kaongea nini la maana? acha kuusudu vitu vya wengine, nina hakika asilia 100 nyumbani kwako unako ishi ni mafiii kabisa kwa ajili ya kutamani vitu vya jirani yako. pathetic creature jitu zima takataka ovyoooSifa hizi ni za kipumbavu,hotuba kali barani Afrika ni Tshisekedi wa Congo,
Naona user mpya kutuletea upumbavuView attachment 1996139
kweli huyu takatakakaongea nini la maana? acha kuusudu vitu vya wengine, nina hakika asilia 100 nyumbani kwako unako ishi ni mafiii kabisa kwa ajili ya kutamani vitu vya jirani yako. pathetic creature jitu zima takataka ovyooo
Tanzania wonders shall never end,Huo ni uzuzu wa kiboya hotuba bora inakusaidia nini mwananchi wa kawaida uwe unandika nyuzi za kueleweka sio kuandika andika tu
Safi Rais Samia,Baada ya jarida la Foreign Policy ( FP) ya Marekani kuitaja hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya Sept 23|2021 UN Gen Assembly kuwa ndio hotuba bora zaidi toka Africa na nimiongoni mwahotuba saba ( 7 ) bora zaidi zilizotolewa na viongozi wakuu wa nchi kwenye Mkutano mkuu wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa New York Marekani,
===
Hotuba ya Rais Samia UNGA pia ilitajwa kuwa ndio hutoba bora zaidi toka kwa Rais Mwanamke duniani miongoni mwawanawake Marais waliohutubia mkutano huo wa 76 na kuhutubia,Utafiti huo ulifanywa na Foreign policy kwa kuwahoji wajumbe wa mkutano ule ambao Rais Samia alikuwa miongoni mwawajumbe hao 192 toka nchi 193 wanachama wa UN ambao wengi wao walifika na wengine wachache walishiriki kwa njia ya Mtandao,
===
Marais wengine sita ( 6 ) kati ya 192 waliotoa hotuba bora kama ilivyo kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Mhe Joe Biden rais wa Marekani, Rais wa Brazil Mhe Jair Bolsonaro,Rais wa China Xi Jinping,Rais wa Lebanoni Mhe Michel Aoun,Rais wa Irani Mhe Ebrahim Raisi’s na waziri mkuu wa India Narendra Modi hakika Rais Samia ni nyota inayong'aa duniani,
===
Tarehe 02|11|2021 Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan ameweka historia nyingine katika mkutano wa 26th Wa kujadili mabadiliko ya Tabia nchi yaani COP26 ulioandaliwa na Uingereza na kufanyikia Glasgow Scotland,
===
Pamoja na mambo mengine Rais Samia amesisitiza kujikita katika makubaliano ya Paris katika COP21 mwaka 2015...endelea kumsikiliza,
Baada ya jarida la Foreign Policy ( FP) ya Marekani kuitaja hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya Sept 23|2021 UN Gen Assembly kuwa ndio hotuba bora zaidi toka Africa na nimiongoni mwahotuba saba ( 7 ) bora zaidi zilizotolewa na viongozi wakuu wa nchi kwenye Mkutano mkuu wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa New York Marekani,
===
Hotuba ya Rais Samia UNGA pia ilitajwa kuwa ndio hutoba bora zaidi toka kwa Rais Mwanamke duniani miongoni mwawanawake Marais waliohutubia mkutano huo wa 76 na kuhutubia,Utafiti huo ulifanywa na Foreign policy kwa kuwahoji wajumbe wa mkutano ule ambao Rais Samia alikuwa miongoni mwawajumbe hao 192 toka nchi 193 wanachama wa UN ambao wengi wao walifika na wengine wachache walishiriki kwa njia ya Mtandao,
===
Marais wengine sita ( 6 ) kati ya 192 waliotoa hotuba bora kama ilivyo kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Mhe Joe Biden rais wa Marekani, Rais wa Brazil Mhe Jair Bolsonaro,Rais wa China Xi Jinping,Rais wa Lebanoni Mhe Michel Aoun,Rais wa Irani Mhe Ebrahim Raisi’s na waziri mkuu wa India Narendra Modi hakika Rais Samia ni nyota inayong'aa duniani,
===
Tarehe 02|11|2021 Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan ameweka historia nyingine katika mkutano wa 26th Wa kujadili mabadiliko ya Tabia nchi yaani COP26 ulioandaliwa na Uingereza na kufanyikia Glasgow Scotland,
===
Pamoja na mambo mengine Rais Samia amesisitiza kujikita katika makubaliano ya Paris katika COP21 mwaka 2015...endelea kumsikiliza,
Tunajivunia Rais Samia😍😍😍Nzuri Sana hii, Hongera Rais Samia
Hebu lete tumsikilize na sisi mkuu,Mama kajikita kuwaimbia mapambio Yao. Kama tz tujiyafakari.why not Chikwera anaewachana hadharani
Sawa, wengine hawakujua kusoma umeelewekasas mtu mwenyewe kazi yake kusoma tu hiyo hotuba yakuandikiwa, angekuwa na akili angeizungumza japo kwa ufupi na kueleweka bila kusoma, il tujuwe kweli ana details na ufahamu wa mambo ya nchin mwake,
kipindi cha jiwe, viongoz weng walkuwa wanajitahid kukalili data za hotuba zao, na wengi wao walkua na uwezo wa kuifafanua vizur hotuba bila kuhitaji makaratasi wala maandiko yoyote, na huo ndio ufahamu unaotakiwa kusifika,
kusoma kila mtu anauwezo wa kusoma ilimladi tu uwe na confidence ya kuzungumza mbele ya kadamnasi..
