Hii Hapa Orodha ya Mikoa 15 Inayoongoza Kwa Uchumi Mkubwa Tanzania "Regional GDP Share " mwaka 2025

Hii Hapa Orodha ya Mikoa 15 Inayoongoza Kwa Uchumi Mkubwa Tanzania "Regional GDP Share " mwaka 2025

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,659
Reaction score
90,151
Kwa mujibu wa Data kutoka Idara ya Taifa ya takwimu toleo la 2025 zinaonyesha pato la Tanzania Kufikia zaidi ya Shilingi Trilioni 234 ambapo limegawanyika katika Ukubwa tofauti baina ya mikoa.

Kwa uchambuzi niliofanya kutoka kwenye data hizo,nimebaini Mikoa 15 kati ya 26 ambayo ndio imeshikiliwa Uchumi zaidi Kwa Tanzania ambayo Ina pato la Mkoa yaani GDP kuanzia Shilingi Trilioni 7 na kuendelea Kwa mwaka Kwa kutumia bei za mwaka 2019.

Mikoa hiyo pamoja na Ukubwa wake Regional GDP ni kama ifuatavyo,

1.Dar=39.8T

2.Mwanza =16.7T

3.Mbeya =13T

4.Morogoro=11.4T

5.Arusha =11.1T

6.Tanga =10.8T

7.Geita =10.5T

8.Kilimanjaro=10.49T

9.Tabora =8.7T

10.Mara =8.6T

11.Shinyanga =8.44T

12.Ruvuma=8.4T

13.Manyara =7.8T

14.Iringa =7.3T

15.Dodoma =7.1T

Hata hivyo top 10 inqfungwa na Mikoa hii hapa 👇

View: https://www.instagram.com/p/DeunSViDlZf/?psln=MW5sbzRrZGtjcjVvdw==

My Take
Uchumi wa Tanzania Kwa Sasa unashikiliwa na Kanda ya Ziwa na Kanda ya Kaskazini.Lakini Geita ndio Mkoa umenishangaza sana Kwa kasi yake kubwa ya maendeleo

Kanda ya Kusini licha ya kuwa na Bandari na mazao Makuu yanayoingiza pesa Nchini ila Hali Yao ni mbaya ,Je shida ni idadi ndogo ya watu au nini?

Baada ya Dodoma kuingia kwenye list nadhani Sasa inaanza kueleweka.

View: https://www.instagram.com/reel/DeuWY-VCtmt/?xtok=MXdhY21kZWlyNnRoOQ==

Screenshot_20261009-170325.jpg


Data Kwa hisani ya Tanzania in Figures 2025.
 

Attachments

Kwa mujibu wa Data kutoka Idara ya Taifa ya takwimu toleo la 2025 zinaonyesha pato la Tanzania Kufikia zaidi ya Shilingi Trilioni 230 ambapo limegawanyika katika Ukubwa tofauti baina ya mikoa.

Kwa uchambuzi niliofanya kutoka kwenye data hizo,nimebaini Mikoa 15 ambayo ndio imeshikiliwa Uchumi zaidi Kwa Tanzania ambayo Ina pato la Mkoa yaani GDP kuanzia Shilingi Trilioni 7 na kuendelea Kwa mwaka Kwa kutumia bei za mwaka 2019.

Mikoa hiyo pamoja na Ukubwa wake Regional GDP ni kama ifuatavyo,

1.Dar=39.8T

2.Mwanza =16.7T

3.Mbeya =13.0T

4.Morogoro=11.4T

5.Arusha =11.1T

6.Tanga =10.8T

7.Geita =10.5T

8.Kilimanjaro=10.49T

9.Tabora =8.7T

10.Mara =8.6T

11.Shinyanga =8.44T

12.Ruvuma=8.4T

13.Manyara =7.8T

14.Iringa =7.3T

15.Dodoma =7.1T

My Take
Uchumi wa Tanzania Kwa Sasa unashikiliwa na Kanda ya Ziwa na Kanda ya Kaskazini.

Kanda ya Kusini licha ya kuwa na Bandari na mazao Makuu yanayoingiza pesa Nchini ila Hali Yao ni mbaya ,Je shida ni idadi ndogo ya watu au nini?

Baada ya Dodoma kuingia kwenye list nadhani Sasa inaanza kueleweka.
View attachment 3687533

Data Kwa hisani ya Tanzania in Figures 2025.
well done Tanzanians 💪
 
Back
Top Bottom