Hii Hapa Orodha ya Mikoa 15 Inayoongoza Kwa Uchumi Mkubwa Tanzania "Regional GDP Share " mwaka 2025

Bwawa la Nyerere na Kilimo kimeinua Morogoro na itaamka zaidi ikifunguka kimiundombinu,hapa Bado sana itapita hata Mbeya
Ni kweli, kuna miundombinu ikijengwa ule mkoa unaweza kufanya vizuri zaidi.
1. Barabara ya kutoka Mjini kwenda Mbuga ya Selou na Nyerere National Park. Itaongeza ukuaji wa uchumi kupitia utalii na mazao ya viungo, matunda na mbogamboga kutoka milima ya uluguru. Nilipita hiyo njia, naweza kusema Serikali inapoteza fursa nyingi sana kwa Barabara hiyo kutokuwa ya lami.
2. Bwawa la kuhifadhi maji la Kidunda ambapo litaongeza shughuli za kilimo na uvuvi;
3. Barabara inayounganisha Marogoro na Mafinga pamoja na ile ya Morogoro Ruvuma.
4. Barabara ya Kilosa hadi Mikumi kama itawekwa lami.
5. Barabara ya Gairo, Turiani,Kilindi, Handeni;
6. Serikali kama itayoboa Barabara ya Kisarawe, Bwawa la Kidunda hadi Ngerengere.
7. Skimu za umwagiliaji zinazojengwa zikikamilika.
Hayo yakifanyika, naamini takwimu za miaka 15-20 ijayo zitakuwa hivi:
1. Dar es Salaam
2. Dodoma
3. Morogoro
4. Pwani (kama hautagawanywa)
5. Mwanza
 
Sijajua mtoa hoja kama anahoja, hivi Trillion 230 tungehitaji fedha kutoka nje kweli? Je deni la trillion 107 Si tungelipa lote. Hizi data sijaelewa kwakweli.
 
Usisahau Mwanza Kuna mgodi mkubwa sana unaendelea kujengwa, mgodi wa Nyanzaga.
 
Sijajua mtoa hoja kama anahoja, hivi Trillion 230 tungehitaji fedha kutoka nje kweli? Je deni la trillion 107 Si tungelipa lote. Hizi data sijaelewa kwakweli.
GDP sio fedha ni thamani ya uzalishaji wa bidhaa na Huduma zikiheuzwa kwenye pesa
 
Ni kweli, kuna miundombinu ikijengwa ule mkoa unaweza kufanya vizuri zaidi.
1. Barabara ya kutoka Mjini kwenda Mbuga ya Selou na Nyerere National Park. Itaongeza ukuaji wa uchumi kupitia utalii na mazao ya viungo, matunda na mbogamboga kutoka milima ya uluguru. Nilipita hiyo njia, naweza kusema Serikali inapoteza fursa nyingi sana kwa Barabara hiyo kutokuwa ya lami.
2. Bwawa la kuhifadhi maji la Kidunda ambapo litaongeza shughuli za kilimo na uvuvi;
3. Barabara inayounganisha Marogoro na Mafinga pamoja na ile ya Morogoro Ruvuma.
4. Barabara ya Kilosa hadi Mikumi kama itawekwa lami.
5. Barabara ya Gairo, Turiani,Kilindi, Handeni;
6. Serikali kama itayoboa Barabara ya Kisarawe, Bwawa la Kidunda hadi Ngerengere.
7. Skimu za umwagiliaji zinazojengwa zikikamilika.
Hayo yakifanyika, naamini takwimu za miaka 15-20 ijayo zitakuwa hivi:
1. Dar es Salaam
2. Dodoma
3. Morogoro
4. Pwani (kama hautagawanywa)
5. Mwanza
Pwani na Moro zitagawanywa ila Moro hata ikigawanywa Bado itakuwa na fursa kama kawaida Kwa sababu ya jografia na kwamba Bado haijafunguliwa kimiundombinu.

Dodoma Bado itachukua mda sana
 
Dodoma imekua kwa kasi sana kutokana na ujenzi wa mji mkuu wa kiserkali ila sidhani kama ukuaji huu utaendelea kwa kasi ile ile.
Utaendelea Kwa sababu Dom inakuaje Kwa sekta zote kuanzia Viwanda Hadi sekta za Huduma.
 
GDP sio fedha ni thamani ya uzalishaji wa bidhaa na Huduma zikiheuzwa kwenye pesa
Zipo njia 3 za kukokotoa hiyo GDP; Huko ulikochukua hizo data walitakiwa watuambie ni njia ipi imetumika. Je ni;

1. Income method
2. Expenditure formula
3. Production approach
 
Swali muhimu hapo ni kiasi gani cha hayo matrilioni kinabaki hapa nchini? Maana hapo hiyo GDP figure haijatoa kiasi ambacho ni cha watu wa nje wenye uwekezaji hapa nchini na capital intensive industries.
 
Back
Top Bottom