Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Sukuma gang nayo kumbe ni Tanzania kwenye mikutano, ikijengwa airport, daraja inakuwa sukuma land
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukuma gang nayo kumbe ni Tanzania kwenye mikutano, ikijengwa airport, daraja inakuwa sukuma land
Kitambi hicho cha tumbo limejaa mavi ya Ubeligiji. Hivi mume wake kamuacha Ubeligiji? 2025 Rais Dkt Samia oyeeeeeWakuu kwanza Poleni kwa Msiba mzito wa Kiongozi wetu Bernard Membe.
Hata hivyo bado Ratiba nyingine za kisiasa ziliendelea kama kawaida, huko Kahama Tundu Lissu alikuwa na Mkutano wa hadhara ambao umevunja rekodi yake mwenyewe ya Mahudhurio, na sasa tumeelewa kisa cha ccm na Magufuli kuogopa Mikutano ya hadhara.
Kwa kupunguza maneno hebu oneni wenyewe.
View attachment 2619319View attachment 2619320
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Osatile sana...Kahama wanashangaa msaliti wa tutashitakiwa MIGA
Unatafutwa Mrina ...birika la kahawaKitambi hicho cha tumbo limejaa mavi ya Ubeligiji. Hivi mume wake kamuacha Ubeligiji? 2025 Rais Dkt Samia oyeeeee
Ndugai ni Sukuma gang , kwani naye ni Msukuma ? Tuliposema Sukuma Gang hatukumaanisha mipaka wanayoishi wasukuma , Sukuma gang ilikuwa kikundi cha wafuasi wa Magufuli waliotaka atawale mileleSukuma gang nayo kumbe ni Tanzania kwenye mikutano, ikijengwa airport, daraja inakuwa sukuma land
Samia hagombei 2025Kitambi hicho cha tumbo limejaa mavi ya Ubeligiji. Hivi mume wake kamuacha Ubeligiji? 2025 Rais Dkt Samia oyeeeee
Mishaga nkoi welaaaa...Nilikuwa nimelala, ... lakini taratiib naamka!
👊✌️✌️✌️💥
[emoji38][emoji38][emoji38]Nilikuwa nimelala, ... lakini taratiib naamka!
[emoji109][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji95]
Maandalizi yalikuwa mazuri nilipishana nao wakati naelekea SingidaWakuu kwanza Poleni kwa Msiba mzito wa Kiongozi wetu Bernard Membe.
Hata hivyo bado Ratiba nyingine za kisiasa ziliendelea kama kawaida, huko Kahama Tundu Lissu alikuwa na Mkutano wa hadhara ambao umevunja rekodi yake mwenyewe ya Mahudhurio, na sasa tumeelewa kisa cha ccm na Magufuli kuogopa Mikutano ya hadhara.
Kwa kupunguza maneno hebu oneni wenyewe.
View attachment 2619319View attachment 2619320
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
AmenMaandalizi yalikuwa mazuri nilipishana nao wakati naelekea Singida
Wakuu kwanza Poleni kwa Msiba mzito wa Kiongozi wetu Bernard Membe.
Hata hivyo bado Ratiba nyingine za kisiasa ziliendelea kama kawaida, huko Kahama Tundu Lissu alikuwa na Mkutano wa hadhara ambao umevunja rekodi yake mwenyewe ya Mahudhurio, na sasa tumeelewa kisa cha ccm na Magufuli kuogopa Mikutano ya hadhara.
Kwa kupunguza maneno hebu oneni wenyewe.
View attachment 2619319View attachment 2619320
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Sera yetu ni Katiba mpya , kila kitu kitawekwa humoBado CHADEMA hamjielewi kabisa, siasa hamjui, hivi sera yenu ni ipi? Hamna hata sera moja, nyie ni kupiga kelele tu, CCM iko hivi iko vile, hivi kila siku nasema CHADEMA ni chama chenye zero policies kabisa..
Hivi hamna chochote cha kuwaambia wananchi kabisa, zaidi ya kelele za ku attack CCM or personalities za watu.
Mkuu wawekee na ile video ya Mapokezi...Kahama imetishaWakuu kwanza Poleni kwa Msiba mzito wa Kiongozi wetu Bernard Membe.
Hata hivyo bado Ratiba nyingine za kisiasa ziliendelea kama kawaida, huko Kahama Tundu Lissu alikuwa na Mkutano wa hadhara ambao umevunja rekodi yake mwenyewe ya Mahudhurio, na sasa tumeelewa kisa cha ccm na Magufuli kuogopa Mikutano ya hadhara.
Kwa kupunguza maneno hebu oneni wenyewe.
View attachment 2619319View attachment 2619320
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Sera yetu ni Katiba mpya , kila kitu kitawekwa humo
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Fatma karume, kigogo na DJ wanajua sukuma gang ni nani wewe ulidandia train kwa mbeleNdugai ni Sukuma gang , kwani naye ni Msukuma ? Tuliposema Sukuma Gang hatukumaanisha mipaka wanayoishi wasukuma , Sukuma gang ilikuwa kikundi cha wafuasi wa Magufuli waliotaka atawale milele