Hii hapa orodha ya wanahiphop bora wa muda wote Tanzania

Hivi unapomuweka Joh Makini on top ya plProfesa Jay unakuwa umetumia kigezo gani?

List ambayo Joh Makini anaweza kuwa namba 1 ni kwenye list ya wasanii wa Hip Hop wenye rasta.

Napo atafichwa na Afande Sele yani kiufupi namba 1 inamkataa kila idara.
 
Kwa sisi tusiojua muziki, hip hop inatofauti na nyimbo za akina Blue, FA, Afande Sele, Prof J n.k?

Huwa nachanganyikiwa kutofautisha, Eminem na Jay Z, wanafanya muziki wa aina moja? Yaani Tupac na Pdiddy(sijui ndo hivyo?) wanaimba au wana rap? Tofauti ya kuimba na ku-rap hasa ni ipi?

AY alisema yeye style yake ni commercial, Fid Q akakataa kuwa yeye hafanyi Bongofleva, nikasikia sijui kuna wabana pua; Marlaw na akina Bia tamu, Jux wanafanya aina gani?

Mpoto je?

Kughani ni kufanyaje?
 
Hivi unapomuweka Joh Makini on top ya plProfesa Jay unakuwa umetumia kigezo gani?

List ambayo Joh Makini anaweza kuwa namba 1 ni kwenye list ya wasanii wa Hip Hop wenye rasta.

Napo atafichwa na Afande Sele yani kiufupi namba 1 inamkataa kila idara.
Hakuna kitu professa anamzidi joh makini kwenye hiphop. Nyie mnachanganya kati ya ukongwe na uwezo.
 
Naona apo umeweka ukabila sana kwahyo Lord eyes anajua kuliko means fa, chid benz na wengineo??
 
CCM na hip-hop wapi na wapi
Mwana hip-hop ni ney wa mitengo
 
Msanii mkali wa hip hop ni mmoja tu bongo, joh makini basi wengine ungaunga mwana.
 
Umemsahau Father Nely na Jombii Chindo man
 
Hivi unapomuweka Joh Makini on top ya plProfesa Jay unakuwa umetumia kigezo gani?

List ambayo Joh Makini anaweza kuwa namba 1 ni kwenye list ya wasanii wa Hip Hop wenye rasta.

Napo atafichwa na Afande Sele yani kiufupi namba 1 inamkataa kila idara.
Huyo jamaa si kamuweka kaka ake namba moja, alivyo na akili ndogo na yeye kajiweka kwenye list na bila kusahau kumsagia Nikki Mbishi.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Nimeanza kufatilia hip-hop mwanzoni mwa miaka ya 2000 tangu nikiwa chekea Hadi Leo ni zaidi ya miaka 20 huyo msanii namba tatu sijawahi msikia kabisa hebu nipe Ngoma yake moja nimsikilize....

Halafu inaonekana unapenda hip-hop lakini hujui chochote kuhusu hip-hop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…