Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Mimi ninaamini kuna Masheikh wengi tu wenye divion 1, digrii, Masters, na hata PhD. Na ndiyo maana kuna mpaka chuo kikuu cha Kiislam Morogoro (MMU).🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ninaamini kuna Masheikh wengi tu wenye divion 1, digrii, Masters, na hata PhD. Na ndiyo maana kuna mpaka chuo kikuu cha Kiislam Morogoro (MMU).🤣🤣🤣🤣
CV yote hiyo, ila bado ukimsimamisha na mwana JF expert yeyote humu, anatolewa knock katika nyanja yeyote ile, iwe michezo, iwe mahusiano, iwe Siasa, iwe sheria, iwe historia, iwe dini, iwe ujenzi, iwe Afya, iwe uchumi, iwe biashara, yaani hafui dafu.
Umeona umember wa JF kwemye CV yake? Mimi nimezungumza kwa known facts zilizoletwa, sio hisia zako kwamba anaweza kuwa hiki au kile.., pengine yeye ndiye Yesu mwenyewe , who knows? Ila naongelea kwa kilicholetwa na kufahamika, sio unachohisi..Kwamba yeye paseo sio mwanaJF?
Pitia hii CV ya askofu mteule. Ama kweli kapikwa na kapikika. FaizaFoxy na The Boss boss leteni CV zenu pia siyo kjimwambafai tu nyuma ya keyboard.
View attachment 2786708View attachment 2786710
Cv kubwaa halaf huruhusiwi kuoa wala kula mbunyee unakufa mgumba huo ujinga sifanyi!!!Pitia hii CV ya askofu mteule. Ama kweli kapikwa na kapikika. FaizaFoxy na The Boss boss leteni CV zenu pia siyo kjimwambafai tu nyuma ya keyboard.
View attachment 2786708View attachment 2786710
That is why you are not a bishop.Cv kubwaa halaf huruhusiwi kuoa wala kula mbunyee unakufa mgumba huo ujinga sifanyi!!!
Walichaguliwa wawili. Wekeni na cv ya mwenzake.
Maana naona anapongezwa mmoja tu aisee.Tunaitafuta
Naomba CV ya MazingeMimi nakupa guarantee 100% huyo na kusomeshwa kwake biblia toka kazaliwa asimame na mwanafunzi wa Mazinge tu wafanya mdahako wa bibilia, tuone nani ataibuka mshindi.
Tunaliomba hilo tena, aje na TEC nzima wamsaidie.
Maana elimu zingine hana.
Tatizo Mazinge kawaaminisha kuwa yeye kabobea kwenye biblia na wao wakaaminiMazinge mwenyewe anapayuka tuu kwa kupiga kelele Hana hoja siku hizi anatolewa jasho na vile vijamaa vya kisabato vya Kenya.
Hivi unalifahamu kanisa au na wewe umekariri? Uliwahi kuona wakatoliki wakibishana mitaani kama wasabato na walokole ?
Yaani umkute Padri , Askofu , Bruder , au sister wa kikatoliki akishindana na dini nyingine? Au redio na Tv za kikatoliki zikirusha mahudhui ya kuchambua au kushindana na dini nyingine? Au ukute kwenye online you tube wanashambuliana wenyewe kwa wenyewe kama mnavyofanya ninyi na watu wenu wanaojiita wahadhiri akina mwaipopo, majini , sule na hata wazee wakubwa kabisa ambao umri wao ni WA kutulizana unakuta ishue za kitofauti za kiibada kama maulidi, kuandama kwa mwezi, shia, na suni basi wanaorusha maudhui ya kushindana uliwahi kuyaona hayo kwenye kani sa MAMA kanisa Katoliki au unawafuata hao Protestants ( murtad) wa kanisa ambao Wana utaratibu wao baada ya kujitenga na kanisa Katoliki?
Hivi kweli Makardinal , maaskofu, mapadre , masister , ma bruda na hata makatelista wa Kikatoliki , kanisa Kenya misingi na heshima za uzungumzaji na ibada zenye mfumo wakapige makelele mitaani na Mazinge kweli?
Hayo
Mazinge ana elimu gani?Mimi nakupa guarantee 100% huyo na kusomeshwa kwake biblia toka kazaliwa asimame na mwanafunzi wa Mazinge tu wafanya mdahako wa bibilia, tuone nani ataibuka mshindi.
Tunaliomba hilo tena, aje na TEC nzima wamsaidie.
Maana elimu zingine hana.