Hii huenda ndio hotuba bora ya Conference of Parties ( COP 26 ) na huenda ikaacha historia kwa miaka mingi, Mungu Ibariki Tanzania

Sifa hizi ni za kipumbavu,hotuba kali barani Afrika ni Tshisekedi wa Congo,
Naona user mpya kutuletea upumbavuView attachment 1996139
kaongea nini la maana? acha kuusudu vitu vya wengine, nina hakika asilia 100 nyumbani kwako unako ishi ni mafiii kabisa kwa ajili ya kutamani vitu vya jirani yako. pathetic creature jitu zima takataka ovyooo
 
kweli huyu takataka
 
Baada ya jarida la Foreign Policy ( FP) ya Marekani kuitaja hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya Sept 23|2021 UN Gen Assembly kuwa ndio hotuba bora zaidi toka Africa na nimiongoni mwahotuba saba ( 7 ) bora zaidi zilizotolewa na viongozi wakuu wa nchi kwenye Mkutano mkuu wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa New York Marekani,
===
Hotuba ya Rais Samia UNGA pia ilitajwa kuwa ndio hutoba bora zaidi toka kwa Rais Mwanamke duniani miongoni mwawanawake Marais waliohutubia mkutano huo wa 76 na kuhutubia,Utafiti huo ulifanywa na Foreign policy kwa kuwahoji wajumbe wa mkutano ule ambao Rais Samia alikuwa miongoni mwawajumbe hao 192 toka nchi 193 wanachama wa UN ambao wengi wao walifika na wengine wachache walishiriki kwa njia ya Mtandao,
===
Marais wengine sita ( 6 ) kati ya 192 waliotoa hotuba bora kama ilivyo kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Mhe Joe Biden rais wa Marekani, Rais wa Brazil Mhe Jair Bolsonaro,Rais wa China Xi Jinping,Rais wa Lebanoni Mhe Michel Aoun,Rais wa Irani Mhe Ebrahim Raisi’s na waziri mkuu wa India Narendra Modi hakika Rais Samia ni nyota inayong'aa duniani,
===
Tarehe 02|11|2021 Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan ameweka historia nyingine katika mkutano wa 26th Wa kujadili mabadiliko ya Tabia nchi yaani COP26 ulioandaliwa na Uingereza na kufanyikia Glasgow Scotland,
===
Pamoja na mambo mengine Rais Samia amesisitiza kujikita katika makubaliano ya Paris katika COP21 mwaka 2015...endelea kumsikiliza,
Safi Rais Samia,
 
Mambo ya kusifia hotuba yamekuwa hallmark ya awamu hii
 
Aliweza kuchomekea yale mambo yake pendwa ya legacy:

IMG_20211031_084553_273.jpg
 
Yaani hotuba bora ya kulialia na kujikomba kuomba msaada! Kweli unaweza kuwa na kichwa tu umekibeba ila kinaumiza misuli ya shingo tu maana hakina kazi! Umekibeba kama furushi tu!
Unataka bora iweje jembe?
 
sas mtu mwenyewe kazi yake kusoma tu hiyo hotuba yakuandikiwa, angekuwa na akili angeizungumza japo kwa ufupi na kueleweka bila kusoma, il tujuwe kweli ana details na ufahamu wa mambo ya nchin mwake,

kipindi cha jiwe, viongoz weng walkuwa wanajitahid kukalili data za hotuba zao, na wengi wao walkua na uwezo wa kuifafanua vizur hotuba bila kuhitaji makaratasi wala maandiko yoyote, na huo ndio ufahamu unaotakiwa kusifika,

kusoma kila mtu anauwezo wa kusoma ilimladi tu uwe na confidence ya kuzungumza mbele ya kadamnasi..

huyo bibi yenu mnapenda kumpa sifa hasizostahili.

ukwel mchungu.
 
Sawa, wengine hawakujua kusoma umeeleweka
 
Baada ya jarida la Foreign Policy ( FP) ya Marekani kuitaja hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya Sept 23|2021 UN Gen Assembly kuwa ndio hotuba bora zaidi toka Africa na nimiongoni mwahotuba saba ( 7 ) bora zaidi zilizotolewa na viongozi wakuu wa nchi kwenye Mkutano mkuu wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa New York Marekani,
===
Hotuba ya Rais Samia UNGA pia ilitajwa kuwa ndio hutoba bora zaidi toka kwa Rais Mwanamke duniani miongoni mwawanawake Marais waliohutubia mkutano huo wa 76 na kuhutubia,Utafiti huo ulifanywa na Foreign policy kwa kuwahoji wajumbe wa mkutano ule ambao Rais Samia alikuwa miongoni mwawajumbe hao 192 toka nchi 193 wanachama wa UN ambao wengi wao walifika na wengine wachache walishiriki kwa njia ya Mtandao,
===
Marais wengine sita ( 6 ) kati ya 192 waliotoa hotuba bora kama ilivyo kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Mhe Joe Biden rais wa Marekani, Rais wa Brazil Mhe Jair Bolsonaro,Rais wa China Xi Jinping,Rais wa Lebanoni Mhe Michel Aoun,Rais wa Irani Mhe Ebrahim Raisi’s na waziri mkuu wa India Narendra Modi hakika Rais Samia ni nyota inayong'aa duniani,
===
Tarehe 02|11|2021 Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan ameweka historia nyingine katika mkutano wa 26th Wa kujadili mabadiliko ya Tabia nchi yaani COP26 ulioandaliwa na Uingereza na kufanyikia Glasgow Scotland,
===
Pamoja na mambo mengine Rais Samia amesisitiza kujikita katika makubaliano ya Paris katika COP21 mwaka 2015...endelea kumsikiliza,
Hii English kajifunzia wapi mama?
Daah, Wazungu lazima watuelewe tu awamu hii, Hongera Rais ni hotuba nzuri sana,
 
Joined 29/08/2021
 
Back
Top Bottom