Hii hapa ndio Sababu ya CCM kupiga marufuku mikutano ya hadhara. Umati wa Kahama ni kitisho kikuu

Hii hapa ndio Sababu ya CCM kupiga marufuku mikutano ya hadhara. Umati wa Kahama ni kitisho kikuu

Lisu ndio anastahili kuwa mwenyekiti wa CDM, na John Heche kuwa katibu mkuu wa CDM.
Lisu akipewa chama atakiuwa mapema. Bora abakie kuwa mbwataji, huku Mbowe akikaa pembeni na speed gavana yake ili maji yatapozidi unga ayapunguze.

I mean Lisu akizidisha kibwabwaja Mbowe amtulize.
 
20230512_200642.jpg
 
Tuliza Mshono, CHADEMA inakubalika Tanzania nzima.
 
Wakuu kwanza Poleni kwa Msiba mzito wa Kiongozi wetu Bernard Membe .

Hata hivyo bado Ratiba nyingine za kisiasa ziliendelea kama kawaida , huko Kahama Tundu Lissu alikuwa na Mkutano wa hadhara ambao umevunja rekodi yake mwenyewe ya Mahudhurio , na sasa tumeelewa kisa cha ccm na Magufuli kuogopa Mikutano ya hadhara .

Kwa kupunguza maneno hebu oneni wenyewe .

View attachment 2619319View attachment 2619320

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
hapa lazima watawala wawe na mashaka na survial yao! Kesho huyu akigombea hapa anapita!
 
Kama jpm aliweza kuwa rais sioni kama kuna mtanzania mwenye akili anaweza kushindwa
Uko sahihi kabisa, na si huyo tu hata Mzee Ruksa, alichokifanya kinaweza kufanywa na yeyote mwenye akili.
 
..Samia hana haiba ya Uraisi.

..Na Ccm hakuna wanasiasa wenye ueledi na wanaoelewa Tanzania ilikotoka na inakopaswa kwenda.
Baaadae akiwagaragaza, halafu mnaanza KUTENGENEZA kiki za kwenda kula mikate Kwa beberuuu.
 
Back
Top Bottom