hayo kwenye kani sa MAMA kanisa Katoliki au unawafuata hao Protestants ( murtad) wa kanisa ambao Wana utaratibu wao baada ya kujitenga na kanisa Katoliki?
Hivi kweli Makardinal , maaskofu, mapadre , masister , ma bruda na hata makatelista wa Kikatoliki , kanisa Kenya misingi na heshima za uzungumzaji na ibada zenye mfumo wakapige makelele mitaani na Mazinge kweli?
Hayo