Hii helicopter mpya ya Iran mbona ni kama imeundwa na mtoto wa shule ya msingi kwa kutumia mabox

Hii helicopter mpya ya Iran mbona ni kama imeundwa na mtoto wa shule ya msingi kwa kutumia mabox

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Screenshot_20250213-100945.png

Naona wana maono ya uhakika kabisa kuivamia washington na tel aviv na mabox, hongera sanaa kwao.
 
Nyumbu wa ngerengere helkopiter yenu iko wapi?
 
Toleo la 2006 hilo

Mpersia sahiv anaunda vitu vizito vizito

Wala ni ma genius wa middle east nzima
 
Back
Top Bottom