Ni data za BaraWapi Kaskazini Pemba?
Ni data za Bara tuuNdugu zetu wa mjini magharibi Unguja hawamo kwenye orodha?
Bwawa la Nyerere na Kilimo kimeinua Morogoro na itaamka zaidi ikifunguka kimiundombinu,hapa Bado sana itapita hata MbeyaMorogoro inazidi Arusha ? Aya watu wa Arusha huwa wanajifanisha na mwanza
Hakuna mtu anahama Mkoani kwenda Dar Kwa Sasa.Unajua baada ya makao makuu kuhamishiwa Dodoma kwenye sensa ya 2022 projection ya population ya Dar ilikuwa ni more than 7 million lakini baada ya uhesabuji population imekutwa ni 5.3 million so hata population shift inatokea pia kadiri miaka inavyosogea.
Kila uchaguzi wabunge,madiwani na wenyeviti wote mmnawachagua Fisiemu sasa mnalia nini?Ruvuma ifanye nini? Nchi imeitenga Ruvuma utadhani iko msumbiji su Malawi.
😢😢😭😭
Hakuna mtu anahama Mkoani kwenda Dar Kwa Sasa.
View: https://www.instagram.com/p/DeR_ITZjMLl/?srtk=NW1nYXh2aGlqZGo2
😆😆Wapi Kaskazini Pemba?
😆😆 Sema za Tanganyika.Ni data za Bara tuu
Si mkoa wa ccm huoRuvuma ifanye nini? Nchi imeitenga Ruvuma utadhani iko msumbiji su Malawi.
😢😢😭😭
Ruvuma kazi yenu ni kuipigia kura ccm tuRuvuma ifanye nini? Nchi imeitenga Ruvuma utadhani iko msumbiji su Malawi.
😢😢😭😭
Bwawa la Nyerere liko Moro sio Pwani na Lindi?Uwekezaji wa Kilimo ,Viwanda na bwawa la Nyerere
Ila umetumia Tanzania! Anyway, very confusing.Ni data za Bara tuu
Mwanzo iko juu sana ukiitoa dar, anayepinga anapinga kishabiki. Dodoma kufika kwa mwanza bado sanaIla mwanza inatisha aisee
Afu wewe mleta ndo unafananishaga mwanza sijui na Arusha mara Dodoma
Kuwa na adabu mdogo wangu
Unawekezaje kusipokuwa na uhitaji?Njombe,
Mbao, chai, parachichi, viazi mviringo, sio kitu kumbe, Lol.
Wakinga wawekeze kwao, khaah