Kusimamia mdahalo sisi tunakubali atoke hukohuko kwenu, kwani msimamia mdahalo yeye muongeaji?Atakayekuwa anasimamia mdahalo awe muhindi au mchina. Ndiye awe anaweka marks. Asiwe na upande wa uislam au ukristo.
Mimi nakupa guarantee 100% huyo na kusomeshwa kwake biblia toka kazaliwa asimame na mwanafunzi wa Mazinge tu wafanya mdahako wa bibilia, tuone nani ataibuka mshindi.
Tunaliomba hilo tena, aje na TEC nzima wamsaidie.
Maana elimu zingine hana.
Hiyo maana yake hoja imekuingia na hauna zaidi. Case closed.We ajuza acha uloz
😅😄😃😀😀😁😃😃😃😅😄😀😀Hamna maajabu humo. Degree za historia ya Kanisa?
Alichowazidi mashehe ni kupata wani form six
Sheikh Alhad Salum Ana One Nzuri SanaUnataka kusema hakuna Mashehe wenye division 1 form! Mbona wako wengi tu. Achilia mbali wale wenye digrii, Masters na PhD.
Uwe unaweka na cv za kina ostaadhi juma wa musoma. Usiwe unapendelea upande mmoja tuPitia hii CV ya askofu mteule. Ama kweli kapikwa na kapikika. FaizaFoxy na The Boss boss leteni CV zenu pia siyo kjimwambafai tu nyuma ya keyboard.
View attachment 2786708View attachment 2786710
Wapi huko kasomea? One O level au A level?Sheikh Alhad Salum Ana One Nzuri Sana
Wengine wanapanga kutoa mapepo na usanii mwingi shule hawataki kwenda[emoji1]Ukimpa case ya kiroho mfano kutoa pepo,kuponya wagonjwa utashangaa elimu yake haina msaada,hapo ndipo Mungu anapenda kujitofautisha na wanadamu
Mazinge huyu msukuma au yupi[emoji1]Mimi nakupa guarantee 100% huyo na kusomeshwa kwake biblia toka kazaliwa asimame na mwanafunzi wa Mazinge tu wafanya mdahako wa bibilia, tuone nani ataibuka mshindi.
Tunaliomba hilo tena, aje na TEC nzima wamsaidie.
Maana elimu zingine hana.
Mapadre na maaskofu huwa pia wabobezi kwenye fani mbalimbali ikiwemo uchumi angalia padri huyuCha kushangaza, utakuja kukuta mtu kama huyo ambae elimu yake yote ni ya kanisa anakuja kuongelea mambo ya uchumi. Ana haki gani ya kuongelea uchumi hata na mwanafunzi wa cheti tu wa uchumi?
Jambo ambalo linafanywa na vidume wa mbegu wa TEC.
Padri Henry Rimisho wa kanisa katoliki, jimbo la Moshi leo ametunukiwa shahada ya uzamivu katika usanifu majengo (PhD in Architecture) ya chuo kikuu cha Ardhi. Padri Rimisho ana shahada ya sayansi katika usanifu majengo (Bachelor of Science in Architecture) na Shahada ya umahiri katika usanifu majengo (Master of Architecture) zote kutoka chuo kikuu cha Ardhi.
Baada ya miaka minne ya kusoma kwa bidii, kufanya tafiti na kuandika maandiko mengi ya kutaalamu, hatimaye leo ametunukiwa shahada ya uzamivu katika usanifu majengo (PhD in Architecture). Padri Rimisho ni Professional Architect aliyesajiliwa na Board ya Wasanifu Majengo na wakadiriaji majenzi (AQRB). Amesanifu majengo mengi ndani na nje ya nchi, pamoja na majengo ya jeshi. Pia ni Mhadhiri wa chuo kikuu cha Ardhi.
Kwa upande mwingine Padri Rimisho ni Askari wa jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) mwenye cheo cha Meja (cheo kinachofuata baada ya Kepteni). Pia ni Komandoo wa JWTZ (Millitary Ordinariate) na ameshiriki operesheni kadhaa za kijeshi nje ya nchi, ikiwemo operesheni ya kulinda amani ya Darfur.
Padri Rimisho ni Mmisionari wa shirika la Apostles of Jesus, ambaye ana shahada ya kwanza ya Falsafa (Bacholer degree in Philosophy) na Shahada ya Utaalimungu (Bachelor degree in Theology) kabla ya kubarikiwa kuwa Padri.
Kwahiyo Rimisho ni Padri, ni Meja wa JWTZ, ni Komandoo katika uwanja wa vita, na ni Msanifu mwenye shahada ya uzamivu (PhD) katika usanifu majengo. Kwa hiyo unaweza kumuita Major Rev.Dr.Henry Rumisho (PhD).
Huu ni utumishi wa aina yake na ni watu wachache walioweza kuexplore karama zao zote kama Padri Rimisho. Hakika anastahili pongezi nyingi.!
Credit: Malisa Gj kupitia ukurasa wake wa instagram.
Mapadre na maaskofu huwa pia wabobezi kwenye fani mbalimbali ikiwemo uchumi angalia padri huyu
Picha hapo chini ni Padre Henry,ambaye ni mwanajeshi komandoo,ambaye katunukiwa PhD yake ya Architecture!
Muislam.
Ninachotaka kukuambia kuwa mapadre na maaskofu sio mbumbumbu kwenye mambo ya uchumi waweza ongelea bila shida yeyote upadri hasasomei kusalisha tu ni pamoja na mambo ya uchumi sababu kila kanisa huwa na miradi ya uchumi ambayo msimamizi wake huwa ni PadreUnaandika utumbo.
Soma mada.
Soma mada, hapa imewekwa cv ya nani?Nibachotakq kukuambia kuwa mapadre na maaskofu sio mbumbumbu kwenye mambo ya uchumi waweza ongelea bila shida yeyote upafdri hasasomei kudalisha tu ni pamoja na mambo ya uchumi sababu kila kanisa huwa na miradi ya uchumi ambayo msimamizi wake huwa ni Padre
Tatizo la waislamu wa leo ni kuchanganyikiwaMuislam.
Mimi nakupa guarantee 100% huyo na kusomeshwa kwake biblia toka kazaliwa asimame na mwanafunzi wa Mazinge tu wafanya mdahako wa bibilia, tuone nani ataibuka mshindi.
Tunaliomba hilo tena, aje na TEC nzima wamsaidie.