Hii hapa ndio Sababu ya CCM kupiga marufuku mikutano ya hadhara. Umati wa Kahama ni kitisho kikuu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Wakuu kwanza Poleni kwa Msiba mzito wa Kiongozi wetu Bernard Membe.

Hata hivyo bado Ratiba nyingine za kisiasa ziliendelea kama kawaida, huko Kahama Tundu Lissu alikuwa na Mkutano wa hadhara ambao umevunja rekodi yake mwenyewe ya Mahudhurio, na sasa tumeelewa kisa cha ccm na Magufuli kuogopa Mikutano ya hadhara.

Kwa kupunguza maneno hebu oneni wenyewe.



Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Nimesikia sana inasifika mitandaoni.
 
Wiki ijayo akapumzike kwao Ubelgiji asije kutuangukia jukwaani. Afya yake siyo nzuri.
 
Huu ni ushahidi namna wananchi walivyoichoka CCM.

Halafu utashangaa kura zikipigwa zinalazimishwa na dola kuwa zote za CCM
 
Sisi tunaomboleza halafu wewe unatuletea mikutano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…