Hii hapa CV ya Askofu Mteule Jovitus Mwijage

Hii hapa CV ya Askofu Mteule Jovitus Mwijage

Atakayekuwa anasimamia mdahalo awe muhindi au mchina. Ndiye awe anaweka marks. Asiwe na upande wa uislam au ukristo.
Kusimamia mdahalo sisi tunakubali atoke hukohuko kwenu, kwani msimamia mdahalo yeye muongeaji?

Hilo Waislam wala hatuna wasiwasi nalo kabisa, hata kesho tupo tayari tena tukaufanyie uwanja wa mkapa.
 
We ajuza acha uloz
Mimi nakupa guarantee 100% huyo na kusomeshwa kwake biblia toka kazaliwa asimame na mwanafunzi wa Mazinge tu wafanya mdahako wa bibilia, tuone nani ataibuka mshindi.

Tunaliomba hilo tena, aje na TEC nzima wamsaidie.

Maana elimu zingine hana.
 
Cha kushangaza, utakuja kukuta mtu kama huyo ambae elimu yake yote ni ya kanisa anakuja kuongelea mambo ya uchumi. Ana haki gani ya kuongelea uchumi hata na mwanafunzi wa cheti tu wa uchumi?

Jambo ambalo linafanywa na vidume wa mbegu wa TEC.
 
Ila watume yesu na manabii mbona hatukuona Kama wamesoma elimu dunia na wamefanya miujiza ya ukweli, Hawa wasomi mafather na shule zao hawana muujiza wowote.
 
Mimi nakupa guarantee 100% huyo na kusomeshwa kwake biblia toka kazaliwa asimame na mwanafunzi wa Mazinge tu wafanya mdahako wa bibilia, tuone nani ataibuka mshindi.

Tunaliomba hilo tena, aje na TEC nzima wamsaidie.

Maana elimu zingine hana.
Mazinge huyu msukuma au yupi[emoji1]

Sent from my TECNO BF7 using JamiiForums mobile app
 
Cha kushangaza, utakuja kukuta mtu kama huyo ambae elimu yake yote ni ya kanisa anakuja kuongelea mambo ya uchumi. Ana haki gani ya kuongelea uchumi hata na mwanafunzi wa cheti tu wa uchumi?

Jambo ambalo linafanywa na vidume wa mbegu wa TEC.
Mapadre na maaskofu huwa pia wabobezi kwenye fani mbalimbali ikiwemo uchumi angalia padri huyu
Picha hapo chini ni Padre Henry,ambaye ni mwanajeshi komandoo,ambaye katunukiwa PhD yake ya Architecture!

Screenshot_20211204-201614.jpg

Padri Henry Rimisho wa kanisa katoliki, jimbo la Moshi leo ametunukiwa shahada ya uzamivu katika usanifu majengo (PhD in Architecture) ya chuo kikuu cha Ardhi. Padri Rimisho ana shahada ya sayansi katika usanifu majengo (Bachelor of Science in Architecture) na Shahada ya umahiri katika usanifu majengo (Master of Architecture) zote kutoka chuo kikuu cha Ardhi.

Baada ya miaka minne ya kusoma kwa bidii, kufanya tafiti na kuandika maandiko mengi ya kutaalamu, hatimaye leo ametunukiwa shahada ya uzamivu katika usanifu majengo (PhD in Architecture). Padri Rimisho ni Professional Architect aliyesajiliwa na Board ya Wasanifu Majengo na wakadiriaji majenzi (AQRB). Amesanifu majengo mengi ndani na nje ya nchi, pamoja na majengo ya jeshi. Pia ni Mhadhiri wa chuo kikuu cha Ardhi.

Kwa upande mwingine Padri Rimisho ni Askari wa jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) mwenye cheo cha Meja (cheo kinachofuata baada ya Kepteni). Pia ni Komandoo wa JWTZ (Millitary Ordinariate) na ameshiriki operesheni kadhaa za kijeshi nje ya nchi, ikiwemo operesheni ya kulinda amani ya Darfur.

Padri Rimisho ni Mmisionari wa shirika la Apostles of Jesus, ambaye ana shahada ya kwanza ya Falsafa (Bacholer degree in Philosophy) na Shahada ya Utaalimungu (Bachelor degree in Theology) kabla ya kubarikiwa kuwa Padri.

Kwahiyo Rimisho ni Padri, ni Meja wa JWTZ, ni Komandoo katika uwanja wa vita, na ni Msanifu mwenye shahada ya uzamivu (PhD) katika usanifu majengo. Kwa hiyo unaweza kumuita Major Rev.Dr.Henry Rumisho (PhD).

Huu ni utumishi wa aina yake na ni watu wachache walioweza kuexplore karama zao zote kama Padri Rimisho. Hakika anastahili pongezi nyingi.!

Credit: Malisa Gj kupitia ukurasa wake wa instagram.
 
Mapadre na maaskofu huwa pia wabobezi kwenye fani mbalimbali ikiwemo uchumi angalia padri huyu
Picha hapo chini ni Padre Henry,ambaye ni mwanajeshi komandoo,ambaye katunukiwa PhD yake ya Architecture!

Unaandika utumbo.

Soma mada.
 
Unaandika utumbo.

Soma mada.
Ninachotaka kukuambia kuwa mapadre na maaskofu sio mbumbumbu kwenye mambo ya uchumi waweza ongelea bila shida yeyote upadri hasasomei kusalisha tu ni pamoja na mambo ya uchumi sababu kila kanisa huwa na miradi ya uchumi ambayo msimamizi wake huwa ni Padre
 
Nibachotakq kukuambia kuwa mapadre na maaskofu sio mbumbumbu kwenye mambo ya uchumi waweza ongelea bila shida yeyote upafdri hasasomei kudalisha tu ni pamoja na mambo ya uchumi sababu kila kanisa huwa na miradi ya uchumi ambayo msimamizi wake huwa ni Padre
Soma mada, hapa imewekwa cv ya nani?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Muislam.

Mimi nakupa guarantee 100% huyo na kusomeshwa kwake biblia toka kazaliwa asimame na mwanafunzi wa Mazinge tu wafanya mdahako wa bibilia, tuone nani ataibuka mshindi.

Tunaliomba hilo tena, aje na TEC nzima wamsaidie.
Tatizo la waislamu wa leo ni kuchanganyikiwa

Mimi.mfano nikitaka kujua uislamu nitamtafuata muislamu.msomi wa uislamu anieleweshe siwezi mtafuta Mkristo anifundishe Kurani

Na nikitaka kujua Biblia siwezi mtafuta muislamu eti anifundishe Biblia awe Mazinge au FaizaFoxy muislamu
 
Back
Top Bottom