Hii hapa orodha ya wanahiphop bora wa muda wote Tanzania

Kama humjui Mikiller basi wewe sio mwanafamilia wa Hiphop nchini Tanzania. Ingia hata Insta u-search
 
Ni
Nimeongeza namba 11 hadi 20. Labda msanii wako yupo.
 
KCB na Chief Ramso wa KWANZA UNIT wanastahili kuwepo hapo tunawasahau sana hawa watu
 
HipHop au Rap?

Dogo janja......[emoji6]
 
KCB na Chief Ramso wa KWANZA UNIT wanastahili kuwepo hapo tunawasahau sana hawa watu
Walikuwa hawana vipaji vya kutisha.. kinachowabeba ni kuwa wa kwanza kwenye hiphop bongo. Hata Buu NAKO kawazidi hao
 
Kijenge Juu - Watengwa.

Uhasama wa Taifa - Bamia TV - Zimaaaaaa
 
Hivi JCB yuko wapi kwa sasa!!??
Kuna dude lake nililisikia mwaka 2000 pale "Via Via", nilikoshwa sana japo silikumbuki linaitwaje.
 
Bila rosa lee na chemical sioni kam ni kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…