Hii hapa ndio Sababu ya CCM kupiga marufuku mikutano ya hadhara. Umati wa Kahama ni kitisho kikuu

Hii hapa ndio Sababu ya CCM kupiga marufuku mikutano ya hadhara. Umati wa Kahama ni kitisho kikuu

Mimi niseme tu hivi: Mshindwe Wenyewe. Nchi ipo tayari sana.

Sidhani kuwa iliwahi kuwa tayari wakati wowote kushinda sasa.

Mkikubali kupotezewa lengo na ule mradi mwingine wa Mwenyekiti, mtasubiri hadi kiama. 'In fact' hilo ndilo litakalokuwa shimo la kuwazikia nyote.
Ushauri muruwaa sana.
 
Yaani MUNGU alivyofundi mwenye afya nzuri akafyekwa aliye na afya mbovu anazidi kuishi tu!!god akafyekwa na God!!!

..walikuwa wanamdhihaki Lowassa na afya yake.

..Na Magufuli akasema Lowassa anatembea kwa kunyata.

..siasa za chuki muasisi wake ni Magufuli.

..Ni uamuzi wetu kuendelea nazo au la.
 
Wakuu kwanza Poleni kwa Msiba mzito wa Kiongozi wetu Bernard Membe.
Asante
Bernard Camilus Membe,
Umepigana vita vilivyo vitakatifu,
Imani umeitunza,
Mwendo umeumaliza!.
Bwana alileta
Bwana ametwaa
Jina lake Lihimidiwe
RIP Bernard Cammilus Membe
Paskali
 
Back
Top Bottom