Hapa ni GDP ya Mkoa sio per Capita income ambayo inategemea uzalishaji wa Mkoa gawanya idadi ya watu.
Tukija hapo Njombe itakuwa Juu
Kwenye GDP per capita, Njombe ipo juu sana.
Hapa ni GDP ya Mkoa sio per Capita income ambayo inategemea uzalishaji wa Mkoa gawanya idadi ya watu.
Tukija hapo Njombe itakuwa Juu
Tangu lini Ruvuma ikawa Nyanda za Juu kusini? Au unachanganya na Big FourKwa sisi Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini Ruvuma haifanyi vizuri ipasavyo kulingana na Ukubwa na potential yake.
Kila kitu Wanaiachia Mbeya.Pia Soma (2) Mikoa 15 Iliyochangia Mapato Mengi kupitia Kapu La TRA Kwa mwaka 2015/26 | JamiiForums Tanzania https://share.google/FBUQU672KU6FMIefa
Hama huko acha kuishi mipakani kwenye nchi za watu dada uache kutia Tia huruma humu.Ruvuma ifanye nini? Nchi imeitenga Ruvuma utadhani iko msumbiji su Malawi.
😢😢😭😭
Hv unaichukuliaje morogoro wwMorogoro ipo top 5 duhh inashangaza
Wewe ndio unachanganya.Kumbe Iko wapi?Tangu lini Ruvuma ikawa Nyanda za Juu kusini? Au unachanganya na Big Four
Morogoro ndio Ina fursa zaidi Kwa sababu Bado haijafunguliwa kimiundombinu.Moro go go go na ikifunguliwa ile road ya Mlimba itapanda zaidi. Pia road Malinyi to songea ndiyo itapaa kbs. Na Moro to Lindi aiseee kweli Moro ni tamu.
Hata Mbeya ni Mkoa ambao hautegemei Uchumi wa sekta Moja.Hapo ukiangalia kimakini mikoa ambayo haina specific vitegauchumi ndio imefanya vizuri,Morogoro na Tabora.
Hiyo Mikoa mingine inabebwa na maliasili na ujiji.
Mfano.
1.Dar,Tanga,Arusha,Mwanza,Mbeya na Dodo a ni sababu ni majiji
2.Arusha,Iringa ,Manyara & Kilimanjaro-Utalii
3.Mara,Geita,Shinyanga,Ruvuma-Madini
Uko sawa ila linganisha Wilaya za Mwanza vs Wilaya za Dom kiuchumiMwanzo iko juu sana ukiitoa dar, anayepinga anapinga kishabiki. Dodoma kufika kwa mwanza bado sana
Hakuna mtu anahama Mkoani kwenda Dar Kwa Sasa.
View: https://www.instagram.com/p/DeR_ITZjMLl/?srtk=NW1nYXh2aGlqZGo2
Si ndo tumewalilia hao CCM tunaowachagua au? Ulitaka tumlilie nani?Kila uchaguzi wabunge,madiwani na wenyeviti wote mmnawachagua Fisiemu sasa mnalia nini?
Malori kwa malori ya mkaa wa mawe yanaisabiwa mkoa gani?
SawaRuvuma kazi yenu ni kuipigia kura ccm tu
Sasa Ruvuma iko wapi? Juu kusini ndiyoTangu lini Ruvuma ikawa Nyanda za Juu kusini? Au unachanganya na Big Four
Kwahiyo wewe kukaa hapo tandale chumba cha 30k, basi unaona umemaliza mwenyewee?? Unahisi na wewe unaishi? Wee unaishi au unapumua??Hama huko acha kuishi mipakani kwenye nchi za watu dada uache kutia Tia huruma humu.
Huko sio maeneo ya kuishi binadamu
Hana analojua huyoo, 😂😂Wewe ndio unachanganya.Kumbe Iko wapi?
Kilimo na Utalii umeibeba sana Morogoro. Uchumi sio makelele ya Chuga.Takwimu za kupika hizi. Yaani Moro waipite Arusha?.kwa uchumi upi?
Dodoma imekua kwa kasi sana kutokana na ujenzi wa mji mkuu wa kiserkali ila sidhani kama ukuaji huu utaendelea kwa kasi ile ile.Uko sawa ila linganisha Wilaya za Mwanza vs Wilaya za Dom kiuchumi
Pili linganisha Jiji la Mwanza vs Jiji la Dom kiuchumi na kasi za ukuaji.
Kinachoiangusha Dom ni Wilaya zake hakula lolote Kila kitu kipo Dom jiji.
Mwisho ila Kwa Sasa Mwanza imeweka gap kubwa sana la GDP na Mikoa mingine imeonesha Ukubwa wake kweli kweli.
Mbeya Ina Uchumi mseto kama Morogoro ni Kilimo,Madini kiasi na biasharaMbeya kuna uchumi gani zaidi ya Mbeya Cement?