Hii huenda ndio hotuba bora ya Conference of Parties ( COP 26 ) na huenda ikaacha historia kwa miaka mingi, Mungu Ibariki Tanzania

Baada ya jarida la Foreign Policy ( FP) ya Marekani kuitaja hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya Sept 23|2021 UN Gen Assembly kuwa ndio hotuba bora zaidi toka Africa na nimiongoni mwahotuba saba ( 7 ) bora zaidi zilizotolewa na viongozi wakuu wa nchi kwenye Mkutano mkuu wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa New York Marekani,
===
Hotuba ya Rais Samia UNGA pia ilitajwa kuwa ndio hutoba bora zaidi toka kwa Rais Mwanamke duniani miongoni mwawanawake Marais waliohutubia mkutano huo wa 76 na kuhutubia,Utafiti huo ulifanywa na Foreign policy kwa kuwahoji wajumbe wa mkutano ule ambao Rais Samia alikuwa miongoni mwawajumbe hao 192 toka nchi 193 wanachama wa UN ambao wengi wao walifika na wengine wachache walishiriki kwa njia ya Mtandao,
===
Marais wengine sita ( 6 ) kati ya 192 waliotoa hotuba bora kama ilivyo kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Mhe Joe Biden rais wa Marekani, Rais wa Brazil Mhe Jair Bolsonaro,Rais wa China Xi Jinping,Rais wa Lebanoni Mhe Michel Aoun,Rais wa Irani Mhe Ebrahim Raisi’s na waziri mkuu wa India Narendra Modi hakika Rais Samia ni nyota inayong'aa duniani,
===
Tarehe 02|11|2021 Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan ameweka historia nyingine katika mkutano wa 26th Wa kujadili mabadiliko ya Tabia nchi yaani COP26 ulioandaliwa na Uingereza na kufanyikia Glasgow Scotland,
===
Pamoja na mambo mengine Rais Samia amesisitiza kujikita katika makubaliano ya Paris katika COP21 mwaka 2015...endelea kumsikiliza,
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hotuba iliyojaa uongo kuhusu uwepo wa vibrant democracy na haki za binadamu nchini KAMWE haiwezi kuwa ni hotuba bora. Unaenfa katika jukwaa kubwa kuliko yote duniani halafu unasema uongo wa halii ya juu kisha iitwe hotuba bora? 😳 😳 😳

Tunatakiwa kuwa realistic tusiendeshwe na itikadi. Kama hotuba ya mama imeonekana bora we must be proud of it and her. Akifanya vizuri ni Tanzania imefanya vizuri.
 
Hotuba iliyojaa uongo kuhusu uwepo wa vibrant democracy na haki za binadamu nchini KAMWE haiwezi kuwa ni hotuba bora. Unaenfa katika jukwaa kubwa kuliko yote duniani halafu unasema uongo wa halii ya juu kisha iitwe hotuba bora? 😳 😳 😳
Unaweza kuthibitisha maneno yako mkuu?
 
Tuwe timamu kidogo hiyo hotuba ameandikiwa labda tumsifu kwa kuisoma. nihayo yuu
 
Sawa Wale wengine siwalikosa wakuwaandikia,
Wanawaza mambo mazito yakuendeleza nchi, hotuba haiendelezi nchi.
Watu wasokuwa namambo muhimu hutumia muda na akili nyingi kwenye minor issues.
Mtotoo watu wana concentrate kwenye kilimo,viwanda,elimu,afya,ajira,teknolojia,demokrasia,uongozi bora nk. sio hotuba!!!
 
