AirorokiVava
JF-Expert Member
- Aug 25, 2026
- 258
- 302
Kwasababu Njombe in watu wachache sanaHapa ni GDP ya Mkoa sio per Capita income ambayo inategemea uzalishaji wa Mkoa gawanya idadi ya watu.
Tukija hapo Njombe itakuwa Juu
Kwasababu Njombe in watu wachache sanaHapa ni GDP ya Mkoa sio per Capita income ambayo inategemea uzalishaji wa Mkoa gawanya idadi ya watu.
Tukija hapo Njombe itakuwa Juu
Mikoa yote ya kanda ya kaskazini ndani 15 boraKwa mujibu wa Data kutoka Idara ya Taifa ya takwimu toleo la 2025 zinaonyesha pato la Tanzania Kufikia zaidi ya Shilingi Trilioni 230 ambapo limegawanyika katika Ukubwa tofauti baina ya mikoa.
Kwa uchambuzi niliofanya kutoka kwenye data hizo,nimebaini Mikoa 15 ambayo ndio imeshikiliwa Uchumi zaidi Kwa Tanzania ambayo Ina pato la Mkoa yaani GDP kuanzia Shilingi Trilioni 7 na kuendelea Kwa mwaka Kwa kutumia bei za mwaka 2019.
Mikoa hiyo pamoja na Ukubwa wake Regional GDP ni kama ifuatavyo,
1.Dar=39.8T
2.Mwanza =16.7T
3.Mbeya =13.0T
4.Morogoro=11.4T
5.Arusha =11.1T
6.Tanga =10.8T
7.Geita =10.5T
8.Kilimanjaro=10.49T
9.Tabora =8.7T
10.Mara =8.6T
11.Shinyanga =8.44T
12.Ruvuma=8.4T
13.Manyara =7.8T
14.Iringa =7.3T
15.Dodoma =7.1T
My Take
Uchumi wa Tanzania Kwa Sasa unashikiliwa na Kanda ya Ziwa na Kanda ya Kaskazini.
Kanda ya Kusini licha ya kuwa na Bandari na mazao Makuu yanayoingiza pesa Nchini ila Hali Yao ni mbaya ,Je shida ni idadi ndogo ya watu au nini?
Baada ya Dodoma kuingia kwenye list nadhani Sasa inaanza kueleweka.
View attachment 3687533
Data Kwa hisani ya Tanzania in Figures 2025.
Uchumi wa Nchi imeshikiliwa na Mikoa ya Kaskazini na Kanda ya ziwa.Mikoa yote ya kanda ya kaskazini ndani 15 bora
Ila gap si unaona bado lipo, Dar siyo kupendelewa inatokana na advantage yake ya miaka mingi ya kuwa mji wenye idadi kubwa ya watu hivyo kufanya kuwe na muingiliano mkubwa kwa kibiashara na kiuchumi, pia strategic location kwenye mwambao wa bahari ya India Kuna zidi kuiongezea advantage hasa ikizingatiwa bandari ya Dar ndiyo bandari tegemeo nchiniMikoa 4 ya Kanda ya Ziwa Iko top 10 na ukijumlisha GDP yake inazidi Dar hivyo hivyo na Mikoa ya Kaskazini.
Dar ilipendelewa miaka Mingi sana ila ukuaji wa Uchumi wa Sasa una shift.
Morogoro Ina potential ya kuwa namba 3,itaivuka Mbeya by 2030.Morogoro ipo top 5 duhh inashangaza
Inasikitisha mno 😭😭😢😢Hili halikubaliki kabisa
Dar ilishaga pendelewa zamani nakuwekewa foundation mapema.Ila gap si unaona bado lipo, Dar siyo kupendelewa inatokana na advantage yake ya miaka mingi ya kuwa mji wenye idadi kubwa ya watu hivyo kufanya kuwe na muingiliano mkubwa kwa kibiashara na kiuchumi, pia strategic location kwenye mwambao wa bahari ya India Kuna zidi kuiongezea advantage hasa ikizingatiwa bandari ya Dar ndiyo bandari tegemeo nchini
Kipi kikubwa hasa kinachofanya Moro ipande kwa kasi hivyo?Morogoro Ina potential ya kuwa namba 3,itaivuka Mbeya by 2030.
Imewavuka Arusha,Tanga, Kilimanjaro
Uwekezaji wa Kilimo ,Viwanda na bwawa la NyerereKipi kikubwa hasa kinachofanya Moro ipande kwa kasi hivyo?
Nafikiri pia hali ya uchumi wa nchi haikuwa rafiki katika kuiendeleza mikoa mingine.Dar ilishaga pendelewa zamani nakuwekewa foundation mapema.
Balance ya Uchumi ingefanyikaga mapema Dar isingekuwa na huo Uchumi mfano miaka Ile Ile ambayo Nyerere alianzisha Dom kama Mji Mkuu angeanzaga Kujengwa Dar ingekuwa na uchumi wa kawaida kama Mombasa vs Nairobi ila Kwa kuwa foundation ilianziaga huko Hadi miaka ya 2006 hapa ndio Mikoa mingine imeanza kufunguka.
Ndio sababu kubwa hiyo hiyoNafikiri pia hali ya uchumi wa nchi haikuwa rafiki katika kuiendeleza mikoa mingine.
Unajua baada ya makao makuu kuhamishiwa Dodoma kwenye sensa ya 2022 projection ya population ya Dar ilikuwa ni more than 7 million lakini baada ya uhesabuji population imekutwa ni 5.3 million so hata population shift inatokea pia kadiri miaka inavyosogea.Ndio sababu kubwa hiyo hiyo
Ndugu zetu wa mjini magharibi Unguja hawamo kwenye orodha?Uchumi wa Nchi imeshikiliwa na Mikoa ya Kaskazini na Kanda ya ziwa.