Hii hapa Television ya kumiliki kulingana na kipato chako

Hii hapa Television ya kumiliki kulingana na kipato chako

Kwani skyworth ni mchina huyu,mbona ana tv kali balaa na ukimcheki good anatokea kati ya USA huko
 
Umechanganua vizuri, nimepata bahati ya kutumia Samsung Crystal HD 55inch ikavunjika kioo nkachkua LG Qled 43 inch kwa muda, Nkauza sasa nna Haier 65inch ni Qled kwakweli hawa jamaa ni kiboko🙌 tv kiwembe picha ni kali sana kwa wapenzi wa Games hasa ps4 pro na Ps 5 Refresh rate yake ni 120hz + ile 4K baba🙌
Bei yake mana mimi nataka kioo nikizima naangalizia tai kama imekaa penyewe
 
Mkuu hiyo Risingi ipigishe ON masaa 20+ alaf mchukua LG ama Samsung mpigishe masaa hayo hayo alafu uone nan atakufa mapema

Durability always mchina hana hiyo kanuni
Kusema ukweli kweny hivi vitu vua umeme bahati huchangia mimi hata unaweza nunua kitu cha kampuni kumbwa inayosifiwa bei kali lakini kikafa mapema sana pia unaweza nunua cha kawaida kwa bei naguh na kikadumu mimi milinunua tv ya Mchina inaitwa High-Q inapiga inakeshaga siku 3 mfululizo mchana na usiku huwezi kuamini na haijawahi hata kujizima yenyewe.
Mkuu hiyo Risingi ipigishe ON masaa 20+ alaf mchukua LG ama Samsung mpigishe masaa hayo hayo alafu uone nan atakufa mapema

Durability always mchina hana hiyo kanuni
 
Kwani skyworth ni mchina huyu,mbona ana tv kali balaa na ukimcheki good anatokea kati ya USA huko
Aisee usinikumbushe machungu, nilinunua skyworth nimekaa nayo kuanzia 2018 mpaka 2023 vibaka walivyokuja kuibeba.

Haikuwahi hata kukohoa ilikuwa naiwasha hata siku nzima.

Mi naona mchina yupo vizuri sana ukiotea brand nzuri
 
TV ukishazoea LG, Sumsung, Toshiba, Philips hizi brand zingine unaweza usione ni kama TV. Kama umeanza na TCL, Hisence, Evvol,Skyworth au star x na ndugu zake wa daraja la pili, kisha Ukipewa Alitop,Solamax, Maisha, Mo nawengine wengi wa daraja la kichina utaona kuna tofauti sana japo sio kubwa sana.

Tuweni wakweli tu brand za daraja la kwanza zinakupa thamani harisi ya fedha yako na hata ukiangalia hizi brand za kichina utajua tu una TV kweli.

Shida hapa ni budget tu maana bei za TV Quality ni juu sana hivyo wengi tunatafuta unafuu hata kwa kukimbilia mitumbani kupata brand za ukweli kwa unafuu zaidi, ingawa ni bahati nasibu kwa maana unaweza kupata isidumu na ukapata ikawa mkataba. Binafsi nimenunua brand nzuri kupitia kwa watu na sijawahi kujutia na nipotaka kuaupgrade huwa na uza nanua nyingine tena second hand.
 
... a very worthy comment
 
HITACHI walibadili jina lao na sasa wanatambulika kama TCL..kama vile Tigo wanavyoitwa YAS na Tigopesa wanavyojiita Mixx by Yas
Mkuu hayo ni maneno ya wauzaji wa Kariakoo. TCL na HITACHI ni kampuni tofauti, nchi tofauti, zilianzishwa miaka tofauti na kila mmoja anazalisha bidhaa zake.

Flat screen za HITACHI zipo kwenye baadhi ya supermarket Dar. Ni Kariakoo tu ndio adimu.
 
Siwafundishi tena, Ukiteswa na bando, Huo ni uzembe wako, kwa halotel Pata GB2 kwa 3000, Gb3 kwa 4000, GB5 kwa 5000, Gb7 kwa 7000, Gb10 kwa 10000, Gb15 kwa 14,000, Gb20 kwa 19,000, Gb25 kwa 23000 na Gb30 kwa 26000 tu mwezi mzima. 0618370992.
 
Nimeanza maisha na TCL 32" Android TV so far iko poa sana kuanzia uangavu wa kioo na speaker zake. Kila anaekuja kunitembelea anaisifia. Ijapokuwa napendelea sana brand za Sony na LG ila tatizo bei. Budget wise naweza mshauri mtu achukue TCL!!
 
Back
Top Bottom