Baada ya jarida la Foreign Policy ( FP) ya Marekani kuitaja hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya Sept 23|2021 UN Gen Assembly kuwa ndio hotuba bora zaidi toka Africa na nimiongoni mwahotuba saba ( 7 ) bora zaidi zilizotolewa na viongozi wakuu wa nchi kwenye Mkutano mkuu wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa New York Marekani,
===
Hotuba ya Rais Samia UNGA pia ilitajwa kuwa ndio hutoba bora zaidi toka kwa Rais Mwanamke duniani miongoni mwawanawake Marais waliohutubia mkutano huo wa 76 na kuhutubia,Utafiti huo ulifanywa na Foreign policy kwa kuwahoji wajumbe wa mkutano ule ambao Rais Samia alikuwa miongoni mwawajumbe hao 192 toka nchi 193 wanachama wa UN ambao wengi wao walifika na wengine wachache walishiriki kwa njia ya Mtandao,
===
Marais wengine sita ( 6 ) kati ya 192 waliotoa hotuba bora kama ilivyo kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Mhe Joe Biden rais wa Marekani, Rais wa Brazil Mhe Jair Bolsonaro,Rais wa China Xi Jinping,Rais wa Lebanoni Mhe Michel Aoun,Rais wa Irani Mhe Ebrahim Raisi’s na waziri mkuu wa India Narendra Modi hakika Rais Samia ni nyota inayong'aa duniani,
===
Tarehe 02|11|2021 Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan ameweka historia nyingine katika mkutano wa 26th Wa kujadili mabadiliko ya Tabia nchi yaani COP26 ulioandaliwa na Uingereza na kufanyikia Glasgow Scotland,
===
Pamoja na mambo mengine Rais Samia amesisitiza kujikita katika makubaliano ya Paris katika COP21 mwaka 2015...endelea kumsikiliza,
Safi Sana Rais Samia,

We love you,
 
Wanawaza mambo mazito yakuendeleza nchi, hotuba haiendelezi nchi.
Watu wasokuwa namambo muhimu hutumia muda na akili nyingi kwenye minor issues.
Mtotoo watu wana concentrate kwenye kilimo,viwanda,elimu,afya,ajira,teknolojia,demokrasia,uongozi bora nk. sio hotuba!!!
Unamaanisha nini?
 
Baada ya jarida la Foreign Policy ( FP) ya Marekani kuitaja hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya Sept 23|2021 UN Gen Assembly kuwa ndio hotuba bora zaidi toka Africa na nimiongoni mwahotuba saba ( 7 ) bora zaidi zilizotolewa na viongozi wakuu wa nchi kwenye Mkutano mkuu wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa New York Marekani,
===
Hotuba ya Rais Samia UNGA pia ilitajwa kuwa ndio hutoba bora zaidi toka kwa Rais Mwanamke duniani miongoni mwawanawake Marais waliohutubia mkutano huo wa 76 na kuhutubia,Utafiti huo ulifanywa na Foreign policy kwa kuwahoji wajumbe wa mkutano ule ambao Rais Samia alikuwa miongoni mwawajumbe hao 192 toka nchi 193 wanachama wa UN ambao wengi wao walifika na wengine wachache walishiriki kwa njia ya Mtandao,
===
Marais wengine sita ( 6 ) kati ya 192 waliotoa hotuba bora kama ilivyo kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Mhe Joe Biden rais wa Marekani, Rais wa Brazil Mhe Jair Bolsonaro,Rais wa China Xi Jinping,Rais wa Lebanoni Mhe Michel Aoun,Rais wa Irani Mhe Ebrahim Raisi’s na waziri mkuu wa India Narendra Modi hakika Rais Samia ni nyota inayong'aa duniani,
===
Tarehe 02|11|2021 Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan ameweka historia nyingine katika mkutano wa 26th Wa kujadili mabadiliko ya Tabia nchi yaani COP26 ulioandaliwa na Uingereza na kufanyikia Glasgow Scotland,
===
Pamoja na mambo mengine Rais Samia amesisitiza kujikita katika makubaliano ya Paris katika COP21 mwaka 2015...endelea kumsikiliza,
Hotuba au kusoma risala aliyoandikiwa?

Kuomba pesa ndio hotuba bora?

Kulia kwamba ni nchi maskini hivyo isaidiwe ndio hotuba bora?

Ili umpose mwanamke ni sharti umsifie kwa uongo na unafiki wa kiwango cha kipimo cha uzamivu
 
Nnachompendea Mama anajua kuomba pesa..
Hivyo hivyo Mamaa.. Ila usile peke yako.
 
Back
Top Bottom