Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei yake mana mimi nataka kioo nikizima naangalizia tai kama imekaa penyeweUmechanganua vizuri, nimepata bahati ya kutumia Samsung Crystal HD 55inch ikavunjika kioo nkachkua LG Qled 43 inch kwa muda, Nkauza sasa nna Haier 65inch ni Qled kwakweli hawa jamaa ni kiboko🙌 tv kiwembe picha ni kali sana kwa wapenzi wa Games hasa ps4 pro na Ps 5 Refresh rate yake ni 120hz + ile 4K baba🙌
Mkuu, niaje? Nina 1.75m vipi unaweza nisaidia?Ni sawa ndo bei ya retail hiyo, mimi naweza kukupa kwa 1.8
Kusema ukweli kweny hivi vitu vua umeme bahati huchangia mimi hata unaweza nunua kitu cha kampuni kumbwa inayosifiwa bei kali lakini kikafa mapema sana pia unaweza nunua cha kawaida kwa bei naguh na kikadumu mimi milinunua tv ya Mchina inaitwa High-Q inapiga inakeshaga siku 3 mfululizo mchana na usiku huwezi kuamini na haijawahi hata kujizima yenyewe.Mkuu hiyo Risingi ipigishe ON masaa 20+ alaf mchukua LG ama Samsung mpigishe masaa hayo hayo alafu uone nan atakufa mapema
Durability always mchina hana hiyo kanuni
Mkuu hiyo Risingi ipigishe ON masaa 20+ alaf mchukua LG ama Samsung mpigishe masaa hayo hayo alafu uone nan atakufa mapema
Durability always mchina hana hiyo kanuni
HITACHI walibadili jina. Siku hizi wanaitwa TCL. Yaani kama Tigo wanavyoitwa YAS na Tigopesa wanavyojiita Mixx by YasHivi Hitachi zilikufa mkuu?
HITACHI walibadili jina lao na sasa wanatambulika kama TCL..kama vile Tigo wanavyoitwa YAS na Tigopesa wanavyojiita Mixx by YasHivi kwanini HITACHI hayupo kwenye game la flat tvs wakati uimara wake kila mtu anaujua dah
Aisee usinikumbushe machungu, nilinunua skyworth nimekaa nayo kuanzia 2018 mpaka 2023 vibaka walivyokuja kuibeba.Kwani skyworth ni mchina huyu,mbona ana tv kali balaa na ukimcheki good anatokea kati ya USA huko
... a very worthy commentTV ukishazoea LG, Sumsung, Toshiba, Philips hizi brand zingine unaweza usione ni kama TV. Kama umeanza na TCL, Hisence, Evvol,Skyworth au star x na ndugu zake wa daraja la pili, kisha Ukipewa Alitop,Solamax, Maisha, Mo nawengine wengi wa daraja la kichina utaona kuna tofauti sana japo sio kubwa sana.
Tuweni wakweli tu brand za daraja la kwanza zinakupa thamani harisi ya fedha yako na hata ukiangalia hizi brand za kichina utajua tu una TV kweli.
Shida hapa ni budget tu maana bei za TV Quality ni juu sana hivyo wengi tunatafuta unafuu hata kwa kukimbilia mitumbani kupata brand za ukweli kwa unafuu zaidi, ingawa ni bahati nasibu kwa maana unaweza kupata isidumu na ukapata ikawa mkataba. Binafsi nimenunua brand nzuri kupitia kwa watu na sijawahi kujutia na nipotaka kuaupgrade huwa na uza nanua nyingine tena second hand.
Unyama mwingi Sana.
Mkuu hayo ni maneno ya wauzaji wa Kariakoo. TCL na HITACHI ni kampuni tofauti, nchi tofauti, zilianzishwa miaka tofauti na kila mmoja anazalisha bidhaa zake.HITACHI walibadili jina lao na sasa wanatambulika kama TCL..kama vile Tigo wanavyoitwa YAS na Tigopesa wanavyojiita Mixx by Yas
Mkuu unayo ambayo unaipiga bei. Naielewa sana hiyo brandUkitaka kubadili nicheki Mkuu nikupe original kabisa
Brand new Mkuu, inches ngapi unataka?Mkuu unayo ambayo unaipiga bei. Naielewa sana hiyo brand