huyo bibi yenu mnapenda kumpa sifa hasizostahili.
ukwel mchungu.
Hii English kajifunzia wapi mama?Baada ya jarida la Foreign Policy ( FP) ya Marekani kuitaja hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya Sept 23|2021 UN Gen Assembly kuwa ndio hotuba bora zaidi toka Africa na nimiongoni mwahotuba saba ( 7 ) bora zaidi zilizotolewa na viongozi wakuu wa nchi kwenye Mkutano mkuu wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa New York Marekani,
===
Hotuba ya Rais Samia UNGA pia ilitajwa kuwa ndio hutoba bora zaidi toka kwa Rais Mwanamke duniani miongoni mwawanawake Marais waliohutubia mkutano huo wa 76 na kuhutubia,Utafiti huo ulifanywa na Foreign policy kwa kuwahoji wajumbe wa mkutano ule ambao Rais Samia alikuwa miongoni mwawajumbe hao 192 toka nchi 193 wanachama wa UN ambao wengi wao walifika na wengine wachache walishiriki kwa njia ya Mtandao,
===
Marais wengine sita ( 6 ) kati ya 192 waliotoa hotuba bora kama ilivyo kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Mhe Joe Biden rais wa Marekani, Rais wa Brazil Mhe Jair Bolsonaro,Rais wa China Xi Jinping,Rais wa Lebanoni Mhe Michel Aoun,Rais wa Irani Mhe Ebrahim Raisi’s na waziri mkuu wa India Narendra Modi hakika Rais Samia ni nyota inayong'aa duniani,
===
Tarehe 02|11|2021 Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan ameweka historia nyingine katika mkutano wa 26th Wa kujadili mabadiliko ya Tabia nchi yaani COP26 ulioandaliwa na Uingereza na kufanyikia Glasgow Scotland,
===
Pamoja na mambo mengine Rais Samia amesisitiza kujikita katika makubaliano ya Paris katika COP21 mwaka 2015...endelea kumsikiliza,
Fake
Joined 29/08/2021Baada ya jarida la Foreign Policy ( FP) ya Marekani kuitaja hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya Sept 23|2021 UN Gen Assembly kuwa ndio hotuba bora zaidi toka Africa na nimiongoni mwahotuba saba ( 7 ) bora zaidi zilizotolewa na viongozi wakuu wa nchi kwenye Mkutano mkuu wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa New York Marekani,
===
Hotuba ya Rais Samia UNGA pia ilitajwa kuwa ndio hutoba bora zaidi toka kwa Rais Mwanamke duniani miongoni mwawanawake Marais waliohutubia mkutano huo wa 76 na kuhutubia,Utafiti huo ulifanywa na Foreign policy kwa kuwahoji wajumbe wa mkutano ule ambao Rais Samia alikuwa miongoni mwawajumbe hao 192 toka nchi 193 wanachama wa UN ambao wengi wao walifika na wengine wachache walishiriki kwa njia ya Mtandao,
===
Marais wengine sita ( 6 ) kati ya 192 waliotoa hotuba bora kama ilivyo kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Mhe Joe Biden rais wa Marekani, Rais wa Brazil Mhe Jair Bolsonaro,Rais wa China Xi Jinping,Rais wa Lebanoni Mhe Michel Aoun,Rais wa Irani Mhe Ebrahim Raisi’s na waziri mkuu wa India Narendra Modi hakika Rais Samia ni nyota inayong'aa duniani,
===
Tarehe 02|11|2021 Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan ameweka historia nyingine katika mkutano wa 26th Wa kujadili mabadiliko ya Tabia nchi yaani COP26 ulioandaliwa na Uingereza na kufanyikia Glasgow Scotland,
===
Pamoja na mambo mengine Rais Samia amesisitiza kujikita katika makubaliano ya Paris katika COP21 mwaka 2015...endelea kumsikiliza,
Nini kimetokea,Joined 29/08/2021
Kama hujui hutajua milele , wewe endelea kulipwa elfu 7 kwa wikiNini kimetokea,
Nalipwa na nani mkuu?Kama hujui hutajua milele , wewe endelea kulipwa elfu 7 kwa wiki
nimtaje ili uumbuke ?Nalipwa na nani mkuu?
Ndio mtajeenimtaje ili uumbuke ?